BBC ni janga lingine la kitaifa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

BBC ni janga lingine la kitaifa

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by The Stig, Nov 29, 2011.

 1. The Stig

  The Stig JF-Expert Member

  #1
  Nov 29, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 884
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 80
  Ninafuatilia coverage ya BBC kwenye chaguzi za Congo. Kikweli ziko balanced sana, hawajarukia kuanza kutangaza kuwa Kabila ndiye mshindi na wanaelezea vizuri matatizo katika zoezi zima la uchaguzi.

  Hii inatofautiana sana na jinsi walivyo cover chaguzi za TZ 2010.

  Sikiliza kuanzia 08:30 mpaka 22:00

  http://www.bbc.co.uk/swahili/audio_console.shtml?programme=swa1530

  Kwa mwendo huu, kila mtu na kila kitu ni mawakala; polisi, mahakama, jeshi, CNN, BBC, UN, EU,....:)
   
Loading...