Ndugu zangu
Waafrika sisi tu mahodari sana wa kufunga safari, lakini, huwa hatupangi safari. Kuna tofauti ya kufunga safari na kupanga safari. Kuna tofauti pia ya kuwa na mipango na mikakati...
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais – Mazingira, Dk. Terezya Huvisa ameiasa jamii ya watanzania kujenga tabia ya kupanda na kutunza miti ili kufaidika na biashara ya hewa ukaa.
Dk...
Katika vitu ambavyo chadema imefanikiwa ni kuwa na watu wenye fikra za kisiasa na wanazitumia kujenga na kufanya strategies kubwa. Nilikuwa na mkuu mmoja wa chadema nikamuuliza ana maoni gani...
Umefika wakati sasa kwa wabunge kuliweka mezani swala la tofauti za mishahara ya watumishi wa serikali, hapa namaanisha mshahara wa mtumishi wa TRA, TANAPA,BOT una tofauti kubwa sana na mishahara...
Mheshimiwa Rais JK, ni miaka takribani sita sasa toka ulipoanza kutuongoza. Watu wako wanalia maisha magumu kila uchao. Mfumuko wa bei unaziji kupaa na migogoro haiishi. Sidhani kama ushauri wangu...
Ile kesi ya Maandamano ya January 5,inayowakabili viongozi waandamizi wa CHADEMA,akiwepo Mwenyekiti Taifa Freeman Mbowe,katibu Mkuu Taifa,Dr Slaa, Wabunge Ndesamburo, Selasini, Lema, na viongozi...
Wakuu JK amekubaliana na ujumbe wa CHADEMA kukutana tena kesho asubuhi ili kumpa nafasi kutafakari yale waliyo yazungumza leo. Tutarajie nini watanzania?
UNITED REPUBLIC OF TANZANIADIRECTORATE OF...
katiba ya nchi si katiba ya vyama vya siasa,
vyama vya siasa visi "take" advantage kujitafutia umaarufu kwenye suala la katiba mpya,
hapa watanzania wote tuna nafasi sawa ya kuandaa tanzania yetu...
Wana JF,Nimekuwa nikitafakari kwa muda mrefu sana kuhusu uongozi na siasa za nchi yetu,Sielewi ni nini kinaendelea hadi sasa:1. Majina ya viongozi wengi yametajwa waachie ngazi lakini bado wapo...
Akiwa ziarani katika kijiji cha Bulige wilayani Kahama.Mh. E.Maige Mbunge wa Msalala amesema CCM inatekeleza sera ilizoahidi kwa wananchi na kwamba wapinzani hawawezi kuleta maendeleo kwa...
Ukuta kama wa Berlin unajengwa huko Kahama na Kampuni ya kuchimba madini ya Barrick- Buzwagi, ni ukuta wenye ghalama ya juu kuliko unavyofikiri, ni mzunguko wa km zipatazo 80, ninaposema ni wa...
Wana JF nimetazama taarifa ya habari ya TBC leo saa 2usiku nimeona Rais wa Burundi Pierre Nkulunziza akishiriki ujenzi wa jengo la Ofisi ya mkuu wa mkoa nchini humo na inaelezwa kuwa hii ni sehemu...
SERIKALI MBARALI YAMTEGA KANDORO NA USALAMA WA TAIFA
MKUU WA MKOA WA MBEYA ABBAS KANDORO
OFISI ya Mkurugenzi mtendaji wa wilaya ya Mbarali mkoani Mbeya imempa kazi nzito ya kutatua...
Walipewa nafasi ya kujadili marekebisho ya Katiba; CDM wakaleta hoja zao kupitia Waziri kivuli wa Sheria; Tundu Lisu, Bunge likapokea hoja lkn badala ya kujadili hoja wakaleta vioja, wakaanza...
Wadau kuna mbunge wa Mtera kupitia CCM naona anafoka hapa bungeni na kutoa povu kwamba CHADEMA wanafadhiliwa na Ujerumani ili kupinga muswaada wa katiba mpya na kusababisha machafuko katika nchi...
Tanzania ni nchi iliyoanzisha mfumo wa kusamehe baadhi ya kodi wanazotozwa wanajeshi wa jeshi la Tanzania, kupitia msamaha huu wa kodi maduka na kampuni zinazotoa huduma ya bidhaa katika maduka...
Uamuzi huo ulikuwa umechangiwa kwa kiasi kikubwa na maoni shawishi ya mmoja wa Wenyeviti wa Mikoa, Mwenyekiti wa Mkoa wa Mara, Charles Makongoro Nyerere, aliyesema watu wa kawaida walikuwa...
Upinzani si kupinga kila jambo - Seif
Thursday, 18 November 2010 19:53 newsroom
Na Esther Mvungi,Dodoma
MAKAMU wa Kwanza wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Seif Sharif Hamad...
nijambo la kusikitisha kuona barabara ya uhuru ikiwa na hali mbya huku tukitimiza miaka hamsini ya uhuru wetu, hii barabara ni maarufu sana lakini haijatendewa haki kabisa.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.