CCM yadaiwa kuihujumu chadema Arusha... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CCM yadaiwa kuihujumu chadema Arusha...

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Molemo, Nov 29, 2011.

 1. M

  Molemo JF-Expert Member

  #1
  Nov 29, 2011
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,287
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  Imebainika kuwa chama cha Mapinduzi mkoa wa Arusha kinatumia fedha nyingi ili kuwakodisha mabaunsa 7 kutoka klabu mbali mbali za usiku jijini Arusha kwa lengo la kuwafanyia Fujo wanachama wa chadema mkoani Humo.

  Mabaunsa hao ambao kwa mara ya kwanza walionekana katika mahakama Kuu ya Arusha wakiwa wamevaa miwani meusi wakati wa kesi ya Nape Nnauye ambapo hata Hivyo hakufika mahakamani hapo kutokana na kuumwa.

  Mwandiahi wa habari hizi aliwashuhudia tena mabaunsa hao muda Mfupi baada ya kesi ya viongozi waandamaizi wa chama cha Demokrasia na Maendeleo chadema wakiwa katika viwanja vya mahakama Hiyo.

  Waliingia kwa makundi ambapo kundi la kwanza liliingia na watu watatu na kwenda kukaa nyuma ya gari la katibu mkuu wa chadema Dk Wilbroad Slaa.

  Hata Hivyo baadhi ya watu waliokuwepo mahakamani hapo wamedai kuwa mara Nyingi mabaunsa hao wamekuwa wakionekana katika ofisi za ccm mkoani hapo na kwamba tayari taarifa zinadai kuwa wanalipwa pesa Ndefu kwa ajili ya kushinikiza Fujo za Arusha ili baadae ionekane kuwa zimefanywa na wafuasi wa chadema.

  Hat Hivyo muda mfupi baada ya Dk Slaa na viongozi wengine wa chama kuondoka mahakamani hapo mabaunsa hao nao waliondoka na kuelekea Ofisi za CCM Mkoa.

  Hata Hivyo kijana mmoja ambaye ni mwanachama wa chadema alidai kuwa mmoja wa mabaunsa hao siku tatu zilizopita alifika katika eneo lake la kazi maeneo ya Unga Limited akiwa na panga na kumtishia maisha.

  Taarifa zinadai kuwa mabaunsa hao wameamua kuzisahau kazi zao na kufanya kazi na ccm kwa malipo mazuri ili kuhakikisha kuwa wanachafua na kuvuruga kabisa nguvu ya upinzani Jijini Humo.

  Taarifa Hizo zinaendelea kudai kuwa awali watu hao walikuwa walinzi wanaokodiwa na chadema na kwamba wameamua kugeuka baada ya kuahidiwa donge nono la shilingi laki moja kwa siku.
  Source:bofya hapa:CCM YADAIWA KUKIHUJUA CHADEMA
   
 2. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #2
  Nov 29, 2011
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,985
  Likes Received: 441
  Trophy Points: 180
  [h=3]CCM YADAIWA KUKIHUJUA CHADEMA[/h]

 3. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #3
  Nov 29, 2011
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Nguvu ya Umma haiwezi kuzuiliwa kwa kutumia mabaunsa, tena wa kukodi!...
   
 4. CAMARADERIE

  CAMARADERIE JF-Expert Member

  #4
  Nov 29, 2011
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 4,427
  Likes Received: 158
  Trophy Points: 160
  You can fool some of the people all of the time, and all of the people some of the time, but you can not fool all of the people all of the time.Abraham Lincoln, (attributed),16th president of US (1809 - 1865)
   
 5. d

  dotto JF-Expert Member

  #5
  Nov 29, 2011
  Joined: Sep 29, 2010
  Messages: 1,720
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  NAkumbuka mabaunsa wa pale WAzo.
   
Loading...