CHUAKACHARA
JF-Expert Member
- Jun 3, 2011
- 12,358
- 6,422
Wana JF, think of a situation ikatungwa sheria kuwa mijadala ya bunge iendeshwe kwa kiingereza, kitatokea nini bungeni????? Nauliza jamani

lusinde na profesa maj marefu just to mention the few wasingeongea mwanzo hadi mwisho wa bunge
1. Parliamentary session will be for minority citizens for the fact that most of our people do not speaks English.
2. There will be contradictions between the members of the parliaments themselves, since many of them were seems idiot (such as Livingstone, Ngonyani, Airo etc just to mention few).
Wana JF, think of a situation ikatungwa sheria kuwa mijadala ya bunge iendeshwe kwa kiingereza, kitatokea nini bungeni????? Nauliza jamani
English si kigezo cha hekima. Hayo ni mawazo yasiyojenga. Mbona hamtaji wabunge wa vyama vingine walioishia middle school kama makamu mwenyekiti wa chama fulani
Wangeruhusiwa kuandika halafu wasome. Hapo wengi wangeajiri watu wa kuwaandikia. Teh teh teh!!!
Tatizo lingekuwa kwa sisi wananchi wa kawaida kuelewa nini kinaendelea. Hali ingekuwa mbaya sana..hata hoja zinazotolewa na mbunge wetu kutututetea tusingezielewa..tungeishia kukodoa kodoa macho.
English si kigezo cha hekima. Hayo ni mawazo yasiyojenga. Mbona hamtaji wabunge wa vyama vingine walioishia middle school kama makamu mwenyekiti wa chama fulani
Mbona Kenya wanaendesha kwa kiingereza ina maana wakenya wengi wanaambulia patupu ukiacha wasomi
enyi watanzani msiokuwa na akili ni nani aliyewaroga ya kwamba kujua kiinngigereza ndiyo kuwa na hekima busara na elimu ya hali ya juu? kiingereza ni lugha tu kama ilivyo kiswahili na si kila anaejua kiingereza basi ndiyo mweye elimu ya kutosha! mfano mzuri hapahapa jf kuna mtu mmoja huwa anaandika kiingereza kizuri sana lakini anachochangia mara nyingi huwa pumba tupu!