Mzee Luhanjo na pigo la mwisho PSPF na TIC | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mzee Luhanjo na pigo la mwisho PSPF na TIC

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Sabato masalia, Nov 28, 2011.

 1. S

  Sabato masalia JF-Expert Member

  #1
  Nov 28, 2011
  Joined: Oct 16, 2011
  Messages: 206
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35
  Akiwa amebakiza masiku machache sana katibu mkuu kiongozi mzee Luhanjo yuko katika heka heka kubwa kuwaweka watu wake katika nafasi ya ukurugezi mkuu wa PSPF na TIC, Mzee Luhanjo pale PSPF anahaha kumuweka bwana Masha na Kule kituo cha uwekezaji TIC anahaha kumuweka bwana Mbilinyi.

  mzee Luhanjo anapambana sana kuona haya masiku machache yaliyobaki katika kiti chake anafanikiwa mpango wake huo mbovu. wana JF habari ndio hiyo ya babu yetu mamvi.
   
 2. ndyoko

  ndyoko JF-Expert Member

  #2
  Nov 28, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 4,974
  Likes Received: 279
  Trophy Points: 180
  Tunamsubiri mtaani aje aonje joto ya jiwe kuishi bila mamlaka
   
 3. ndyoko

  ndyoko JF-Expert Member

  #3
  Nov 28, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 4,974
  Likes Received: 279
  Trophy Points: 180
  kufa kufaana!
   
 4. tembeleh2

  tembeleh2 JF-Expert Member

  #4
  Nov 28, 2011
  Joined: Jul 27, 2010
  Messages: 768
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Kama ni kweli mungu atamlaani. Huu utaratibu wa mfumo wa kurithishana madaraka ndio unaializa nchi yetu.
   
 5. M

  MAMENGAZI JF-Expert Member

  #5
  Nov 28, 2011
  Joined: Dec 31, 2010
  Messages: 781
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  niambie hao watu wawili wakifanikiwa kupata hizo nyadhifa wataleta madhara gani kwenye hizo taasisi, maana umeuita ni mpango mbovu nami siwafahamu vyema hao mabwana
   
 6. OSOKONI

  OSOKONI JF-Expert Member

  #6
  Nov 28, 2011
  Joined: Oct 20, 2011
  Messages: 10,809
  Likes Received: 3,893
  Trophy Points: 280
  Hili sahau ndugu, pesa aliyonayo inamtosha kuishi yeye hadi wajukuu zake bila bughudha, na isitoshe bado ana watu kwenye system wanaomlinda!!
   
 7. D

  Divele Dikalame Member

  #7
  Nov 28, 2011
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 77
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  HIVIi kwa nini huyu mzee anakosa haya na kupanga mipango mibovu kama hiyo? watu wamefanya usaili wapitiwe vyema na kufanyika uteuzi kiuadilifu, inakuwaje yeye anakuwa na majina ya watu wake na kutaka wateuliwe hili ni jambo la hatari sana, sasa kuna umuhimu gani watu kuitwa katika usaili? Luhanjo ameharibu wizara maliasili,nishati na madini bado tu hajifunzi kwa nini anakosa haya mzee mzima huyu?
   
 8. kichomi

  kichomi JF-Expert Member

  #8
  Nov 28, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 511
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Fisi mkuu kumkabidhi fisi mwenzie bucha hujashtuka bado?
   
 9. J

  Jibaba Bonge JF-Expert Member

  #9
  Nov 28, 2011
  Joined: May 6, 2008
  Messages: 1,224
  Likes Received: 135
  Trophy Points: 160
  Halafu atapewa kuwa mwenyekiti wa bodi ya wakurugenzi na member wa bodi nyingi tu za mashirika au idara nyetu za umma. Atateuliwa na raisi (kama Yusuf makamba) kuwa mbunge halafu anapewa uwaziri.
   
 10. N

  Ngandema Bwila JF-Expert Member

  #10
  Nov 28, 2011
  Joined: Sep 8, 2010
  Messages: 1,000
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Siku hizi JF imeanza kupoteza mwelekeo, watu wanatoa thread ambazo uhakika wake unatia taabu, Juzi kuna mtu katoa thread Lowasa anguka mara tatu Dodoma. Mpaka leo mtoa hiyo hoja hajafafanua Lowassa alianguka mara tatu kivipi? kwa hiyo wengine tunajizuia sana kuchngia maada zenye mwelekeo wa Udaku, Vinginevyo weka mwanga zaidi , huyo Mshana ni nani yake Luhanjo, vivyo hivyo na Mbilinyi na je hawana vigezo vya kushika nyadhifa hizo.
   
 11. m

  mharakati JF-Expert Member

  #11
  Nov 28, 2011
  Joined: Sep 29, 2011
  Messages: 1,275
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  pspf ni kitu gani? masha gani? kama ni yule bitoz jamaa ni resounding failure as a public servent...kweli nchi inaendeshwa kiupofu upofu
   
 12. m

  mkomavu Member

  #12
  Nov 28, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 76
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0

  Acha majungu toa sababu zinazoeleweke je hao watu hawana sifa kama hawana sifa au uwezo fafanua vinginevyo hayo ni majunngu na watu kama nyie ndio mnaiharibu JF.
   
 13. L

  Ludewa JF-Expert Member

  #13
  Nov 28, 2011
  Joined: Mar 9, 2009
  Messages: 215
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  pls tuwe serious na tuache kutumia hisia mtoa
  mada tufafanulie tafadhali
   
 14. t

  timbilimu JF-Expert Member

  #14
  Nov 28, 2011
  Joined: Sep 2, 2010
  Messages: 4,782
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  wewe unataka akina nani wapewe?
   
 15. M

  MAMENGAZI JF-Expert Member

  #15
  Nov 28, 2011
  Joined: Dec 31, 2010
  Messages: 781
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Kichomi na wewe, mimi nimesema hao mabwana siwafahamu vizuri hivyo nilihitaji ufafanuzi zaidi, ukiniambia fisi mkuu na fisi mdogo mimi naona kama hadithi za sungura na fisi, siwezi kushtuka.
   
 16. YEYE

  YEYE JF-Expert Member

  #16
  Nov 28, 2011
  Joined: Nov 12, 2011
  Messages: 440
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Dua La Kuku....
   
 17. P

  Positive Member

  #17
  Nov 28, 2011
  Joined: Nov 17, 2011
  Messages: 95
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Majungu, na ujinga tu.

  Ndo maana mnaona wakongwe siku hizi tunakaa pembeni. Vijana mnafanya JF kama jukwaa la majungu na unafiki.
  - Kwanini hao watu hawafai?
  - Luhanjo ndie mwenye mamlaka ya mwisho kuwaweka hao watu na sio rais?
  - Nani ulitaka apewe nafasi hizo au mojawapo?
  - Usaili ulifanyika na wenye sifa wakatupwa?
  - Sifa kwako ni nini? Ma PHD yaliyojazana serikalini huko na hamna kitu au UCHAPA kazi?

  Mods hawa waleta hoja za vihoja kama hawa wakishondwa kujibu maswali naomba mume mnaifungilia mbali TOPIC.
   
 18. jebs2002

  jebs2002 JF-Expert Member

  #18
  Nov 28, 2011
  Joined: Sep 3, 2008
  Messages: 4,405
  Likes Received: 2,443
  Trophy Points: 280
  Sie tulio CCM tunasikitishwa mno na hawa wenzetu, 2015 kazi ipo, kuna hatari nami nasiwapigie kura CCM, haki ya nani, huu ni upuuzi mtupu!
   
 19. L

  Ludewa JF-Expert Member

  #19
  Nov 28, 2011
  Joined: Mar 9, 2009
  Messages: 215
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jf the home of great thinkers, let's post our threads in a sensible way too, in a bid to allow others contribute effectively too.
   
 20. sulphadoxine

  sulphadoxine JF-Expert Member

  #20
  Nov 28, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 2,264
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Mkongwe wewe umekuwa sugu hadi ujiite mkongwe?
   
Loading...