Tunasikitika sana kutamka haya lakini imefika wakati wa kusema. Kisiwa cha Mafia tumekua wanachama na wapenzi wa ccm, na tumekuwa tukiichagua wakati wote wa uhai wake. Pamoja na chama hiki...
Wana JF,
Baada ya kikao cha NEC dodoma Mh MEMBE alimwaaita wajumbe wa NEC wafuatao na Kufanya NAO kikao Nyumbani kwake wajumbe hao ni
NAPE NNAUYE
Capt CHILIGATI
LUSINDE maarufu kwa Jina kibajaji...
Mheshimiwa katika moja ya mambo ambayo ulipatia sana baada ya kuingia ikulu ni kumteua EL kuwa PM. Jamaa anapiga kazi zaidi ya punda ni kuzunguuka nchi kwa ajili ya kuwaamsha waliolala kama...
Wana Jf
Leo majira ya saa Tisa mpaka saa kumi jioni Mh Bernad Membe alikutana na Prince walifanya kikao cha Siri kwa zaidi ya saa moja na baada ya kikao chao hicho Membe alisikika akimpigia sim...
Nukuu kutoka mwanaharisi 30 desemba 2011 by Kondo Tutindaga.
Suala la umeme linagusa usalama wa nchi na kwa kuonekana kuwa mhujumu wa usalama wa nchi na watu wake, ni suala lisiloweza kufumbiwa...
Wanabodi..
Mara kwa mara wanademokrasia, au wanaojifanya kuwa wanademokrasia hupenda kukumbusha kuwa umma ndio wenye mamlaka ya mwisho katika utawala..
Ingiwa usemi huu una maana zaidi...
Source-mzalendo.net
Msimamo wa CHADEMA wa serikali tatu, ni msimamo uliopitwa na wakati sana. Sisi Zanzibar tulikuwa na msimamo huu 1984 msimamo huu ndio ndio uliomfanya Rais Aboud...
Wana JF,
Kwa mujibu wa habari tulizopata muda huu, ni kuwa hatimaye Mh. Emmanuel Nchimbi amefanikiwa kumaliza PHD yake aliyoianza mwaka 2004.
Katika PHD hiyo ambayo alikuwa akifanya utafiti...
Wana jamvi nimejaribu kujiuliza mara nyingi kuwa Tanzania ni nini???
Kutokana na historia niliyofundishwa ni kuwa Tanzania ni muungano wa nchi mbili ambazo ni Zanzibar na Tanganyika.
Lakini swali...
Nilimuona jamaa akiwa na tempa nzuri sana mapaka akawatolea habari maelezo vyombo vyao nje akasema taasisi zote za serikali na watu binafsi wasiolipa mwendo ni huo huo, muda aliotoa umeshaisha au...
Huwa najiuliza kama wabunge wa CUF na wajumbe wao katika baraza la wawakilishi huwa wanakaa kama halmashauri au baraza na kuwa na msimamo wa pamoja! Katika baraza kule znz huwa wanaupinga waziwazi...
Baada ya wabunge wa CCM,CUF na TLP kuwasimanga na kuwatukana wabunge wa CHADEMA na NCCR, Kikwete kuipuuza Kamati ya CHADEMA, na Serikali kukidharau kilio cha umma wa Watanganyika. Ndipo nikaenda...
Kwa kuwa Lowasa amekana mbele ya JK kuhusika kwake na Richmond/Downs, na
huku akidai kuwa alitaka kuvunja mkataba huo lakini JK akamkatalia, na
kwa kuwa JK mwenyewe ameshindwa kukanusha madai...
Thursday, December 1, 2011, 5:45
Habari kuu, Mtanzania
Ni kutokana na mabadiliko ya Katiba ya CCM
Waundiwa Baraza la Ushauri, wanachama watoswa
Utekelezaji waanza kabla ya Mkutano Mkuu...
Nimedokezwa kwamba mjadala j2 ijayo kuhusu mustkabali wa CCM na sera ya kuivua gamba utakaorushwa na Star TV utahudhuriwa na viongozi na magwiji wa siasa nchini akiwemo EL.jee EL ataweza kueleza...
MEI 2 5, 1963, mjini Addis Ababa, Viongozi wa nchi 31 za Afrika walioanzisha Umoja wa nchi huru za Afrika [OAU] siku hiyo, walikuwa na kazi ngumu kucha gua kipi kipewe kipaumbele na...
WATUHUMIWA wakuu wa ufisadi ndani ya Chama Cha Mapinduzi, sasa ni dhahiri wamefanikiwa kuuteka uongozi wa juu wa Umoja wa Vijana wa chama hicho (UVCCM) na kuutumia kufanikisha ajenda zao.
Hali...
Nationalisation in South Africa
A debate that will persist
Will the country's land and mines be nationalised? Who's to say?
Dec 3rd 2011 | JOHANNESBURG | from the print edition
Give us the...
Mchezo mchafu UVCCM Dodoma
Kwa mujibu wa vyanzo vyetu vya habari, wabunge zaidi ya wanne akiwamo Saidi Mtanda wa Mchinga, mkoani Lindi na Dk. Hamis Kingwangala wa Nzega, mkoani Tabora, ni miongoni...
Serikali inamkingia nani kifua Kashfa ya Rada?
Thursday, 01 December 2011 20:27
Mwananchi
Kashfa ya ununuzi wa Rada kutoka katika Kampuni ya BAE ya Uingereza imeingia katika sura...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.