Je hii ilikuwa sawa? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Je hii ilikuwa sawa?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mwanamageuko, Dec 2, 2011.

 1. Mwanamageuko

  Mwanamageuko JF-Expert Member

  #1
  Dec 2, 2011
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 3,796
  Likes Received: 1,294
  Trophy Points: 280
  Hebu tujiulize pale Waziri wa Sanaa na Utamaduni anapotia saini makubaliano kwa niaba ya Mhe. Rais na Mh. mbunge kijana anapokubali kutia sahihi makubaliano hayo na kisha alipotoka nje ndipo anagundua kwamba linaweza kuwa Kanyaboya!!!

  Fikra zangu zinatuma kuamini kwamba makubaliano yale bado ni uendelezaji wa Sanaa za Maigizo kutoka Chama Tawala...

  Nimewasilisha
   
 2. kisu

  kisu JF-Expert Member

  #2
  Dec 2, 2011
  Joined: Mar 31, 2009
  Messages: 802
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 45
  Waliingizwa choo cha stendi!!!
   
Loading...