Zanzibar yagoma kugharamia Katiba ya Muungano

Bajabiri

JF-Expert Member
Jan 1, 2011
9,730
1,201
Serikali ya Mapinduz ya zanzibar imesema kamwe haitachangia gharama za mchakato wa kuunda katiba mpya,imedai kuwa jukumu la kugharamia ni la Serikali ya Jamhuri ya Muungano
sosi:NIPASHE,25 N0VEMBER,2011
 
Nadhan na idad ya wajumbe toka kwao ishuke,meanz wawe wachache

Wazanzibari wanaogopwa sana! Laiti kama wao ndio wangepinga Muswada sidhani kama JK asingeurudisha kwa wananchi kujadiliwa kabla ya kusomwa mara ya pili!
 
Huu muungano ni wa kufumua na kusuka upya. Na kama haiwezekani tugawane mbao kila mtu aende zake. Inachosha!
 
Mchelea mwana kulia, hulia mwenyewe. Dalili za muungano 'butu' zilianza kuonekana bungeni siku za karibuni. Kilichonusuru ni huu uhusiano wa kinafiki wa CCM na CUF kupinga common threat ya ulaji wao, nikimaanisha CHADEMA. Once CDM issue ikiwa settled, muungano nao utaingia mashakani.
 
...wana haki kama 'nchi ya Zanzibar' kutochangia.
Yaani mpaka fedha za kuunda katiba yetu tuombe msaada nchi nyingine (zanzibar)..

Japo wana wajumbe sawa na maamuzi sawa kama ilivyo kwa 'Tanzania bara'

Kweli hii nchi ni 'popo'
 
Wao wana katiba yao, na washatuma barua UN kuwa huru. Ndio maana kama hawataki hivi. Ni kama Tz ichangie uundwaji wa katiba ya Kenya.
Lakini wabunge wao walikomaa kupitisha mjadala wa katiba...
 
Lakini wabunge wao walikomaa kupitisha mjadala wa katiba...



Wabunge wao wako nchini kwao(Zanzibar) kwenye baraza lao la wawakilishi na umesikia misimamo yao. Au wewe unasema wabunge wapi?
 
Waziri wa katiba na sheria wa srikali ya umoja wa kitaifa Zanzibar amesema Zanzibar haitagharamia mchakato wa upatikanaji wa katiba mpya, gharama zote zitatolewa na serikali ya Muungano.

Source:Nipashe

Kama wazanzibar wanataka usawa wa uwakilishi juu ya katiba kwanini gharama ziwe upande mmoja?hiyo haitaleta inferiority katika ownership ya katiba kwa watanzania?
 
Back
Top Bottom