Rai - Bunge lipunguze safari za kutalii nchi za nje

Candid Scope

JF-Expert Member
Nov 8, 2010
11,883
6,884
TZ1.JPG


Mmommose yuko New York na ujumbe wake toka Bunge la Tanzania



IMG_1259.JPG


Shibuda na Ujumbe wake wakiwa Jamhuri ya Dominika pamoja na ujumbe wake. siku chache zilizopita.

Misafara si ya Kikwete tu ila hata wabunge wanatakiwa kupunguza safari za nje zinaigharaimu mno serikali. Kwangu binafsi sioni manufaa ya safari hizo wakati wanaporudi toka safarini hakuna mabadiliko yanayoonekana kutokana na kujifunza walikoenda, ni sawa na kwamba wanatalii tu.

Wabunge pamoja na kupata mishahara minono na posho za malaki kwa siku lakini bado wanang'ang'ania misafara ya nje ili kuongeza vitambi wakati mfanyakazi wa kawaida anakosa hata chai na chapati asubuhi anapoenda kazini.
 
Hii misafara ina manufaa gani kwa taifa licha ya kupoteza pesa nyingi kwa kuwanufaisha wanaosafiri?
 
Back
Top Bottom