Kumekua na mvutano mkubwa kati ya google na baadhi ya
serikali ikiwemo China kwamba huwa inatia taarifa zake bila
idhini sasa najiuliza tofauti hasa ya hivi vitu ni ipi?
Information ni taarifa yoyote, news ni sehemu ya information, News kama news ni kitu kipya, nitukio lilitokea muda usio mrefu, leo hii mtu anaweza akapata information ya kitu chochote Jf, hata iformation zinazowahusu watu, news ni kitu kipya ndo maana unapoona habari mpya JF ukiangalia idadi ya watu waliolog ni wengi!
HABAI=Ni neno linalotumika katika kiswahili kuoyesha uchache wa kitu. Yaani HABA : Agharabu HABAI hutumiwa zaidi na washairi katika kulinganisha vina. NEWS; Ni habari iliyokamilika na kufanyiwa uchunguzi. Au inayoaminika tayari kwa kulishwa wapashwaji
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.