Salam,
Nafahamu kuwa una majukumu chungu mzima, lakini vilevile nafahamu kuwa JF ni kijiwe chako, hivyo hauishi kuchungulia humu na kuona wadau wana mpya gani, hasa baada ya Ujumbe wa CHADEMA...
Written by Awami // 29/11/2011 // Habari // 1 Comment
leo inakuwaje Tanganyika wanapiga dane dane kutia saini inapokuja kutumika kwa Ardhi yao ambayo wao wenye wanasema ni kubwa kupitia...
 Ziundwe Tume mbili za Katiba, moja itakayokusanya na kuratibu maoni
ya wananchi kuhusu Katiba Mpya kwa ajili ya masuala yasiyokuwa ya Muungano ya Tanganyika, na ya pili itakayokusanya na...
Tuesday, November 29, 2011, 7:59
Habari kuu, Mtanzania
Rais Jakaya Kikwete awapiga chenga
Ashindwa kuwakubalia kutosaini Muswada
Mnyika asema msimamo wao upo pale pale
Na Mwandishi Wetu...
Bwana zito kabwe amenukuliwa na vyombo vya habari kuwa anamwomba katibu mkuu wa chadema Dr. Slaa kuitisha kikao cha dharura kulizugumzia swala hilo la posho kupandishwa kinyamela kwa kuwa sera ya...
Kazi ya polisi ni kulinda raia na mali zao. Na kwa mjibu wa katiba ya Tanzania,watumishi wote wa UMMA hawaruhusiwi kuwa wanachama wa chama cha siasa. lla tumeshuhudia mambo ya ajabu sana kwa siku...
Kwa hali isiyo ya kawaida kwa migodi iliyoko chini ya kampuni ya uchimbaji madini ya Barrick wafanyakazi wake wamekuwa kwenye msuguano mkubwa na VIONGOZI (MANAGEMENT) waliowekwa kwa ajili ya...
Is there any sound reason of the above subject question ?
Do MP think thier job and respossibilities are more critical compared to jobs like Education Officers or Agrricultural officers
Do MPs...
Tangu umeanzishwa mfumo wa vyama vingi vya siasa uanzishwe hapa tanzania, kitu kikubwa cha kujifunza ni uadui,chuki na kushutumiana baina ya vyama vya siasa hususan upinzani. Katika sikum za hivi...
Taarifa hii ni muhimu sanaTaarifa kwa vyombo vya habari, Jumanne, Novemba 29, 2011 Wananchi walioarifiwa Bajeti iliyoarifiwa
Taarifa kuhusu bajeti zilizotolewa hivi karibuni katika tovuti ya...
Salaam wadau wote wa JF na wana tanzania wote mtakaobahatika kuiona thread hii
Naomba mawazo wenu ambayo yatakuwa msaada kwangu na huenda ikawa kwa baadhi ya wabunge wa bunge lla Muungano kwa...
Evarist Chahali
Uskochi
AWALI, nilitaraji wiki hii ningeendelea na uchambuzi wangu kuhusu changamoto mbalimbali zinazovikabili vyama vyetu vya siasa nchini kuelekea Uchaguzi Mkuu ujao, mwaka...
29 NOVEMBER 2011
Queen lema, na Pamella Mollel, Arusha
UPANDE wa utetezi katika kesi inayowakabili viongozi waandamizi wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) umewasilisha pingamizi la...
Wakuu tangu jana nimeona ITV wameanzisha kipindi kizuri tu, ambacho nafikiri watakuwa wanaonesha vipande vya hotuba tamu za Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere. Lakini kuna kosa kubwa...
Tuesday, November 29, 2011, 8:08
Mtanzania-Habari
Na Esther Mbussi
WAZIRI wa Sheria na Katiba, ameongeza muda wa miezi sita wa kusikiliza kesi ya kupinga matokeo ya uchaguzi iliyofunguliwa...
WAZIRI wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Samwel Sitta amegoma kusaini mikataba ya Jumuia ya Afrika Mashariki (EAC) unaohusu sera za ardhi, ulinzi na mambo ya nje. Sitta ambaye anaongoza ujumbe...
Kama vile FBI na CIA wkatavyo dili na waarifu na kuwapa witness protections,jamaa anakata dili na CDM,then linakuja bonge la katiba ambalo litaondoa ufalme. Unakuja kuwa Prezidaa kwenye nchi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.