Ritz
JF-Expert Member
- Jan 1, 2011
- 46,976
- 32,379
Wanabodi..
Mara kwa mara wanademokrasia, au wanaojifanya kuwa wanademokrasia hupenda kukumbusha kuwa umma ndio wenye mamlaka ya mwisho katika utawala..
Ingiwa usemi huu una maana zaidi katika tawala za kidemokrasia.
Suala la umma kuwa na mamlaka halitegemei mitazamo ya kisiasa bali ni ukweli usiobishaniwa, hakuna utawala unaoweza kudumu ukikataliwa na umma..
Kauli mbiu ya Chadema kuwa wana nguvu umma, jana Naibu Katibu Mkuu, John Mnyika, kasema..
"Chadema hatupo tayari kufanya maandamano tena kwani si suluhusho la matatizo ya watanzania"
Ni kweli alichosema Mnyika huwezi kuwa na Wabunge 23 ukasema una nguvu ya umma..
Kiitwacho nguvu ya umma, sio kingine isipokuwa mtazamo na muelekeo wa pamoja wa umma.
Mtazamo huo unaweza kuwa wa muda mrefu au mfupi, uliopatikana kwa amani au kwa vita kwa uwazi au kwa ghiliba..
Mifano tumeona Tunisia, Syria, Misri, Yemeni, Libya. Hakuna chama siasa kilichoongoza nguvu ya umma.
Siku hizi kuna kawaida ya kufanya migomo, maandamano, na mashindikizo kwa madai ya kutumia nguvu ya umma.
Hiyo sio nguvu umma bali ni nguvu ya kikundi kinachojaribu kutikisa nguvu ya umma iliyopo madarakani