TCRA na mkutano wa mwaka wa wadau | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

TCRA na mkutano wa mwaka wa wadau

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by nndondo, Dec 2, 2011.

 1. n

  nndondo JF-Expert Member

  #1
  Dec 2, 2011
  Joined: Feb 1, 2010
  Messages: 1,250
  Likes Received: 535
  Trophy Points: 280
  yaani hamuwezi amini mkutano wawadau ulioanza saa 3 asubuhi mpaka saa hizi bado watu wako kwenye chai na picha na mgeni rasmi, ni ajabu na kweli hawa watu wanatumia pesa chungu mzima za wananchi kufanya mchezo, hivi mgeni rasmi anashindwaje kuwepo mahali muafaka kwa muda uliopangwa? halafu akifika mipango mingine yote inasimama muda wa wadau waliofika muda muafaka ni kama vile watu wengine hawana shughuli? tunajitengenezea utamaduni wa kishenzi sana hebu mimi nifunge virago niondoke zangu niwaache hawa jokers waendelee, its a pity ndio maana mambo ya maana yanakosa washirki wa maana kwa sababu tu ya ushenzi wao.
   
 2. jogi

  jogi JF-Expert Member

  #2
  Dec 2, 2011
  Joined: Sep 25, 2010
  Messages: 19,335
  Likes Received: 12,801
  Trophy Points: 280
  komaa Mkuu utuwakilishe, ukiondoka lengo lao litatimia kirahisi zaidi, manake hatiye watasema walikutana nanyi wadau mkajadili na mkapitisha maazimio na mapendekezo husika.
   
 3. n

  nndondo JF-Expert Member

  #3
  Dec 2, 2011
  Joined: Feb 1, 2010
  Messages: 1,250
  Likes Received: 535
  Trophy Points: 280
  what is so puking about this mkutano yaani mkutano wa kitaifa wa tanzania ni mara ya pili sasa tunahubiriwa na wakenya na wachina wakati tuko watanzania kibao, kwa mfano kwa nini star wala ITV hawakupewa nafasi ya ku share there experience, they are definetely bigger than channel ten, watendaji wake amboa nawaona hapa Joyce ITV na Mshana kiondo wako mara elfu more experienced than huyu mkenya aliyekuja tanzania mwaka wa jana jamani kuna kudhalilishana sana taifa hili watanzania wenyewe wana tretiana kama mbwa fulani nasikia kichefuchefu kabisa, kwanza huyo mchina wat star times hata alichoongea hatukijui kabisa tunashangaa sana na najua cha kujiuluza nakaa kusubiri nini ni ndio maana hata attendance ya mkutano kama huu so poor wamejazana tcra wenyewe
   
Loading...