Je bunge linaweza kulazimisha kujiuzulu kwa Luhanjo? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Je bunge linaweza kulazimisha kujiuzulu kwa Luhanjo?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Godwine, Nov 22, 2011.

 1. G

  Godwine JF-Expert Member

  #1
  Nov 22, 2011
  Joined: Jan 15, 2010
  Messages: 1,369
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  mara baada ya bunge kumaliza kupiga kelele juu ya luanjo, binafsi amesema awezi kutoa coment yoyote kuhusu kauli za wabunge, lakini ngazi yake si ya kujadiliwa na mtu mwingine isipokuwa rais wa Tanzania.


  Kwa maoni yangu naona mh. luanjo anawaona wabunge kama ni waigizaji wasiojua kuwa wao wapo ndani ya Chuma ya chama CCM.
   
 2. A

  Akili Kichwani JF-Expert Member

  #2
  Nov 22, 2011
  Joined: Jan 7, 2010
  Messages: 1,504
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  luhanjo yuko sahihi............ wabunge wana nguvu hata ya kumtoa rais madarakani.............. wamepewa nguvu kubwa sana na katriba ila hawataki kuitumia................. sasa ngoja waone wenye kujua kutumia nguvu zao jinsi wanavyopeta kiulaini..............
   
 3. mchambuzixx

  mchambuzixx JF-Expert Member

  #3
  Nov 22, 2011
  Joined: Nov 11, 2011
  Messages: 1,294
  Likes Received: 77
  Trophy Points: 145
  unajua kwa wabunge vilaza kama ccm hilo haliwezekani kwasababu wanamuogopa raisi...ila luhanjo yuko sahihi kabisa kwasababu yupo kwenye mhimili mwingine wa dola ambayo mamlaka yake anayo rais ila kwakuwa rais ni sehemu ya bunge wabunge wanao uwezo wa kumlazimisha rais amfukuze ila kwa kuwa ccm ni vilaza ndo mana rais anaweza kuingilia mihimili yote ya dola yaani mahakama na bunge na hivyo ndo vitu tulivyotakiwa tuvitilie manani wakati wa kupitisha mswada wa sheria ya katiba mpya lakini kutokana na uccm mwingi mswada umepita na hii kitu watajutia siku wakiingia chama kingine ndipo watakapojua kwanini wapinzani walikuwa wanapinga
   
 4. U

  UMPUUTI Member

  #4
  Nov 22, 2011
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 25
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Muswada wa sheria ya mapitio ya Katiba ulikuwa na maudhui ya kuundwa tume ya kukusanya maoni ya wananchi katika kuelekea kupata Katiba Mpya. Kwa hiyo bado fursa ipo kwa wananchi kujadili masuala mbalimbali likiwemo hili na mihimili ya dola pindi tume itakapoanza kazi ya kukusanya maoni.
   
 5. Kombo

  Kombo JF-Expert Member

  #5
  Nov 22, 2011
  Joined: Oct 29, 2010
  Messages: 1,819
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Tatizo la Wabunge wetu wengi ni uzuzu wa sheria na ndiyo maana wanapelekwa pelekwa tu! Wanapaswa wasome sheria wajue ukomo wao ni wapi, vinginevyo watakuwa wanatoa maazimio yasiyotekelezeka jambo ambalo litasababisha wadharaulike tu mbele ya jamii.
   
 6. Mpita Njia

  Mpita Njia JF-Expert Member

  #6
  Nov 22, 2011
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 7,012
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  hata kama Luhanjo anawaona wabunge kwua ni vichekesho, sisi wananchi tumeshamuona kuwa yeye ni mtu asiyefaa kushikilia nafasi ya juu kama aliyo nayo. Huu ni mtihani kwa aliyemteua, kama atamwacha aendelee kushikilia nafasi hiyo akiwa na matope yake, wananchi tunajua kwua 2+2 siku zote ni 4
   
 7. Mwita25

  Mwita25 JF-Expert Member

  #7
  Nov 22, 2011
  Joined: Apr 15, 2011
  Messages: 3,840
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Its important to remember that the appointed committee fulfilled its assignment as was ordered by Speaker in accordance with the law. Whatever came with the report including proposed recommendations are subject of the higher authorities. In that matter, the parliament shall not be criticised for any failure of implimentation of the report's suggestions.
   
 8. S

  Shembago JF-Expert Member

  #8
  Nov 22, 2011
  Joined: Aug 20, 2011
  Messages: 332
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kazi nyingine ya Bunge ni kuisimamia Serikali,sasa mlitaka wabunge wafanye nini? Wametoa mapendekezo yao sasa ni kwa serikali kunyoa au kusuka
   
 9. LordJustice1

  LordJustice1 JF-Expert Member

  #9
  Nov 22, 2011
  Joined: Jan 19, 2011
  Messages: 2,264
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Kama Bunge lina uwezo wa kumng'oa Rais, iwe Katibu Mkuu Kiongozi? Cha kufanya ni kumlazimisha Rais amwajibishe, otherwise yeye ndiye awajibishwe!
   
 10. Opaque

  Opaque JF-Expert Member

  #10
  Nov 22, 2011
  Joined: Oct 24, 2008
  Messages: 1,138
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  Waziri Mkuu anateuliwa na Rais, then anathibitishwa na bunge. Katibu Mkuu Kiongozi anateuliwa na Rais bila kuwa na haja kuthibitishwa popote. Kwa mantiki hii Luhanjo ana nguvu kuliko Pinda, kwani ajira yake haikutegemea bunge na hana haja kama Pinda kuwaogopa wabunge, si mabosi wake wala bunge si sehemu ya ubosi. Kwa hiyo wabunge walie tu, Luhanjo yeye anatoa tu maagizo kwamba Jairo rudi kazini kesho na kama unataka mfungulie mashtaka mtu yeyote kwa kumdhalilisha (akiwemo Pinda aliyesema angekuwa yeye angechukua hatua pale pale bungeni, akampigia simu mkulu aliyekuwa South, sijui kama ilipatikana!)
   
 11. data

  data JF-Expert Member

  #11
  Nov 22, 2011
  Joined: Apr 9, 2011
  Messages: 16,752
  Likes Received: 6,525
  Trophy Points: 280
  ?????????????????????????????????????... umekunywa bia leo.... vokablali zimepanda..
   
 12. Mwita Matteo

  Mwita Matteo JF-Expert Member

  #12
  Nov 22, 2011
  Joined: May 16, 2010
  Messages: 216
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  wabunge kama wawakilishi wa wananchi ni maboss wake Luhanjo
   
Loading...