Miaka 50 baada ya uhuru bado .... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Miaka 50 baada ya uhuru bado ....

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mtazamaji, Dec 2, 2011.

 1. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #1
  Dec 2, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Bado hatujawa na muundo(structure) thabiti wa serikali
  Matokeo yake kuna ubadilishaji holela wa wizara. Ubadiishaji holela wa majukumu ya wizara, Uhamishaji wa majukumu idara kutoka wizara moja kwenda nyingine. Kwa haraka haraka mtu anaweza kuona haya ni mambo madogo lakini kiutendaji kuna athari tena kubwa tu . Kifedha kuna atahri. Kimipango ya muda mud mrefu kuna athari.

  Tufikie hatua viongozi tujue tutakuwa na na wizara A, B , D E nk kwa kipindi kirefu kama miaka 20.

  Bado hatujui vipaumbele vyetu ni vipi
  Wengi tunapima kipimo cha wizara ya mambo ya nje kuwa moja ya wizara "nyeti". (Sijui kwa nini) Lakini sijui katika vipaumbele vya Tanzania na kiprotokali ya taifa letu sioni kama wizara/waziri ya mambo ya nje anatakiwa kumzidi kiumuhimu kiprtocol wizara ya Kilimo, Wizara ya Madini, Wizara ya Utalii. Bia ujua tunagfuta vipaumbee vya Marekani na UK vya Mambo ya nje, ulinzi na usalama. Watu wa mambo ya nje wanapewa sifa lakini hatujui hata sera ya mambo yetu ya nje inasiamia wapi.

  Kule Uk Kipotocol akitoka PM anayemfuata kwa umuhimu ni waziri wa fedha. Ni sababu kipaumbele na nchi ya UK kiko katika sekta ya fedha., Then wanafuatia wale wa mambo ya Nje na Ulinzi sababu ujasusi na kuuza silaha(radar) ni sehemu ya vipaumbele vyao. Sasa kwa wizara za tanzania tunaweza kuzipanga hivi?
  Ukienda USA utakuta kuna ulinzi sababu big export ya USA ni ulinzi.

  Changamotokwa Great thinker
  Ebu tusaidiane kutaja na kupanga(kulingana na umuhimu) wizara za tanzania kwa mtazamo tunaoona unavyofaa
   
Loading...