Nani alisema nchi ipo gizani?

Janjaweed

JF-Expert Member
Jan 20, 2010
13,157
10,655
Wakati watanzania wakiwa bize kuvuta hewa za kerosene na kemikali zote mbaya na hasa kutokana na kupanda kwa bei ya mafuta hivyo kulazimisha wake zetu kutumia magazeti kuwasha moto, waziri wa giza na masuala yote ya kunufaisha mafisadi, mwanasheria kitaaluma na msukuma wa nguvu sana anayewawakilisha watu wake vyema sana kwenye serikali hii alikua kavaa blauzi na bukta bize akigaragara kwenye manyasi na kukata chenga watanzania walioridhika na upupu

Ili kupata habari zaidi, hebu gonga hako ka-linki ufaidi zaidi lukwangule entertainment: Siku Ngeleja alipoongoza mashambulizi timu ya Bunge kutwaa kombe la PSPF

TUkio hili limefananishwa na baba aliyekua bize kilabuni akigawa pombe na kukata yenu za samba mapangala wakati mtoto wake yupo ICU akitafuta japo hewa ya mwisho kumsaidia kupata uhai japo kwa sekunde

tukio hili la kuvutia limedakwa na tovuti ya lukwangule live bila chenga

Tanzania bila issues, haiwezekani

****mbafffffffffffffff
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom