EL kamwaga mboga, JK kamwaga ugali | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

EL kamwaga mboga, JK kamwaga ugali

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by msabato masalia, Nov 29, 2011.

 1. m

  msabato masalia Senior Member

  #1
  Nov 29, 2011
  Joined: Dec 3, 2008
  Messages: 118
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Kama vile FBI na CIA wkatavyo dili na waarifu na kuwapa witness protections,jamaa anakata dili na CDM,then linakuja bonge la katiba ambalo litaondoa ufalme. Unakuja kuwa Prezidaa kwenye nchi isiyokuwa na chogi tena. JK anatengenezewa immunity(kama rais wa Yemen):crutch:,then EL kishwa habari yake,anabaki kuwa prezidaa wa ving'ora tu( kama hata uprezidaa akiupata in case tunapata tume huru,mwema,mwamunyange,CAG, mwamyika .et al wanapitishwa na bunge).

  EL umemwaga ugali,uendapo kwenye masinagogi kutoa misaada,omba tu JK asimwage ugali.
   
 2. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #2
  Nov 29, 2011
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,233
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 160
  Hivi huwa hatoi michango misikitini?...Nitashangaa sana!
   
 3. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #3
  Nov 29, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 34,548
  Likes Received: 11,459
  Trophy Points: 280
  anatoa ...
   
 4. kweleakwelea

  kweleakwelea JF-Expert Member

  #4
  Nov 29, 2011
  Joined: Nov 29, 2010
  Messages: 2,259
  Likes Received: 359
  Trophy Points: 180
  actually niliishacommet mara kadhaa...katiba mpya ni suluhisho dhidi ya gamba la ccm....

  jk wala hatakiwi kupata shida!
   
 5. Watu

  Watu JF-Expert Member

  #5
  Nov 29, 2011
  Joined: May 12, 2008
  Messages: 2,965
  Likes Received: 306
  Trophy Points: 180
  Huyo EL Kura atapewa na TISS? jukwa gani atasimama kuomba hizo kura
   
 6. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #6
  Nov 29, 2011
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,053
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  EL mwenyewe anataka tupate katiba mpya.
   
 7. Mpita Njia

  Mpita Njia JF-Expert Member

  #7
  Nov 29, 2011
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 7,014
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 135
  Kwa kweli nimeshindwa kuelewa mleta mada anamaanisha nini
   
 8. g

  gerenuk Member

  #8
  Nov 29, 2011
  Joined: Nov 28, 2011
  Messages: 11
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Muda umeendana ni vyema EL ashughulikie miradi yake tu aaxgane na siasa
   
 9. ndyoko

  ndyoko JF-Expert Member

  #9
  Nov 29, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 4,884
  Likes Received: 191
  Trophy Points: 160
  Hapo vipi kamanda?
   
 10. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #10
  Nov 29, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,721
  Likes Received: 782
  Trophy Points: 280
  yule ni mlokole haendagi msikitini,anapewa urais na mlokole T B J OSHUA WA NIGERIA
   
 11. Ericus Kimasha

  Ericus Kimasha Verified User

  #11
  Nov 29, 2011
  Joined: Oct 27, 2006
  Messages: 481
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 45

  Inaonekana hata ma-steering wenyewe hawamudu vema mchakato utakaowafikisha machweo ya mchezo huu salama. Huyu anautaka Urais na mwingine anataka hakika na usalama baada ya ngwe yake ya Urais kuisha. Mmoja hawezi kuupata Urais bila kujisafisha na kuendelea kuwa ndani ya chama chake na mwingine hawezi kuwa salama kwa majeruhi na usaliti aliomfanyia mwenzie ndani ya chama na serikali yao.

  Mbaya zaidi ni kuwa, kuchelewa kufanyika kwa maamuzi kunaendelea kumpa nafasi mmojapo kuzidi kujidhatiti na kujijenga ndani na nje ya chama, serikali na jamii kiasi kwamba kuna kila dalili kwa sasa jamii kubwa inasikitika naye.

  Msabato, nimefurahi kukusoma tena baada ya kitambo kirefu.
   
 12. Papizo

  Papizo JF-Expert Member

  #12
  Nov 29, 2011
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 4,409
  Likes Received: 250
  Trophy Points: 180
  Kwa vile hii nchi sijui inaenda wapi,EL alistaafu kwa kwa kashfa chafu then leo hii hii eti anaweza kuja kugombea Urais so atamuongoza nani katika hii nchi,na tukae tujue EL akiwa Rais hii nchi tutaishi bila umeme na wala maji....
   
 13. N

  Ndakilawe JF-Expert Member

  #13
  Nov 29, 2011
  Joined: Jul 6, 2011
  Messages: 3,807
  Likes Received: 1,205
  Trophy Points: 280
  Tungoje hiyo 2015, then tutajua nani mboga, nani ugali!
   
 14. Royals

  Royals JF-Expert Member

  #14
  Nov 29, 2011
  Joined: Nov 19, 2011
  Messages: 1,429
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  mleta mada yuko kichwakichwa kweli. Kaamka nazo nini?.
   
 15. m

  maliyamungu JF-Expert Member

  #15
  Nov 29, 2011
  Joined: Aug 14, 2011
  Messages: 446
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Computer za ofisin shida sana.
   
 16. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #16
  Nov 29, 2011
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 9,918
  Likes Received: 613
  Trophy Points: 280
  Kumbe tayari El ni rais wa bongo 2015..??tutajua 2 muda ukifika
   
 17. Rohombaya

  Rohombaya JF-Expert Member

  #17
  Nov 29, 2011
  Joined: Jul 4, 2011
  Messages: 7,060
  Likes Received: 2,044
  Trophy Points: 280
  Mkiona mtu anakimbilia ikulu kwa gharama yeyote ile basi huyo mtu muogopeni kama ukoma - JK Nyerere
   
 18. U

  Umsolopogas JF-Expert Member

  #18
  Nov 29, 2011
  Joined: Nov 24, 2011
  Messages: 256
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kama hajaanza basi yuko mbioni. Hawa wamezoea kununua uongozi.
   
 19. Nicksixyo

  Nicksixyo JF-Expert Member

  #19
  Nov 29, 2011
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 949
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Anatoa kila mahali sasa hivi kurudisha alizoiba,,MAANA NAFSI INAMSUTA NA KUMSHTAKI ANAPOTAZAMA WATANZANIA ALIYOWAIBIA...!!
   
 20. Sniper

  Sniper JF-Expert Member

  #20
  Nov 29, 2011
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 1,940
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  T 2015 CDM


  [​IMG]
  Il Gambino.
   
Loading...