Ni nini hatma ya ccm? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ni nini hatma ya ccm?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Dik, Nov 22, 2011.

 1. D

  Dik JF-Expert Member

  #1
  Nov 22, 2011
  Joined: Nov 15, 2011
  Messages: 1,205
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Wana jf;ni nini itakuwa hatma ya ccm endapo Lowasa,chenge,sitta wataondolewa chamani?je kitapata mvuto kwa watz?kuchukua hatua hizo ni sahihi?
   
 2. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #2
  Nov 22, 2011
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,986
  Likes Received: 443
  Trophy Points: 180
  Wakianzisha CCJ yao CCM itakuwa kama UDP
   
 3. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #3
  Nov 22, 2011
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 26,827
  Likes Received: 10,125
  Trophy Points: 280
  Hatma ya CCM hata Shetani haijui na anawashangaa CCM maana wanavyotafutana hata shetani hua hafanyi hivyo kwa binadamu! Malaika hawaitaki CCM na Shetani na Majini wameichoka CCM, Mbingu haiwafai na wala Jehanam haiwatoshi, Dunia haiwataki....maskini weeweeee
   
 4. TUMBIRI

  TUMBIRI JF-Expert Member

  #4
  Nov 22, 2011
  Joined: May 7, 2011
  Messages: 1,934
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0

  Wamekutuma uje uwafanyie research au? Haya kawaambie Kifo chao kipo pale pale 2015!
   
Loading...