Malipo ya downs/richmond, kati ya JK na Lowasa nani anatudai? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Malipo ya downs/richmond, kati ya JK na Lowasa nani anatudai?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mikael P Aweda, Dec 2, 2011.

 1. Mikael P Aweda

  Mikael P Aweda JF Gold Member

  #1
  Dec 2, 2011
  Joined: Dec 17, 2010
  Messages: 2,934
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Kwa kuwa Lowasa amekana mbele ya JK kuhusika kwake na Richmond/Downs, na
  huku akidai kuwa alitaka kuvunja mkataba huo lakini JK akamkatalia, na
  kwa kuwa JK mwenyewe ameshindwa kukanusha madai hayo ndani ya NEC.

  Kwa kuwa JK alidai kuwa hajui Richmond/Downs, na
  Kwa kuwa mtoa taarifa za ukweli Dr W. Slaa amesema kuwa Richmond/Downs ni ya kikwete.

  Kwa kuwa Serikali ya JK ilipeleka mawakili feki kusimamia kesi ya Downs/Richmond, wakashindwa kizembe, na
  Kwa kuwa serikali ya JK ilidai kuwa lazima tuwalipe downs/Richmond chap chap bila kuchelewa kupitia kwa mwanasheria mkuu, na
  Kwa kuwa serikali haikujihangaisha kutafuta namna yo yote kuzuia malipo ya mabilioni hayo,

  Kwa kuwa Lowasa ndani ya NEC Lowasa alidai kumshauri JK wamwombe Rostam awatafutie kampuni nyingine baada ya Richmoda kufeli ( DOWNS), na

  Je, nikisema kuwa JK ndo anatudai kwa mgongo wa Downs/Richmond, nimekosea?
  Au nikisema hili lilikuwa dili la wote wawili ( Lowasa na JK ) kabla hawajagombana, nimekosea? Rostam?
  Mimi ninawaza tu, jibu la 100% sijui.
   
 2. Sordo

  Sordo JF-Expert Member

  #2
  Dec 2, 2011
  Joined: Nov 14, 2011
  Messages: 397
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Subjectively you might be right!
   
Loading...