Udhaifu wa rais wetu sababu si uwezo mdogo bali mzigo wa dhambi alio nao | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Udhaifu wa rais wetu sababu si uwezo mdogo bali mzigo wa dhambi alio nao

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by domokaya, Dec 2, 2011.

 1. domokaya

  domokaya JF-Expert Member

  #1
  Dec 2, 2011
  Joined: Apr 22, 2010
  Messages: 3,100
  Likes Received: 1,244
  Trophy Points: 280
  Mwanzoni nilikuwa najiuliza huyu jamaa mbona yu dhaifu kiasi hichi? Ilikuwaje aliposhika nyazfa tofauti huko alikopita mpaka sasa. Utetezi wa Lowasa katika kikao cha chama kilichopita kimenipa ukweli wa mambo kuwa si kwamba huyu jamaa hana uwezo kibaolojia. Uwezo anao lakini madhambi yake alyonayo ndio yanamfanya ashindwe kufanya lolote.

  Yaani jamaa ana madhambi mpaka yule mlokole wa Nigeria najiona anafaa kuwa Rais. Mlokole anauliza eti kama hata huyu aliyekuwa na madhambi lukuki tena ya kuthibitishwa amekuwa Rais sembuse yeye?

  Wote wnye madhambi wanayataka madaraka wakifika madarakani wanalolifanya ni kuyalinda madhambi yao. Raisi mwenye madhambi hawezi kuamua lolote na kamwe hana tija kwa wananchi kama huyu wa kwetu alivyo yaani anasubiri muda wake tu uishe aondoke zake Marekani, nchi anayoipenda tangu utoto wake
   
 2. MAMA POROJO

  MAMA POROJO JF-Expert Member

  #2
  Dec 2, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 4,966
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 135
  dhambi za mtu huhesabiwa na Mungu mwenyezi muumba wetu kwa ajili ya adhabu siku ya kiama je wewe umetubu dhambi zako. usichanganye kuhesabu makosa na dhambi ambazo hata wewe unazo. mwache Mungu ahesabu dhambi sisi binadamu tutahesabiane makosa.
   
 3. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #3
  Dec 2, 2011
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Hayo ni mawazo ya kufikirika na kusadikika..kwanza duniani binadam wote wana mapungufu ispokuwa mungu pekee.madhambi unayohesabu wewe ni kwa vile una chuki binafsi na utakufa na umaskini wako wa mawazo.
   
 4. patience96

  patience96 JF-Expert Member

  #4
  Dec 2, 2011
  Joined: Aug 19, 2011
  Messages: 1,187
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  JF the home of great thinkers.
   
 5. patience96

  patience96 JF-Expert Member

  #5
  Dec 2, 2011
  Joined: Aug 19, 2011
  Messages: 1,187
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  thread hii imekaa ki-facebook facebook.
   
Loading...