JK, Kwa nini muadilifu LOWASSA asiwe naibu Waziri Mkuu! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

JK, Kwa nini muadilifu LOWASSA asiwe naibu Waziri Mkuu!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Jumakidogo, Nov 30, 2011.

 1. Jumakidogo

  Jumakidogo R I P

  #1
  Nov 30, 2011
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 1,859
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Mheshimiwa katika moja ya mambo ambayo ulipatia sana baada ya kuingia ikulu ni kumteua EL kuwa PM. Jamaa anapiga kazi zaidi ya punda ni kuzunguuka nchi kwa ajili ya kuwaamsha waliolala kama farasi. Nadhani hoja zake kuhusu RICHMOND zimeeleweka vyema ndo maana hakuna jeuri yeyote aliyesimama kupingana naye. Kwa kuwa aliacha u PM akiwa bado anafaa. Mpe unaibu Waziri Mkuu ili amboost mwana wa mkulima. Miaka ya nyuma kidogo nadhani unakumbuka. Kuna mtu alikuwa anaitwa Mrema. Aliwahi kupewa nafasi hiyo na mambo yakawa murua kabisa. Nadhani huu ni ushauri mzuri zaidi ya ule wa kutia saini sheria ya muswada wa mchakato wa katiba mpya wenye mapungufu.
   
 2. Kimbunga

  Kimbunga Platinum Member

  #2
  Nov 30, 2011
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 13,011
  Likes Received: 1,816
  Trophy Points: 280
  mawazo ni mawazo
   
 3. MAMA POROJO

  MAMA POROJO JF-Expert Member

  #3
  Nov 30, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 4,966
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 135
  hata wewe unaweza kujipigia debe kuwa naibu waziri mkuu kwa chama chako hakuna nafasi ya naibu waziri mkuu kwa unaowashauri
   
 4. MAMA POROJO

  MAMA POROJO JF-Expert Member

  #4
  Nov 30, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 4,966
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 135
  Dr slaa anafaa zaidi kwa nafasi hiyo sio Urais
   
 5. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #5
  Dec 1, 2011
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  pambafu utadhani umekurupushwa kwenye fumanizi ukasahau wajibu wako wa kujenga hoja hapa JF
   
 6. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #6
  Dec 1, 2011
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  umetumwa na mafisadi kujua upepo unavuma kwelekea wapi upande upi. kwa sasa upepo unapishana na Lowassa subiri utabiri wa hali ya hewa
   
 7. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #7
  Dec 1, 2011
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  naona unataka kununua kesi ya Lowassa umelipwa kiasi gani?
   
 8. palalisote

  palalisote JF-Expert Member

  #8
  Dec 1, 2011
  Joined: Aug 4, 2010
  Messages: 8,352
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 0
  "masaburi'"
  '
   
 9. OSOKONI

  OSOKONI JF-Expert Member

  #9
  Dec 1, 2011
  Joined: Oct 20, 2011
  Messages: 10,792
  Likes Received: 3,879
  Trophy Points: 280
  mpe unaibu waziri nyumbani kwako!! bull shit!!!
   
 10. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #10
  Dec 1, 2011
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  EL anafaa kuwa president, sio unaibu waziri mkuu.
   
 11. Columbus

  Columbus JF-Expert Member

  #11
  Dec 1, 2011
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 2,010
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Alichopanga Mola mwanadamu huchelewesha tu, tusubiri!
   
 12. T

  Tanzaniaist Senior Member

  #12
  Dec 1, 2011
  Joined: Nov 29, 2011
  Messages: 162
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Jamani huyu mtu aliyepost ''KWANINI LOWASSA ASIWE NAIBU WAZIRI MKUU'' msimshangae kwani analipwa kila siku elfu ishirini tu ili ampambe lowassa kwenye JF...,inaonyesha jinsi gani watu wasivyokuwa na utu wanaendekeza tamaa mbele kwa kuopotosha umma! na kuhusu suala la richmond watanzania bado hatujaelewa labda ameelewa yeye aliyepost hii mada!
   
 13. Jumakidogo

  Jumakidogo R I P

  #13
  Dec 1, 2011
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 1,859
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Tulieni tu, hamuwezi kuzuia maji kumwagika na kutiririka bondeni. Kapakwa kinyesi lakini mvua imemnyeshea.
   
 14. Bill

  Bill JF-Expert Member

  #14
  Dec 1, 2011
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 4,158
  Likes Received: 1,246
  Trophy Points: 280
  Mbona mnazunguka mbuyu? JeiKei anafaa kwa nafasi gani? Je ile aliyonayo inamfaa?
   
 15. ntogwisangu

  ntogwisangu JF-Expert Member

  #15
  Dec 1, 2011
  Joined: Nov 25, 2011
  Messages: 516
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 35
  ulaaniwe wewe na uzao wote wa Ngoyay!!!!!shame on you!shame to ccm.
   
 16. Gracious

  Gracious JF-Expert Member

  #16
  Dec 1, 2011
  Joined: Jul 12, 2011
  Messages: 1,750
  Likes Received: 343
  Trophy Points: 180
  Dah,inahitaji moyo kumtetea mtu mwizi'''nlazima uwe umehongwa wewe.

  Hivi kwa akili yako unaona lowasa msafi? Ile kusema kwamba wewe mwenyekiti ulikua unajua kila kitu ndo kunamfanya kuwa msafi? Hivi hauoni kwamba alichosema ni kwamba tuliiba na tuliiba wote,sio peke yangu? Hata kama aliyafanya maamuzi mabaya ,hafai kuwa kiongozi kwa kusingizia eti alifanya maamuzi mabaya wa kulazimishwa na mwenyekiti/rais.Angejiuzulu basi kama aliona maamuzi anayoenda kuyafanya sio sahihi.Leo hii zile Billion 113 tunazodaiwa na Dowans ni zao la Richmond,Richmond ni zao la aidha maamuzi mabaya au rushwa ambayo huwezi kumtenganisha huyo bosi wako lowasa.

  Bwana Jumakidogo endelea tu kulipwa hizo hela za lowasa,manake anazo nyingi kweli tangu alizoiba kule AICC,Zifaidi kidogo walau.
   
 17. Jumakidogo

  Jumakidogo R I P

  #17
  Dec 1, 2011
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 1,859
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Unaweza kunitajia Mtanzania yeyote ambaye sio mwizi? Watanzania wote ni majizi. Isipokuwa tunatofautiana. Wewe mwenyewe ukishika kitengo halafu upate dili lazima utachapa tu. Tujitizame nafsi zetu, kuliko kwenda mbali kwa kuandika matakawa ya kile kisicho mioyoni mwetu. Hakuna anayehongwa hapa. Nilitaka awajibishwe kama kweli alikuwa na hatia.
   
 18. Gracious

  Gracious JF-Expert Member

  #18
  Dec 1, 2011
  Joined: Jul 12, 2011
  Messages: 1,750
  Likes Received: 343
  Trophy Points: 180
  Wewe ukiwa ni mwizi usidhani watu wote wako kama wewe.Kwa sababu ninyi ni wezi na lowasa wako kwa hio unaona bora yeye.Okay,sikujua kumbe mna institution yenu ya wezi.The point here is Lowasa has already revealed himself as improper person to lead Tanzanians.Hatuwezi kuendelea kumg'ang'ania,ana nini cha ziada ambacho hakuna watu wanaomzidi? Ana nguvu ya pesa za wizi ,we know about that.Lakini kitu kingine cha kujiuliza ni kwa nini anatumia mbinu zote chafu na safi aingie ikulu,anatafuta nini ikulu? amepewa uwaziri mkuu ameishia kuiba na kufanya maamuzi mabovu yaliyopelekea nchi kwenye hasara.

  Bwana Jumakidogo, Funguka akili yako,hatuhitaji watu ambao wameshajipambanua ni watu wa aina gani.HE DOESNT DESERVE.
   
 19. k

  kivike Tito I Member

  #19
  Dec 1, 2011
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 8
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  jumakidogo unalazaid kuliko hata hiyo elfu ishilin unayolipwa,mim nakufananisha na Viongoz wa Dini ambao wanatumia Madhabahu na Misikiti kumsafisha huyu bwana,kwa kurubuniwa na michango midogo midogo ambayo chanzo chake ni rushwa,Naona wamesahau kuwa BWANA WA MABWA HAPOKEI RUSHWA,mlaaniwe
   
 20. Jumakidogo

  Jumakidogo R I P

  #20
  Dec 1, 2011
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 1,859
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Najiuliza hapa sipati jibu. Huyu EL ni mwizi?, au anatuhumiwa kuwa ni mwizi? Kama ni mwizi mbona hachukuliwi hatua ndani ya chama chake? Tuhuma pekee haiharalishi hukumu kama mnavyotaka iwe. Kelele za kufuata mkumbo kwa ushabiki wa siasa huwa hazijengi, bali zinabomoa. Mtu mwenye ukweli na tuhuma hizo aweke ushahidi wake hadharani. Sio kubweka bweka hovyo kama majibwa kojo yenye njaa.
   
Loading...