Kikao cha Siri Ridhwani na Membe Uwanja wa Ndege | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kikao cha Siri Ridhwani na Membe Uwanja wa Ndege

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by MVUA GAMBA, Nov 29, 2011.

 1. M

  MVUA GAMBA Senior Member

  #1
  Nov 29, 2011
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 102
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Wana Jf
  Leo majira ya saa Tisa mpaka saa kumi jioni Mh Bernad Membe alikutana na Prince walifanya kikao cha Siri kwa zaidi ya saa moja na baada ya kikao chao hicho Membe alisikika akimpigia sim Bwana Mukama na kumuambia Tayari ameongea na Mpiganaji na atamueleza mzee kwahiyo asiwe na Shaka aongee na wanahabari asipate Shaka

  Jukumu la kumuelewesha mzee ni la dogo kwahiyo aongee baada ya hapo dogo alitoka na baadae bosi wa Mambo ya njee alibaki
   
 2. J

  Jasusi JF-Expert Member

  #2
  Nov 29, 2011
  Joined: May 5, 2006
  Messages: 11,484
  Likes Received: 165
  Trophy Points: 160
  Yaani Membe, waziri wa mambo ya nje na ushirikiano wa kimataifa anahitaji kupeleka ujumbe kwa bosi wake kupitia mwana mfalme?
  Tunaelekea wapi?
   
 3. Mnyamahodzo

  Mnyamahodzo JF-Expert Member

  #3
  Nov 29, 2011
  Joined: May 23, 2008
  Messages: 1,854
  Likes Received: 220
  Trophy Points: 160
  Mmh! Napita. Lakini naendelea kujifunza, katika picha hii nani ni sterling.
   
 4. Alwatan

  Alwatan JF-Expert Member

  #4
  Nov 29, 2011
  Joined: May 19, 2009
  Messages: 409
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  We Unahangaika sana na hawa watu... Membe naona anawanyima kweli usingizi, maana kila siku wewe ni Membe this, Nape that,...

  Nahisi na leo usiku utamuota huyo Membe,.... Hahahaa duh!

  Ongezeni bidii kwenye maharambee huko... labda itasaidia.
   
 5. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #5
  Nov 29, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  tafadhali sana wewe simbilisi.............. hatuna prince wa king wala queen wal vitu vya namna hiyo usituvunjie heshima watanzania
   
 6. N

  NnyaMbwate JF-Expert Member

  #6
  Nov 29, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 1,412
  Likes Received: 543
  Trophy Points: 280
  :lol: We haya wee!
   
 7. zumbemkuu

  zumbemkuu JF Bronze Member

  #7
  Nov 29, 2011
  Joined: Sep 11, 2010
  Messages: 9,004
  Likes Received: 586
  Trophy Points: 280
  Mmmmmmh! Mkuu kikao kilikuwa na wajumbe wangapi? Maana kama walikuwa wawili tu isingewezekana haya mambo yajulikane, kweli prince yupo juu, aisee.
   
 8. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #8
  Nov 29, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  halafu jamaa anamwita dogo prince............ how many insults can we take in a day?
   
 9. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #9
  Nov 29, 2011
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,871
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  Ulishawaona Watoto wa Nyerere wakilambana na Mawaziri wa baba yao?

  Sasa huyu anajifanya kuwaiga watoto wa Sadam Hussein, Ghadaffi na Hosni Mubarak?
   
 10. L

  LAT JF-Expert Member

  #10
  Nov 29, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0
  mwana mfalme anapendelea chakula gani, matoke au machalari?
   
 11. D

  DAR si LAMU JF-Expert Member

  #11
  Nov 29, 2011
  Joined: Mar 31, 2007
  Messages: 2,942
  Likes Received: 286
  Trophy Points: 180
  ...Seems like Mukama was declaring a war. I wonder if he has an army ready for the fight. I see a guerrilla war ahead.
   
 12. J

  Jasusi JF-Expert Member

  #12
  Nov 29, 2011
  Joined: May 5, 2006
  Messages: 11,484
  Likes Received: 165
  Trophy Points: 160
  Can you imagine Hillary Clinton meeting wish Sasha to pass a message to Obama?
   
 13. T

  Topical JF-Expert Member

  #13
  Nov 29, 2011
  Joined: Dec 3, 2010
  Messages: 5,176
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Uwongo mwingine bana hauna hata mshiko..membe is a close ally wa JK hamuhitaji dogo, pengine dogo ndio anamhitaji membe.
   
 14. D

  DAR si LAMU JF-Expert Member

  #14
  Nov 29, 2011
  Joined: Mar 31, 2007
  Messages: 2,942
  Likes Received: 286
  Trophy Points: 180
  ...In Africa? Yes we can!
   
 15. Daudi Mchambuzi

  Daudi Mchambuzi JF-Expert Member

  #15
  Nov 29, 2011
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 31,817
  Likes Received: 36,921
  Trophy Points: 280
  [​IMG]
   
 16. J

  Jasusi JF-Expert Member

  #16
  Nov 29, 2011
  Joined: May 5, 2006
  Messages: 11,484
  Likes Received: 165
  Trophy Points: 160
  Basi bwana, I surrender!
   
 17. mfarisayo

  mfarisayo JF-Expert Member

  #17
  Nov 29, 2011
  Joined: Nov 23, 2010
  Messages: 5,035
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Membe on the way to 2015
   
 18. D

  DAR si LAMU JF-Expert Member

  #18
  Nov 29, 2011
  Joined: Mar 31, 2007
  Messages: 2,942
  Likes Received: 286
  Trophy Points: 180
  ...And it has to do with what Mukama was talking today.
   
 19. M

  Mr. Clean Senior Member

  #19
  Nov 29, 2011
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 195
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35


  Jamani, sometimes tukubali Riz1 anastahili uPrince,

  tusiwe wasahaulifu, ni juzi tu tumefanya uchaguzi, pamoja na kuwa jk hakushinda!...lakini tumesahau kampeni ilikuwa ya familia baada ya wazee ccm kumsusia?...jk, riz1, na malkia salma walikuwa wanahaha mikoani kupiga kampeni..mmesahau? sasa kwanini asiwe Prince?
   
 20. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #20
  Nov 29, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  mfalme gani na wewe swahiba mbona unataka kuniudhi

  HATUNA MFALME

  WASITULETEE HIZO ATTITUDE
   
Loading...