Ni upi msimamo wa CUF juu ya muundo wa Muungano? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ni upi msimamo wa CUF juu ya muundo wa Muungano?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Crucifix, Dec 1, 2011.

 1. Crucifix

  Crucifix JF-Expert Member

  #1
  Dec 1, 2011
  Joined: Feb 20, 2011
  Messages: 1,618
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Huwa najiuliza kama wabunge wa CUF na wajumbe wao katika baraza la wawakilishi huwa wanakaa kama halmashauri au baraza na kuwa na msimamo wa pamoja! Katika baraza kule znz huwa wanaupinga waziwazi muungano lakini walioko bungeni dom wanapenda muundo unaotakiwa na CCM. Je, ni upi msimamo wa chama ili nimsute mbunge wangu?
   
 2. T

  Topical JF-Expert Member

  #2
  Dec 1, 2011
  Joined: Dec 3, 2010
  Messages: 5,176
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  serikali tatu ambayo chadema naona mnaiga kwa kasi..
   
 3. Crucifix

  Crucifix JF-Expert Member

  #3
  Dec 2, 2011
  Joined: Feb 20, 2011
  Messages: 1,618
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Nchi hii imekuwa ya ajabu...kila mtetea haki au mtafuta ukweli basi ataitwa mchadema hata kama hana chama
   
 4. OSOKONI

  OSOKONI JF-Expert Member

  #4
  Dec 2, 2011
  Joined: Oct 20, 2011
  Messages: 10,788
  Likes Received: 3,877
  Trophy Points: 280
  sio nchi ya ajabu hizo ni dalili kuwa chadema inajulikana kama chama cha kupambana na maovu yote, kutetea maslahi ya umma na kuleta maisha stahiki kwa watanganyika usiogope kuitwa chadema!!dont stop the fighting!!
   
 5. M

  Mbopo JF-Expert Member

  #5
  Dec 2, 2011
  Joined: Jan 29, 2008
  Messages: 2,532
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Umewahi kupata wakati ukapitia katiba yao. Ungepitia ungejua wanasimamia wapi. Kama kuna chama kimekuwa consistent katika structure ya muungano ni CUF. Wao wamekuwa wakitaka muundo wa serikali tatu. Wamekuwa wazi katika hilo toka chama kilipoanzishwa, wakati huo Chadema kikiwa ni association ya familia.
   
 6. Filipo

  Filipo JF-Expert Member

  #6
  Dec 2, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 9,330
  Likes Received: 210
  Trophy Points: 160
  Kuulizia msimamo wa cuf ni kujichelewesha. Ni sawa na kuuliza msimamo wa mke wakati unajuwa wa mume. Uliza msimamo wa mume, wa mke utaujua!
   
 7. P

  Panda Kapesi JF-Expert Member

  #7
  Dec 2, 2011
  Joined: Nov 22, 2011
  Messages: 284
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 60
  Duh! Ina maana CUF ni "Jike- Dume" au ni mamsapu wa magamba? Mie sijaeeerewa nijuzeni ati!
   
 8. D

  Do santos JF-Expert Member

  #8
  Dec 2, 2011
  Joined: Feb 7, 2011
  Messages: 470
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  msimamo wa cuf juu ya muungano upo wazi kwa muda mrefu ni serikali tatu.Umeelewa mangi eeeeh acha kupotosha.Kwa kukuongezea masawe msimamo wa cdm ni kuvunja muungano.
   
 9. Mtoto Wa Mbale

  Mtoto Wa Mbale JF-Expert Member

  #9
  Dec 2, 2011
  Joined: May 15, 2011
  Messages: 458
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Pamoja na kwamba si kweli kuwa msimamo wa CDM ni kuvunja muungano, bali kuwa na serikali tatu.

  Lakini kama Tanganyika tunafaidika nini na muungano huu kwa jinsi ulivyo sasa?
   
 10. F

  FUSO JF-Expert Member

  #10
  Dec 2, 2011
  Joined: Nov 19, 2010
  Messages: 11,811
  Likes Received: 2,294
  Trophy Points: 280
  unauliza msimamo wa mama ndani ya nyumba wakati Mumewe yu hai? msimamo wa Baba ndiyo msimamo wa Familia nzima - CUF kakubali kafunga ndoa tena hahisi itakuwa ya kikristo - hakuna kutoka mule. :lol: kapakatwa!! -- Ngangari kwishney.....jino kwa jino kwishiney
   
 11. babad

  babad Member

  #11
  Dec 2, 2011
  Joined: Feb 9, 2011
  Messages: 95
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ni mjinga au mwenye mawazo mgando tu ndo anaweza kuendelea kusema eti Chadema hawataki muungano,Muungano ni makubaliano ya watu wa pande zote mbili hivyo chadema wanachosisitiza ni uwazi katika muungano na nguvu ya wananchi wanaounganishwa
   
 12. Kadamfu

  Kadamfu Senior Member

  #12
  Dec 2, 2011
  Joined: Nov 18, 2011
  Messages: 117
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mi bado nafaidi juice ya ikulu
   
 13. Crucifix

  Crucifix JF-Expert Member

  #13
  Dec 2, 2011
  Joined: Feb 20, 2011
  Messages: 1,618
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Sasa kama huo ndio msimamo, mbona wabunge wa CUF (JMT) wako kimya kuuelezea kwa umma? Tofauti na ZNZ ambako wawakilishi karibu wote wana msimamo kama huo?
   
Loading...