Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mnyonge mnyongeni lakini haki yake kama anastahili tumpe!Kumbe si kitu cha ajabu kufanya kampeni za urais kwa kuitumia familia yako kama alivyofanya jakaya mrisho kikwete kufanya kampeni za bmw...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Baada ya Mh. Tundu Lissu kurejea taarifa ya Kamati teule ya bunge juu ya Jairo scandal alitaja baadhi ya majina ya watu waliolipwa posho kubwa (500000) kwa siku. Moja kati ya majina hayo ni Dalai...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Kuna mchezo unachezwa na wapo wanaopenda kucheza mchezo huo. Mchezo unaochezwa na wenye kucheza hucheza. Mchezo huo huchezwa na wale wenye kuupenda mchezo huo. Ukikaa pembeni wanakushangaa...
15 Reactions
96 Replies
10K Views
Kesho kuanzia saa 1:00 jioni star tv itarusha mdahalo kati ya Eng Habib Mnyaa (CUF) na Mh Tundu Lissu (CHADEMA). Utakao ongozwa na Vox Media chini ya Rose Mwakitwange mahali: MovenPick
1 Reactions
32 Replies
3K Views
Dr. Dalali Peter Kafumu ametajwa miongoni mwa wafanyakazi wa wizara ya nishati na madini katika kashfa iliyomkumba waziri wa wizara hiyo Mh.ngeleja pamoja na naibu wake. Katika sakata hilo Dr...
0 Reactions
18 Replies
4K Views
Habari ndio hiyo jamani, wale wapiganaji wa libya ambao walidharauliwa na kutukanwa na khadaffi wamefanikiwa kumtia mikononi mwao mtoto wa khadaffi, na wanampleka tripol kwa ajili ya kumshitaki.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wana jamvi yule mtoto wa Gadhafi amekamatwa huko southern libya akijaribu kutoroka akiwa amechoka, kachafuka na mwenye njaa..watoto wa watawala mmejifunza nini? je gadhafi na familia yake laiti...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Tumechoshwa na huu usanii wa mheshimiwa nyoosha wa kujidai mtoto wa mkulima na kulia lia hovyo kumbe hamna kitu.He is the worst PM in the history of Tanzania.Hivi mtoto wa mlkulima unamjua? Kwanza...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Ni kwa ajili ya Ujenzi wa Ofisi ya Wilaya mpya ya Mbogwe. Nafikiri tunahitaji watu wengi wenye mtazamo wa Sabodo
0 Reactions
7 Replies
2K Views
JK (Mkwe.re) hana sifa ya kuitwa Dictator, anajaribu kusema watu wanamuita Dictator simply for political Sympanth,hakuna aliyemuita JK dictator, bali Mamlaka makubwa aliyonayo ki Katiba, anaweza...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nipokea huu mswada wa katiba mpya ,wazalendo tuujadilini tuvishungue vifungu kimoja baada kimoja kama unatupa furasa nzuri ya kutoka maoni wananchi. Tusitumie maneno ya kuropoka ropoka ispokuwa...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Wadau nimesikliza mjadala na michango ya wabunge ktk kamati teule yabunge ya kumchunguza Jairo.Pamoja na mambo mengine wabunge wameunga mkono Luhanjo kuwajibishwa. Mh Zambi alikwenda mbali zaidi...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Nimefuatilia sana bunge la leo kwenye sakata la Jairo kwa akili ya kawaida hata bila kutumia Calculator imejionesha wazi kwamba Wabunge wote wa CCM na CUF walishawishiwa au kurubuniwa wapitishe...
2 Reactions
5 Replies
1K Views
nimefuatilia kipindi cha tuongee asubuhi na nimesikitishwa sana na tabia ya Godfrey Dilunga anavyotumia vibaya weledi (profession) wake. Ameingia kwenye kipindi na mentality ya kutaka kutetea...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Ndugu zangu, Leo baada ya kupoteza muda wangu mwingi kumsikiliza Mh Dr JK nimepata kumfahamu zaidi na namna anavyoendesha nchi yetu. 1. Raisi wetu ana ''below average thinking capacity'' kama...
2 Reactions
143 Replies
13K Views
wakuu nisaidieni picha za nyumba za makuti pale dar manzese,gezaulole,mbagala,kimbiji nk ili mkuu wetu ajue wala si watalii au fashen ni ugumu wa maisha tu
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Kwa wale ambao hawakupata nafasi ya kumsikiliza Rais jana waangalie marudio ya hotuba yake inaendelea sasa hivi Tv Tumaini. Baada ya kuangalia na kumsikiliza kwa watakao muelewa walete hoja na...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Naitizama hali ilivyo. Nalazimika kuona kuwa kuna kila haja ya kujadili mapema, ni nani anayefaa kuwa rais wa awamu ijayo. Kwa upande wa CDM sina mashaka, hata nikiweka hawa watatu wanatosha kuwa...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Wanajamiiforums, Kutokana na kifungu (19) kilichoongezwa katika mswada kama alivyosoma mwanasheria mkuu wa CCM-warema, ni kuwa atakayepinga au kuzungumzia maamuzi ya mswada ulopitishwa bunge la...
4 Reactions
67 Replies
8K Views
Rais analo jukumu la kumuwajibisha Ngereja. Lakini je? Waziri huyu atasubiri kauli ya rais kumpoka kiti badala ya yeye mwenyewe kuchukuwa maamuzi ya busara kuachia ngazi! Ikiwa JK atapiga kimya...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…