Serikali ya Mapinduz ya zanzibar imesema kamwe haitachangia gharama za mchakato wa kuunda katiba mpya,imedai kuwa jukumu la kugharamia ni la Serikali ya Jamhuri ya Muungano
sosi:NIPASHE,25...
Mwandishi Wetu
Zitto Kabwe, Mbunge wa Kigoma Kaskazini
Haya ni maoni ya Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Kabwe Zitto, kuhusu sekta ya gesi na mafuta. Ili kujua zaidi mawazo yake, endelea kusoma...
Kutokana na maamuzi ya mkutano uliomalizika jana mjini dodoma,na kutokana na Utetezi wa Lowasa,na kuhoji uhalali wa wawili hawa kuzunguka nchi nzima wakimtukana kwa kutumia pesa ya chama icho,je...
Inteligensia ya Gazeti la Raia Mwema imeweka wazi kwamba, hapo nyuma Limewai kumnasa Rais Mstaafu Benjamin William Mkapa akimfananisha Rais Kikwete na Robot kwa sababu ya tabia zake za kusukumia...
Kilumbe Ng'enda amevuliwa Ukatibu wa Mkoa wa Dar es Salaam (CCM) kwa kosa la kutenda maamuzi binafsi kinyume na maamuzi ya vikao halali vya chama.
Taarifa tulizo nazo zinazidi kueleza kuwa...
Fri, Nov 25th, 2011
Fri, Nov 25th, 2011| Tanzania
The government was yesterday advised to have in place a policy to protect and guide local cotton industries by enabling them to compete with...
Imeandikwa na Neville Meena, Dodoma
UTEKELEZAJI wa mpango wa CCM uliolenga kuwashinikiza watuhumiwa wa ufisadi kuachia nafasi zao za uongozi ndani ya chama hicho, umechukua sura mpya na sasa...
WANAFUNZI zaidi ya 5000 wa shule za msingi jijini Dar es Salaam, watakosa masomo kwa muda wa siku 40 kutokana na maandalizi ya sherehe za miaka 50 ya uhuru wa Tanzania. Uchunguzi wa Tanzania Daima...
Nimetoka Uwanja wa Taifa kuangalia mpira, bahati mbaya nimeshuhudia kituko kikubwa. Ulipigwa wimbo wa Taifa wa Zanzibar, Bendera yao ikiwa imepandishwa. Kesho Timu ya Kilimanjaro Star nao...
Hivi haiwezekani kufungua kesi dhidi ya Serikali kwa kuhujumu uchumi! Serikali hivi karibu ilikaririwa ikisema kuwa Mkataba wa Buzwagigate una maslahi kwa nchi. Kuvuja kwa mkataba huo...
Kama ilivyopendekezwa lazima tuanze kujipambanua kati ya wanaouunga "Muswada wa Makinda" versus " Muswada wa Wananchi". Kwa mtizamo wangu kama tutajigawanya katika pande hizi mbili, majina haya tu...
Tundu Lisu kama jembe linaloumiza vichwa vya watetezi wa Magamba, hasa JK, Anne Makinda,Job Ndugai, Celina Kombani, AG, Kashililah, Wazanzibari (baada ya kupewa ukweli kuhusu ushiriki wao kwenye...
hii taarifa imenishitua sana. ati suala la gamba litajadiliwa kwa namna nyingine katika mifumo mingine ya kichama. swali hapa ni je, kuna mifumo mingine rasmi zaidi ya vikao vyao vya cc na nec?
Hivi karibuni rais ameteua wakuu wa mikoa. Wengi wa walioteuliwa ni wale waliokuwa wabunge na kushindwa kuhifadhi viti vyao bungeni. Ndipo nilipopata swali kati ya rais na wananchi nani anamjua...
Glory 2 god!
Heshma kwenu,magreat naomba mnieleweshe tofauti ya majukumu ya kichama na ya serikali kwa upande wa raisi
hi n kutokana vkao vya ccm vlivokuwa vnaendeshwa na jk muda ambao ilibid...
Naweza kupendekeza kuwa Lowassa alikuwa na nafasi ya kujijenga upya baada ya kujiuzulu katika kashfa ya Richmond. Wakati ule alipojiuzulu alikuwa bado na umaarufu wa aina yake na umaarufu ambao...
Mbunge wa kigoma kusini na katibu mwenezi wa nccr mageuzi david kafulila amesema chama chao hakihitaji kukutana na Rais JK kwakuwa CCM, Serikali na hata Rais mwenyewe haina dhamira ya kweli ya...
Wapendwa leo nimepata nafasi ya kumuona phothi Wasira akizungumza kuhusu miaka hamsini ya uhuru,akagusia kuhusu sisi tunaotaka mabadiliko akimaanisha kubadili chama tawala akazingatia nchi ya...
"Aidha, imempongeza Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete kwa hotuba yake aliyoitoa kwa wazee wa Dar es Salaam kwa ufafanuzi na maelezo fasaha kwa...
Katibu Mkuu wa CCM, MKAMA asema: "Zoezi hilo liliwahusu vingozi wote wa chamA, kuanzia chini hadi juu. viongozi wote wanaotuhumiwa na ufisadi, wajipime wenyewe, watafakari na kisha wachukue...