Mwinyi, Malecela na Kinana wakacha Dodoma | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mwinyi, Malecela na Kinana wakacha Dodoma

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by figganigga, Nov 22, 2011.

 1. figganigga

  figganigga JF-Expert Member

  #1
  Nov 22, 2011
  Joined: Oct 17, 2010
  Messages: 14,971
  Likes Received: 6,601
  Trophy Points: 280
  hawajawzea kutokeza katika vikao vya ccm vinavyo endelea huko dodoma.je hii hali tuichukulieje?
  My take:
  vikao vya ccm vimeanza kupoteza mvuto baada ya kuonekana havina manufaa kwa wananchi.mia
   
 2. Mufiyakicheko

  Mufiyakicheko JF-Expert Member

  #2
  Nov 22, 2011
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 893
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0

  Mkuu hujasomeka tafadhali changanuwa
   
 3. Duble Chris

  Duble Chris JF-Expert Member

  #3
  Nov 22, 2011
  Joined: May 28, 2011
  Messages: 3,487
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Yamkini wana sababu za msingi zilizo wafanya wasifike huko na tukumbuke kuwa efficient haiwezi kuwa 100%daima nina maana hata mahudhurio hayawezi kuwa 100% daima
   
 4. nickname

  nickname JF-Expert Member

  #4
  Nov 22, 2011
  Joined: Dec 20, 2009
  Messages: 516
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 45
  This is a crap
   
 5. mmbangifingi

  mmbangifingi JF-Expert Member

  #5
  Nov 22, 2011
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 2,855
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Sidhani kama ni kususia huenda ni kuna sababu tu za msingi zilizowapelekea kutohudhuria
   
 6. Tony Almeda

  Tony Almeda JF-Expert Member

  #6
  Nov 22, 2011
  Joined: Sep 18, 2011
  Messages: 397
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Wamemgundua ni mnafiki anapoteza mvuto wa chama chao, maamuzi mpaka yatoke kwa mwanae Riz1. sasa mzee kama malecela hawezi kuvumilia ndio maana kaona bora ajipumzikie kwake.
   
 7. Lu-ma-ga

  Lu-ma-ga JF-Expert Member

  #7
  Nov 22, 2011
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 2,838
  Likes Received: 469
  Trophy Points: 180
  Mwinyi hana sababu ya kumsusia JK, malecela yeye anaumwa inaeleweka, kinana vivo hivyo maana kinana yeye ndiyo kinara wa uchakachuaji mwaka jana uchaguzi so they are all close to mkulu.
   
 8. Mikael P Aweda

  Mikael P Aweda JF Gold Member

  #8
  Nov 22, 2011
  Joined: Dec 17, 2010
  Messages: 2,934
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Inawezekana wanasababu za msingi za kutohudhuria lakini pia inawezekana wameshagundua kuwa vikao hivyo havina tija, vimejaa majungu zaidi - na mkiti JK hana msimamo.
   
 9. T

  Tata JF-Expert Member

  #9
  Nov 22, 2011
  Joined: Dec 3, 2009
  Messages: 4,729
  Likes Received: 645
  Trophy Points: 280
  Kwani Katiba ya CCM inawalazimisha kuwepo kwenye hivyo vikao? Je haitoi fursa ya mtu kutokuhudhuria anapokuwa na udhuru?
   
 10. Sordo

  Sordo JF-Expert Member

  #10
  Nov 22, 2011
  Joined: Nov 14, 2011
  Messages: 397
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Iko siku JK naye atakacha
   
 11. de'levis

  de'levis JF-Expert Member

  #11
  Nov 22, 2011
  Joined: Nov 14, 2011
  Messages: 1,188
  Likes Received: 378
  Trophy Points: 180
  kinana bado anaoganize alshabaab maana wametawanyika sana
   
 12. j

  jigoku JF-Expert Member

  #12
  Nov 22, 2011
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 2,347
  Likes Received: 80
  Trophy Points: 145
  Mkapa yupo? hata hivyo pale ni malumbano tu lakini kitakachoamuliwa si kwa faida ya wanachi wote,hapo issue ni kusafisha njia ya 2015.na kwa mujibu wa Nape alivyoongea na waandishi wa habari tayari yametimia niliyowahi kusema humu jukwaani ya kwamba hakuna mwenye uwezo wa kumfukuza Lowasa ndani ya CCM na hakika jina lake ndilo litakaloletwa kwa ku-contest upresident.Maana Nape amekataa ya kwamba waandishi walim-quote vibaya aliposema kujivua gamba,hakumaanisha watu waondoke CCM alimaanisha mabadiliko ya kweli ambayo yanahitaji muda mrefu.Ngoja tuone.Ila huenda uwepo wa Malecela na Mwinyi angeweza kuwasaidia wao sio mimi
   
 13. kaluun

  kaluun Member

  #13
  Nov 22, 2011
  Joined: Nov 21, 2011
  Messages: 28
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Delevis al-shabaab means kijana mkakamavu...if you are not mkakamavu..who are u then? ama wewe ni mfuasi wa cameron..tehetehetehe
   
 14. M

  Mbopo JF-Expert Member

  #14
  Nov 22, 2011
  Joined: Jan 29, 2008
  Messages: 2,532
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Thread imejaa uzandiki na uchonganishi wa kitoto. Hivi wewe umewahi kuona wapi kila kikao kikawa na mahudhurio 100%? Hata vikao vya harusi kuna absence with apology sembuse kikao kama hiki? Kama huna hoja ya kuandika bora uangalie mambo mengine kuliko kuleta confusion hapa!
   
 15. k

  kada1 Member

  #15
  Nov 22, 2011
  Joined: Oct 13, 2011
  Messages: 42
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Pumbavu, huna hoja wewe kalale labda hukupata usingizi vizuri kwa mkesha wa Cameroon
   
 16. jmushi1

  jmushi1 JF-Expert Member

  #16
  Nov 22, 2011
  Joined: Nov 2, 2007
  Messages: 17,552
  Likes Received: 1,899
  Trophy Points: 280
  Labda wako "upande flani"

  Ni namna tu ya kuprotest, mbona mliwashangaa CDM walipotoka nje ya bunge?

  Ama walipo kacha kwenda kwenye hotuba ya Rais ya ufunguzi wa bunge?
   
 17. Mzee Wa Rubisi

  Mzee Wa Rubisi JF-Expert Member

  #17
  Nov 22, 2011
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 1,754
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  Nyakati awataki lawama
   
 18. BONGE BONGE

  BONGE BONGE JF-Expert Member

  #18
  Nov 22, 2011
  Joined: Oct 19, 2011
  Messages: 3,397
  Likes Received: 1,522
  Trophy Points: 280
  .......hawataki kuwa sehemu ya maamuzi mufilisi!!!!!!!
   
 19. W

  WATANABE JF-Expert Member

  #19
  Nov 22, 2011
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 1,091
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 135
  We umeshau Marais wastaafu wameshamabiwa wataundiwa baraza lao la kutoa ushauri ndani ya Katiba ya CCM; Mkapa yupo pale kulinda masahi yake ya kibiashara.
   
 20. M

  Mkulima JF-Expert Member

  #20
  Nov 22, 2011
  Joined: Feb 4, 2007
  Messages: 698
  Likes Received: 113
  Trophy Points: 60
  Mzee Mwinyi yuko matibabu London na sidhani kama amerudi nyumbani.
   
Loading...