Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Katika kikao kilchomalizika cha NEC ya CCM mjini Dodoma inasemekana mzee Mkapa alitumia mbinu zake za kiuongozi kumshawishi Mkiti Kikwete kuzima hoja za gamba baada ya wajumbe kuanza kuchangia...
1 Reactions
35 Replies
4K Views
Kwa hatua ambapo hatua za kujivua gamba imefikia ndani ya Chama cha Mapinduzi, ukilinganisha na mategemeo ya watanzania wote wanaofuatilia picha hii, wote, wana ccm na wasio wana ccm, viongozi...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Kamati hii teule ilikuwa na wajumbe 5 ambao ni: (i) Mhe. Eng. Ramo Matala Makani, (Mb.) - Mwenyekiti (ii) Mhe. Martha Jachi Umbulla, (Mb.) (iii) Mhe. Gosbert Begumisa Blandes, (Mb.) (iv) Mhe...
9 Reactions
18 Replies
3K Views
"Katiba haitapatikana barabarani bali kwa mwafaka wa Kitaifa. CHADEMA iliomba kukutana na Mkuu wa Nchi kwa sababu maalumu zinazohusiana na mchakato wa Katiba. Kama kuna vyama vingine navyo...
8 Reactions
76 Replies
8K Views
:a s 465:jf kwa siku za nyuma tulisoma kwenye magazeti kuwa mkuu wa kupambana na kuzuia rushwa nchi anasema kuwa idara za mahakama na polisi zinaongoza kwa rushwa nchini. Mimi sikubaliani na...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
25 NOVEMBER 2011 *Wamshangaa kauingilia mambo yao, kupotosha umma *Wamtaka awataje wabunge wachanga wasiojua sheria *Mnyika amshukia Makinda, asema alipuuza wabunge Na Benjamin Masese SIKU...
3 Reactions
18 Replies
3K Views
Habari hizi zimetangzwa na TBC1 saa 7:00 mchana leo sikuwa na NET on Phone pia wametanagaza kuwa watuhumiwa wa richmond wamejititea kwenye kikao na maamuzi yatakuwa ya CC Walimuhoji reporter wao...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO (CHADEMA) KURUGENZI YA HABARI NA UENEZI –MAKAO MAKUU TAMKO KWA UMMA WA WATANZANIA YAH: KAMATI KUU YA CCM KUMWAGIZA RAIS KIKWETE AKUTANE NA VYAMA VINGINE...
26 Reactions
118 Replies
11K Views
Vikao vikuu vya CC na NEC vimemalizika Dodoma kwa Edward Lowassa kulipua bomu kuwa Rais alikuwa anajua kila kilichokuwa kinaendelea kuhusu richmond. Pamoja na yote yaliyojadiliwa, hoja ya kuvuana...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Baada ya kupigia kelele rasimu ya kwanza Serikali iliondoa mswada na kwenda kuufanyia marekebisho mbalimbali. Je kilio cha Watanzania kimesikika na hoja tulizozitoa wakati ule zimezingatiwa...
10 Reactions
59 Replies
7K Views
Leo wanasiasa wakongwe Mh Warioba NA Salim wamekutana na wanaendelea na mazungumuzo kuomba usuluhishi juu ya Hoja ya katiba. Source: Mh Zitto Kabwe Ndugu wanaJF, Dr. Slaa na Jaji Warioba na Dr...
24 Reactions
119 Replies
9K Views
Ujio wa Raila Odinga, utaonyesha aidha unafiki au ujasiri wa magazeti ambayo yaliwekewa pingamizi na mahakama kuandika chochote kuhusu Manji, yakiwamo Mwananchi, Citizen na Raia Mwema, ambayo...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
tulianza na kauli mbiu,siasa ni kilimo,kilimo ni siasa,kilimo ni uti wa mgongo wa tanzania,sasa kilimo kwanza.kauli mbiu zote hizi mbona hakuna mabadiliko yoyote?wakulima wetu ni watu maskini...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Mimi nashangazwa na ukimya wa JK kwa watendaji anaowateua. Tukio la juzi tu CAG wetu au Ludovick Utouh alitoa ripoti ya uongo ambalayo ilisomwa na kufanya Jairo arudishwe kazini. kwa ukimya wake...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Wakubwa,Kusema kweli billa kuingiza itikadi za siasa kwa nchi kama Tanzania ambayo imepata uhuru wa bendera miaka 50 iliyopita hatuwezi kuendelea kufumbia macho upungufu mkubwa uliopo kwenye...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nimesoma mwanahalisi la leo kumbe Pinda na Makinda nao walisaini pesa za jairo ili hali wenyewe serikali inawalipia kila kitu. Hao wawili walisaini kila mmoja 280,000 kwa kikao kisichozidi...
13 Reactions
224 Replies
21K Views
Kukiwa na sintojua ndani ya CCM hasa CC juu ya hatua gani zichukuliwe kwa makada nguli wa CCM wanaonekana ni mzigo mkubwa kwa chama imefika mahali CC imekaa mara mbili bila ya kupata muafaka juu...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Naomba kufahamishwa hiyo mnayosema sijui miaka 50 ya Tanzania ambayo hadi leo sijajua ni Tanzania ipi yenye miaka 50 mtafanyia wapi sherehe hizo?? sababu uwanja wa uhuru muliozoea kufanyia hujuma...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Ni dhahiri kuwa katika dunia ya utandawazi ya sasa habari yoyote ile inatambaa kwa kasi sana. Tanzania imebarikiwa kuwa na vivutio vingi vya watalii. CCM wanapotumia polisi kuzuia maandamano kwa...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
From LEONARD MWAKALEBELA in Dodoma, 24th November 2011 @ 12:00 DAILY NEWS THE National Executive Committee of the Ruling Party, Chama Cha Mapinduzi (NEC-CCM), on Thursday ended its two-day...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…