Wananchi waTanzania hawajapata watetezi wa kweli | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wananchi waTanzania hawajapata watetezi wa kweli

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Nyenyere, Nov 28, 2011.

 1. Nyenyere

  Nyenyere JF-Expert Member

  #1
  Nov 28, 2011
  Joined: Sep 9, 2010
  Messages: 8,105
  Likes Received: 1,631
  Trophy Points: 280
  Nimeshangazwa sana na kauli ya mh. Mbowe wakati akihojiwa BBC kufuatia "muafaka wa kitaifa" na ikulu. Mpaka sasa sijaelewa hasa uhalali wa huo mswada walioupinga vikali umepata wapi uhalali wake kisheria kiasi cha kutaka ufanyiwe tu marekebisho na serikali. Hoja ya msingi kabisa ilikuwa ni mchakato uliopelekea mswada kussomwa mara ya pili kwamba haukuwa halali. Sasa baada ya maongezi ya faragha ikulu ghafla mswada umepatiwa uhalali wake kiasi cha kutokuwa na haja ya kupelekwa kwa wananchi. Je CHADEMA walikuwa wakipigania maslahi ya nani haswa? Kwamba sasa wanasubiri "nia njema" ya serikali kuufanyia marekebisho wakiingiza mapendekezo yao pia!!!!!!!!!!! We still have a long way to go.
   
 2. Waberoya

  Waberoya Platinum Member

  #2
  Nov 28, 2011
  Joined: Aug 3, 2008
  Messages: 10,437
  Likes Received: 2,692
  Trophy Points: 280
  tulia tu mkuu! siku zote huwa wanaenda kichademachadema..kwa hili subiri uone mpira unavyogeuka
   
 3. p

  politiki JF-Expert Member

  #3
  Nov 28, 2011
  Joined: Sep 2, 2010
  Messages: 2,330
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145
  inawezekana tukawa na haraka kwa kile kilichotokea kuliko kitu halisi hasa kilichotokea mimi nina concern kama wewe lakini ninavyoona tuwe kidogo na subira ili tuweze kuwasikia wahusika wenyewe kwenye press conference yao ili watueleze hasa nini kilichotokea kwa maana hivi sasa kuna vitu vingi vinatupwa hewani hatujui which is which ? kwahiyo subira uvuta heri let's give them benefit of doubt. ninapata wakati mgumu sana kuamini kwamba CDM inaweza kukubali kiulani kwani wanaijua ccm vilivyo walivyokuwa watu laghai na wameshaku sacrifice vitu vingi kwahiyo naomba tuwe na subira inawezekana kilichotokea huko ni tofauti na makelele yanayopigwa humu kwenye mitandaoni.
   
Loading...