Imefika wakati prophecy ya Nyerere itokee | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Imefika wakati prophecy ya Nyerere itokee

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mharakati, Nov 28, 2011.

 1. m

  mharakati JF-Expert Member

  #1
  Nov 28, 2011
  Joined: Sep 29, 2011
  Messages: 1,275
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  Mwalimu katika tathmini ya vyama vya upinzani kuelekea chaguzi ya 95' aliwahi kusema kuwa upinzani wa kweli utatoka CCM n siyo kwingineko...hili limeonekana kutokana na kudumaa kwa wapinzani toka mwaka huo hadi sasa japo CCM inazidi kuwakatisha tamaa watz walio wengi na tumeona ukweli wa maneno haya ya mwalimu kwa kuangalia wale ambao wamekua wakionyesha cheche kwenye upinzani (Dr Slaa na Maalim Seif) walitoka CCM na kuongeza nguvu kubwa upinzani...sasa kutokana na migawanyiko ndani ya CCM huu ni wakati muafaka kabisa kwa wale waadilifu wachache ndani ya chama kuwaachia Chama Cha Mafisadi au kwa kifupi CCM kwa mafisadi wenyewe akina EL, JK familia zao na vibaraka wao...wananchi wako pamoja nanyi, na wanachama wengi wa CCM wako pamoja nanyi kama mkiamua kurudisha kadi zenu...wapinzani pia wanasubiri ili kwani ndiyo utakua mwanzo wa mwisho wa CCM na dola yao...historia pia inawapa moyo kwa sababu kama haya yametokea zambia na Kenya na tanzania tunaweza!
   
 2. n

  ngwendu JF-Expert Member

  #2
  Nov 29, 2011
  Joined: Jun 7, 2010
  Messages: 1,967
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  sijui utakuwa na umri gani mleta mada. kwa kifupi zamani hakukuwa na chama mbadala zaidi ya ccm na huwezi kufanya chochote bila kuwa na kadi ya ccm. kwa hiyo ukiongelea akina seif, slaa nk wote ujana wao umewakuta kukiwa na ccm tu. vyama vingi vimerudishwa tena (nasema kurudishwa kwa sababu vilikuwepo hapo awali kabla nyerere hajavifutilia mbali) 1992, je kijana aliyezaliwa kipindi hicho angeweza kugombea urais etc? Lakini vijana wa sasa ambao kwa upande wangu ndo nawaona wataleta mabadiliko ya kweli wako ccm? kwa % ngapi? Think woman/man.
   
Loading...