figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,492
- 54,895
Waziri Mkuu wa Kenya anategemewa kufungu Jengo la Uchumi Ijumaa hii.Jengo hilo linamilikiwa na mfanya biashara Yusuph Manji.mia
Viongozi wa TZ na WTZ wanapenda pesa lakini ya kuficha ficha ..tabia hii ya kupenda kuonekana masikin wameirithi
Kutoka kwa mwalimu nyerere..lol
Ni lini Pinda au hata Kikwete ataenda kufungua jendo Kenya? Membe anaona hii kashfa?
Ni lini Pinda au hata Kikwete ataenda kufungua jendo Kenya? Membe anaona hii kashfa?
Unless neno kashfa lina tafsiri mpya. Kukiwa na uwekezaji wa Mtanzania na usio na mawaa basi watakwenda kufungua lakini huyu jamaa hafai hata kidogo. Mnashindwa kuelewa kwamba ufunguzi wa jengo unakwenda na ufunguzi wa supermarket ya Nakumatt iliyopo ndani ya jengo hilo na ndiyo inayomleta Raila na Manji akaona atumie jiwe hilo hilo kuua na ndege wa pili.
Uwe na adabu mwlm hakua mjinga mjinga kama unavyosema,tuliobahatika kuongea nae tunajua yule ni kichwa alitaka watu wote wawe sawa sio kama unavyosema eti alipenda umasikini...
ideology zake zilikuwa za hovyo mungu mwenyewe hajawafanya waru wawe sawa yeye angewezaje.ndo maana kwame nkrumah alimtukana