Jee iti Wazanzibar ccm /cuf wanaichukia Chadema na Tund Lissu wake?. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jee iti Wazanzibar ccm /cuf wanaichukia Chadema na Tund Lissu wake?.

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Kakke, Nov 27, 2011.

 1. Kakke

  Kakke JF-Expert Member

  #1
  Nov 27, 2011
  Joined: Dec 4, 2010
  Messages: 1,797
  Likes Received: 389
  Trophy Points: 180
  [h=1]Wazanzibar hawana excuse ktk Muungano fake.[/h]Written by amini // 27/11/2011 // Habari // No comments

  [​IMG]Zanzibar si Arusha wala Mbeya Tundu, hakuna uhalali wa Muungano kwa wananchi wa Zanzibar.

  Ndugu Wazanzibar leo ktk pita pita yangu nimesudia kupita kuangalia gazeti la (jamiiforums) katika sehemu ilioandikwa Jukwa la Siasa, Humo utaona ufahamu wa Serekali ya Umoja wa Kitaifa na ufahamu wa Chadema na Watanganyika wenza.
  Wengi wa wachangiaji ktk gazeti hilo la Bara wanahisi kuwa Serekali ya Umoja wa Kitaifa (SUK) ni ya ccm na cuf kwa hio imewanyima haki Watanganyika kushiriki au kuwemo ktk Serekali hio.
  Na hili nimesababisha Choyo na Ubaguzi kwa Chadema na ndugu zake wa Ki-Tanganyika kwa vile hawakushirikiswa kuwemo na fika hadi kusema ccm na cuf wamefunga ndowa ya pamoja na cuf imekuwa ccm B.
  Hizi ndio fikra na mawazo ya jamaa zetu wa Tanganyika wanahisi kuwa Zanzibar nisawa na mkowa wa Arusha au Mbeya kwa vile Zanzibar ni ndogo na watu wake kidogo?.
  Ndio ikafika hadi Tundu kusema Zanzibar sio nchi na imepewa mamlaka makubwa mno ktk mchakato wa katiba, yani alikuwa na maana kuwa ishirikishwe Zanzibar kama mikowa mingine ya Tanganyika kwa wingi wa Wabunge Bungeni.
  Mimi sizani kuwa Tundu hajuwi kuwa maana ya Muungano huu ni wa nchi mbili zilizokuwa huru na Dola zake kamili, Zanzibar ilikuwa na kiti chake Umoja wa Kimataifa na pindipo Muungano ukivunjika leo Basi Zanzibar haito omba kiti itakuwa ni mwanachama mkongwe kuwaarifu tu .
  Tafauti yetu na Sudani wao waliomba sisi tayari kipo na tunakirudisha tu, Sasa Twambieni Chadema na ndugu zako lini Arusha na Mbeya ilikuwa na kiti na uwanachama wa Umoja wa Mataifa?.a)
  b.) Ikiwa kigezo cha Chadema kuisakama Cuf kwa sababu wamejiunga ktk Serekali ya umoja wa Kitaifa Zanzibar? Basi na nyiyi W-tanganyika hamujakatazwa kunda Serekali ya Umoja wenu?.
  Kwani mulipo kaa pamoja Bunge la Tanganyika kuiuwa Tanganyika na Katiba ya Tanganyika mulikaa pamoja na Wazanzibar au kutaka uchauri kutoka kwa wazanzibar?.
  Simulikaa wenyewenu Watanganyika kumsikiliza ndugu yenu Mchonga kuwa kuanzia kipindi Fulani itakuwa hakuna tena Tanganyika wala katiba ya Tanganyika, badae Tanganyika na Nembo zote za Tanganyika itakuwa ni Tanzania na katiba ya Tanganyika itakuwa ni ya Tanzania tutaifanyia marakebisho kidogo tu ili kufumba macho Zanzibar?.
  Kwa hio ujanja mwingi mbele kiza, lengo la Nyerere na ndugu Chadema mpaka leo Munaingagania Zanzibar tu iwemo kwenye Muungako hata kama huo Muungano wenyewe haupo na hauna Baraka zozote za wananchi wa Zanzibar wenyewe ni mabavu tu na ukoloni.
  Chama kama Chadema kijitacho chama cha Wananchi niaipu kuona baada ya kushuhulikia mambo yenye faida na watu wenu Munachuhulikia mambo ya Serekali ya watu wa Zanzibar SUK mambo yasio wahusu ndewe wala chikio.
  Serekali ya Umoja wa kitaifa ni Serekali ya Wazanzibar wenyewe nyiyi haiwahusu wa Tanganyika imepata Baraka zote kwa wazanzibar na imeshaguliwa kwa %62 na wazanzibar wenyewe kwa ridhaa yao sasa wivu wa nini Chadema na ndugu zako.
  Kwanza mujuwe hakuna Mzanzibar hata moja atakae Muungano huu fake, na aibu kwa Chadema nikuwa bada ya kudai Tanganyika yenu mulosema munayo sema imekufa yenye historia ya uhuru wenu wa 9December 1961.
  Bado nyiyi munaparatia mambo ya Zanzibar , Mujuwe kuwa Zanzibar siasa imekufa kuna Uzanzibar na Uzalendo ndio ulomo kwenye nyoyo za Wazanzibar hivi sasa, yani jinsi gani ya kujitatuwa na mkoloni mweusi.
  Wazanzibar hawautaki Muungano ni kama vile nyiyi kuikana Tanganyika na kuona ufahari kujita Watanzania nchi isio kuwa na historia, sisi kujita Wazanzibar nifahari na hatuto jizarau kujita hivyo.
  Kaeni yiyi na kungagania Utanzania na kuitwa Watanganyika munahisi ni matusi au ubaguzi ama kweli nyiyi mapepe, jee tukivunja Muungano mutajita vipi? Kujita Watanzania nikujizalilisha asili zenu.
  Daini Tanganyika yenu Chadema mujigombowe na Utata huu wa katiba,katiba haito wasaidia chochote nyiyi hata ikasomwa mara mia nikuzidi kuwafanya ccm waweko madarakani tu.
  Lakini mukihamasicha watu wenu wanachama wenu kuidai Tanganyika yenu nyuma ya badhia la ccm basi munaweza kufanikiwa laa mukidai katiba basi sahauni siasa Chadema ccm haigoki goo .
  Lakini mukidai Tanganyika huenda Mukapata angalau Serekali yenu ya Umoja wa Kitaifa na badae kufikia malengo yenu ndani ya Serekali kwavile mutakuwemo, lakini ikiwa munategemea Wabunge wenu katika Bunge sahauni ccm hawa waheshimu nyiyi wala wanachama wenu.
  Silaha ya watu yani wanachama wenu munao tena wingi na wanachama wametumia jacho na nguvu zao zote kuwachagua ili mukawasimamie mambo yao likiwemo la kuipinduwa ccm ili kuwaletea maendeleo ?.
  Lakini inaonekana bada ya kuwa mkomvi wenu ccm imekuwa mgomvi wenu Smz (Suk)sasa Smz itawasaidia nini W-Tanganyika? .
  M/mungu ibariki Zanzibar na Wzanzibar wote.
   
 2. Kakke

  Kakke JF-Expert Member

  #2
  Nov 28, 2011

  M/mungu ibariki Zanzibar na Wzanzibar wote. ​
   
Loading...