Kikwete mtuhumiwa, tufanye nini? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kikwete mtuhumiwa, tufanye nini?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mgt software, Nov 30, 2011.

 1. mgt software

  mgt software JF-Expert Member

  #1
  Nov 30, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 10,719
  Likes Received: 1,628
  Trophy Points: 280
  Nukuu kutoka mwanaharisi 30 desemba 2011 by Kondo Tutindaga.

  ""Suala la umeme linagusa usalama wa nchi na kwa kuonekana kuwa mhujumu wa usalama wa nchi na watu wake, ni suala lisiloweza kufumbiwa macho. Ikumbukwe kuwa kelele za maadili ya uongozi katika taifa letu yamekuwa hayashughriliwi na sasa twaweza kuamini ni kwa sababu Rais wetu anajishuku kuwa alishughulikia au kusimamia maadili ya uongozi yataibuka masuala mengi ya kashfa zinazomhusu katika eneo hili nyeti la maadili ya uongozi."" mwisho wa nukuu.

  Hii imenitia homa naenda kulala , soma habari kamili kwenye gazeti Mwanaharisi ukurasa wa saba
   
 2. Rumishaeli

  Rumishaeli JF-Expert Member

  #2
  Nov 30, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 225
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  JK kaona dawa ni kujilimbikizia mali kupitia kwa mwanae R1 ili akitoka madarakani awe katajirika kama EL. Sasa hajui mwenzie EL alianza siku nyingi ndio maana anapokwapua chapchap anstukiwa maana anajua muda si mrefu ataachia ngazi.

  Ila jueni kuna maa-lshabab wanasomea u-sniper na sehemu itakayotumika mmeshaijenga kifisadi ni lile jengo refu pale pembeni ya ocean road hospital wallahi pale lazima nimuumize mtu akiwa ikulu.
   
 3. Ringo Edmund

  Ringo Edmund JF-Expert Member

  #3
  Nov 30, 2011
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 4,895
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  tanzania bila mtawala masikini inawezekana.
   
 4. mgt software

  mgt software JF-Expert Member

  #4
  Nov 30, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 10,719
  Likes Received: 1,628
  Trophy Points: 280
  kama kweli ana tuhuma basi kama aliingia kwa bahati mbaya tumsamee maana amezdiwa na wajanja wakishikiana na usalama wa taifa na wakatibu wakuu, na kwa ufupi makatibu wote ni wana usalama
   
 5. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #5
  Nov 30, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 17,991
  Likes Received: 733
  Trophy Points: 280
  Hiyo nayo kali.
   
 6. NGUVUMOJA

  NGUVUMOJA JF-Expert Member

  #6
  Nov 30, 2011
  Joined: Jul 1, 2011
  Messages: 1,353
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Umenukuu kutoka 'mwanaharisi 30 desemba 2011?' ww unaota ndoto ya mchana? Upuuzi mtupu.
   
 7. M

  Mwamakula JF-Expert Member

  #7
  Nov 30, 2011
  Joined: Nov 7, 2010
  Messages: 1,893
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145

  mbona kwenye vyama vya siasa wengi ni watuhumiwa!!!!!
   
 8. M-pesa

  M-pesa JF-Expert Member

  #8
  Nov 30, 2011
  Joined: Sep 4, 2011
  Messages: 605
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Too late jamaa keshajiwekea kinga kwa kutia sahihi kwenye sheria ya muswada wa katiba mpya.
   
 9. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #9
  Nov 30, 2011
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Kama ni ivyo tutakuwa tayari kumsamehe ilopo tu atumie USTAARABU KUJIUZULU, tumchague rais mwingine atakaeweza kutatua matatizo yetu
   
 10. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #10
  Nov 30, 2011
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Jk jua mwisho wa ubaya ni aibu, na aibu zitakujia muda sio mrefu
   
 11. mgt software

  mgt software JF-Expert Member

  #11
  Nov 30, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 10,719
  Likes Received: 1,628
  Trophy Points: 280
  watuhumiwa wa nini ? kanunue gazeti usome, JK v/s Lowasa Juu ya Richmond. Usikurupuke soma habari maana tuhuma ni za siku nyingi zilikuwa zinakificho sana , JK hakujua na Bado hajajua Mwenye Dowans ni nani, sasa Wakatibu wakuu na Yeye huu ndio wakati wa kutuambia Mwenye Dowans kwa kuwa walisaini makubaliano ambayo Lowasa kama waziri mkuu aliyatilia shaka na kumpigia Simu JK kabla ya kukwea Pipa kwenda Ma mtoni.
   
 12. U

  UNIQUE Senior Member

  #12
  Nov 30, 2011
  Joined: Mar 31, 2011
  Messages: 180
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mbona kawaida tu. Mbona ccm na rais wao ni wezi tu. Mwakyembe alisema ningelisema yote ingelikuwa ni anguko la nchi! Mlielewaje. Raisi mwenyewe ni panchi, mkora shit tanzania ni uchi!
   
 13. n

  ngwendu JF-Expert Member

  #13
  Nov 30, 2011
  Joined: Jun 7, 2010
  Messages: 1,967
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Pumba zingine bana!
   
 14. WISDOM SEEDS

  WISDOM SEEDS JF-Expert Member

  #14
  Nov 30, 2011
  Joined: Jun 1, 2011
  Messages: 782
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  Sijui kama kweli unaelewa maana ya desemba. Halafu haliitwi Mwanaharisi bali Mwanahalisi
   
 15. M

  Msharika JF-Expert Member

  #15
  Nov 30, 2011
  Joined: May 15, 2009
  Messages: 936
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  :poahahahahaaaaaaaa
   
 16. Mzee Msemakweli

  Mzee Msemakweli Senior Member

  #16
  Nov 30, 2011
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 159
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Mh! Habari hiyo hata mimi nimeisoma yote. inatia uchungu sana.
   
 17. pmwasyoke

  pmwasyoke JF-Expert Member

  #17
  Nov 30, 2011
  Joined: May 27, 2010
  Messages: 3,583
  Likes Received: 189
  Trophy Points: 160
  Akanunue gazeti la tarehe 30 Desemba 2011?
   
 18. mgt software

  mgt software JF-Expert Member

  #18
  Nov 30, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 10,719
  Likes Received: 1,628
  Trophy Points: 280
  Kama mia tano inampiga chenga nimprintie habari kamili. kuna mtu anajifanya anajua kukosoa maandishi, kiswahili chetu kinafutana unatoka mkoa gani, mie ni wakuja tu, sio mzaliwa wa Ocean Road kama wajanja wengi wanavyojitapa kumbe wamezaliwa .pang......
   
 19. H

  HAKI bin AMANI Senior Member

  #19
  Nov 30, 2011
  Joined: Sep 5, 2011
  Messages: 156
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hapo kwenye red: Real December 2011?
   
 20. k

  komredi ngosha JF-Expert Member

  #20
  Nov 30, 2011
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 381
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  take me in, i can do that for free........i need only a sniper rifle, made in Russia
   
Loading...