Wazanzibari waiponda CUF

Emil Mwangwa

Senior Member
May 9, 2011
124
24
Source-mzalendo.net

Msimamo wa CHADEMA wa serikali tatu, ni msimamo uliopitwa na wakati sana. Sisi Zanzibar tulikuwa na msimamo huu 1984 – msimamo huu ndio ndio uliomfanya Rais Aboud Jumbe afukuzwe kazi na bosi wake Nyerere; kadhalika Ramdhan Haji Faki. Ni msimamo uliopitw ana wakati sana kwa hapa kwetu.
Msimamo wa Zanzibar kwa sasa ni NO UNION. sio moja wala mbili wala tatu au nne. Siku zile 1998, wakati w akukusanya maoni ya white paper commission, wananchi wengi wa Pemba walipendekeza serikali nne (moja ya Zanzibar, nyengine ya Tanganyika, halafu ya MUUNGANO; mwisho ni federation jumla jumla)!
Ala kulihali – CHADEMA, hata hivyo, pamoja na msimamo wao huo uliopitw ana wakati, bado wapo katika right track. Kama kweli wana dhati ya moyo na nafsi zao; basi msimamo wao nimeupenda, msimamo wa KUSUSIA mchakato wote wa kuipta katiba mpya. tena wafanye ushawishi mkubwa kuipinga katiba hii. Hii ndio itakuwa nusra yetu Zanzibar; ama kuikubali mswada huu, ni hatari na hasara kwa Zanzibar. CUF wao wanakubali msimamo wa kupata katiba mpya hata kama itaizamisha Zanzibar jumla jumla (wenyewe msikasirike, huo ndio msimamo wenu). Ashak Kiongozi kila wakati ananiuliza msimamo wangu ni upi, na siku zote ninamjibu swali hilo hilo kuwa msimamo wangu ni kuikataa katiba mpya, kususisa process yote na ikiwezekana kutoka bungeni dodoma, na wale vi-CCM pale BLW warejeshe kadi zote ya CCM n.k – hapo tutaipata nusra.
Ni hatari kubwa kuruhusu any room ya mchakato huu, mchakato huu utachakachuliwa tu.
Chadema oyeeee! na CUF nao wameitwa Ikulu, itakavyokuwa watakwenda kutusaliti tu, na watakwenda kuwapinga Chadema tu, siasa za kitoto kabisa. hao ndio CUF ya leo…..wamerudi utoto kabisa. Inasikitisha!
 
Unawakilisha wanzanzibari gani? Sie huku Kitope msimamo wetu ni serikali mbili!
 
[FONT="] Source-mzalendo.net [/FONT][/B]

[FONT="]Msimamo wa CHADEMA wa serikali tatu, ni msimamo uliopitwa na wakati sana. Sisi Zanzibar tulikuwa na msimamo huu 1984 – msimamo huu ndio ndio uliomfanya Rais Aboud Jumbe afukuzwe kazi na bosi wake Nyerere; kadhalika Ramdhan Haji Faki. Ni msimamo uliopitw ana wakati sana kwa hapa kwetu.[/FONT]
[FONT="]Msimamo wa Zanzibar kwa sasa ni NO UNION. sio moja wala mbili wala tatu au nne. Siku zile 1998, wakati w akukusanya maoni ya white paper commission, wananchi wengi wa Pemba walipendekeza serikali nne (moja ya Zanzibar, nyengine ya Tanganyika, halafu ya MUUNGANO; mwisho ni federation jumla jumla)![/FONT]
[FONT="]Ala kulihali – CHADEMA, hata hivyo, pamoja na msimamo wao huo uliopitw ana wakati, bado wapo katika right track. Kama kweli wana dhati ya moyo na nafsi zao; basi msimamo wao nimeupenda, msimamo wa KUSUSIA mchakato wote wa kuipta katiba mpya. tena wafanye ushawishi mkubwa kuipinga katiba hii. Hii ndio itakuwa nusra yetu Zanzibar; ama kuikubali mswada huu, ni hatari na hasara kwa Zanzibar. CUF wao wanakubali msimamo wa kupata katiba mpya hata kama itaizamisha Zanzibar jumla jumla (wenyewe msikasirike, huo ndio msimamo wenu). Ashak Kiongozi kila wakati ananiuliza msimamo wangu ni upi, na siku zote ninamjibu swali hilo hilo kuwa msimamo wangu ni kuikataa katiba mpya, kususisa process yote na ikiwezekana kutoka bungeni dodoma, na wale vi-CCM pale BLW warejeshe kadi zote ya CCM n.k – hapo tutaipata nusra.[/FONT]
[FONT="]Ni hatari kubwa kuruhusu any room ya mchakato huu, mchakato huu utachakachuliwa tu.[/FONT]
[FONT="]Chadema oyeeee! na CUF nao wameitwa Ikulu, itakavyokuwa watakwenda kutusaliti tu, na watakwenda kuwapinga Chadema tu, siasa za kitoto kabisa. hao ndio CUF ya leo…..wamerudi utoto kabisa. Inasikitisha![/FONT]


Na huo ndio ukweli wenyewe, CUF wanasikitisha sana kwa sasa, siasa zinawapiga kumbo kirahisi sana. Hii nadhani ni kutokana na ndoa yao kule visiwani.
Jana nilikuwa namuangalia aliyekuwa mgombea wao(cuf) temeke kwenye uchaguzi mkuu wa 2010, mlimani tv akitumia muda wake mwingi kuishambulia chadema kama wafanyavyo ccm. Lakini Heche alimpa majibu ya kumfaa sana na wanangunguri wengine.
 
Tatizo ni kuwa CUF wana wabunge maslahi,hawajui nini matakwa ya Wazanzibari wanachojua ni matakwa ya matumbo yao tu.
 
Nawashanga sana hawa CUF bado kujiita ni wapinzani wakati badala ya kukosoa aliyeko mbele yake yeye amebakiakumtuhumu CDM.Nawafananisha na mnyama mamba,manake akiwa nchi kavu na akiona mvua inanyesha anakimbiliakwenye maji ili asinyeshewe,sasa sijui wapi ni bora.
 
Back
Top Bottom