Nauliza tu: NHC walishalipwa pango?

Johnsecond

JF-Expert Member
May 4, 2010
1,076
211
Nilimuona jamaa akiwa na tempa nzuri sana mapaka akawatolea habari maelezo vyombo vyao nje akasema taasisi zote za serikali na watu binafsi wasiolipa mwendo ni huo huo, muda aliotoa umeshaisha au bado? Nina wasi wasi kanyamazishwa na serikali ya kifisadi.

Nawakilisha
 
Back
Top Bottom