Kama vile FBI na CIA wkatavyo dili na waarifu na kuwapa witness protections,jamaa anakata dili na CDM,then linakuja bonge la katiba ambalo litaondoa ufalme. Unakuja kuwa Prezidaa kwenye nchi...
Jana tarehe 27/11/2011 JK alikutana na ujumbe wa CHADEMA Ikulu kwa mazungumzo ya mchakato wa kupata katiba mpya. Mazungumzo hayo yanaendelea leo tarehe 28/11/2011. Nakumbuka kwamba CHADEMA...
ninashida ya kujua yafuatayo ili nijue jina la nchi yangu;
1. tanganyika na zanzibar ziliungana, mbona zanzibar bado ipo lakini tanganyika hiyoooooooooo?
2. mbona zanzibar kuna rais, makamu, jaji...
Mwalimu katika tathmini ya vyama vya upinzani kuelekea chaguzi ya 95' aliwahi kusema kuwa upinzani wa kweli utatoka CCM n siyo kwingineko...hili limeonekana kutokana na kudumaa kwa wapinzani toka...
Nimesoma kwa makini mapendekezo ya CHADEMA. Kusema ukweli yamenikuna sana. Yamenikuna kwani yameweka masilahi ya Taifa la Tanzania mbele.
Ni kweli suala la kutanga katiba mpya linahitaji...
Imebainika kuwa chama cha Mapinduzi mkoa wa Arusha kinatumia fedha nyingi ili kuwakodisha mabaunsa 7 kutoka klabu mbali mbali za usiku jijini Arusha kwa lengo la kuwafanyia Fujo wanachama wa...
TITLE: AGRISOLS $100 MILLION LAND DEAL OPPOSED BY US ENVIRONMENT GROUPSOURCE: The East African, KenyaAUTHOR: Kevin KelleyURL: Agrisol archive: Information services -----AGRISOLS $100...
Wana jamvi nimetafakari swala la kutokuhudhuria kwa Dr Slaa katika kikao cha wajumbe wa CDM na Rais Kikwete sambamba na mambo yaliojiri nikapata majibu kuwa huenda Marehemu Sheikh Yahya alikuwa...
Wakati watanzania wakiwa bize kuvuta hewa za kerosene na kemikali zote mbaya na hasa kutokana na kupanda kwa bei ya mafuta hivyo kulazimisha wake zetu kutumia magazeti kuwasha moto, waziri wa giza...
Ninafuatilia coverage ya BBC kwenye chaguzi za Congo. Kikweli ziko balanced sana, hawajarukia kuanza kutangaza kuwa Kabila ndiye mshindi na wanaelezea vizuri matatizo katika zoezi zima la...
Wanabodi,
Pamoja na juhudi zote zinazofanywa kumshawishi Rais Jakaya Kikwete asiutie saini huo muswada kugeuka sheria, nawaomba niwahakikishie kwa asilimia 100% chini ya 100%, rais Jakaya...
Waziri wa Afya wa Zanzibar-CUF bwana Juma Duni Haji ametetea vikali mswada wa katiba mpya uliopitishwa na bunge na kusema hata mwalimu Nyerere wakati wa uandaaji katiba ya mwaka 1977 aliteua...
Habari wana JF !
Kumekuwa na mijadala mingi kuhusu muungano hivi karibuni.
wengine wanataka serekali moja,wengine wanataka serikali tatu na wengine wanataka uvunjwe kabisa.
Binafsi sitaki...
28 NOVEMBER 2011
Mkakati wa kuwamaliza kidiplomasia yatajwa
JK alikwepa mtafaruku,kupisha upepo mbaya
Na Mwandishi Wetu
SIKU tatu baada ya kumalizika kwa vikao vya juu vya Chama Cha Mapinduzi...
Kama umejiunga na CCM hapa marekani na ukitaka kuchukua Green Card au uraia na ukasema ukweli kwenye swali hili hapa.
Je umewahi kujiunga au kusaidia chama chochote cha ki communist au...
Nimeshangazwa sana na kauli ya mh. Mbowe wakati akihojiwa BBC kufuatia "muafaka wa kitaifa" na ikulu. Mpaka sasa sijaelewa hasa uhalali wa huo mswada walioupinga vikali umepata wapi uhalali wake...
Salaam wakuu!
Katika kipindi chote cha kuzaliwa hadi sasa inapotimiza miaka 50, Tanganyika imekua ikipatwa na habari ambazo zinatawala kurasa za mbele za vyombo vya habari (hususani magazeti na...
Wazanzibar hawana excuse ktk Muungano fake.Written by amini // 27/11/2011 // Habari // No comments
Zanzibar si Arusha wala Mbeya Tundu, hakuna uhalali wa Muungano kwa wananchi wa Zanzibar...