CUF kuanika hadharani mazungumzo yao na rais baada ya kukutana nae kesho | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CUF kuanika hadharani mazungumzo yao na rais baada ya kukutana nae kesho

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by MANGI MASTA, Dec 1, 2011.

 1. MANGI MASTA

  MANGI MASTA Senior Member

  #1
  Dec 1, 2011
  Joined: Jul 14, 2011
  Messages: 175
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kesho Chama cha Wananchi CUF kitakuwa na mazungumzo na Raisi-Ikulu kesho ilihali hakijaweka wazi nini zitakuwa ajenda.

  Kwa mujibu wa vyombo vya habari CUF itaanika hadharani mazungumzo yao kesho baada ya kumalizika kikao hicho na JK ilihali miongoni mwa watakaoiwakilisha CUF ni pamoaja na makamu mwenyekieti wa chama hicho Mh. Machano Khamis na manibu katibu mkuu Tanzania bara na visiwani: Mh. Julius Mtatiro na Mh. Ismail Jussaladhu wengine ni Mh. Twaha Taslima mwanasheria na wakili (senior advocate) wa CUF na Habibu Mnyaa-Kiongozi wa wabunge wa CUF bungeni, Mh.Mkiwa Kimwanga-mbunge viti maalum na Mh. Kamabaya-mjumbe wa baraza kuu.
   
 2. MANGI MASTA

  MANGI MASTA Senior Member

  #2
  Dec 1, 2011
  Joined: Jul 14, 2011
  Messages: 175
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  haomakomandoo wote nawaamia kwa kazi na hawajaenda kunywa juice.TUSUBIRI YATAKAYOJIRI KESHO
   
 3. Crucifix

  Crucifix JF-Expert Member

  #3
  Dec 1, 2011
  Joined: Feb 20, 2011
  Messages: 1,618
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Waambie muswada umeshasainiwa na rais hana ubia katika kuteua wajumbe wa tume. Bon apetite kwa wanywa juisi tu hao......
   
 4. F

  FJM JF-Expert Member

  #4
  Dec 1, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Mazungumzo/hija za CUF tayari tunazijuwa, walitoa bungeni na Hansard imewanukuu. Kesho hatutegemei jipya zaidi ya kuunga mkono kusainiwa kwa muswada. Sana sana watasema wamekubaliana kuwe na mawasiliano ya mara kwa mara.!
   
 5. MtamaMchungu

  MtamaMchungu JF-Expert Member

  #5
  Dec 1, 2011
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 3,695
  Likes Received: 507
  Trophy Points: 280
  Si waseme tu Ajenda kumpongeza JK kwa kusaini MUSWADA. Walitumia nafasi ya kwenye Bunge la waume zao CCM, wanataka wakaongeze nini?
   
 6. MANGI MASTA

  MANGI MASTA Senior Member

  #6
  Dec 1, 2011
  Joined: Jul 14, 2011
  Messages: 175
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  KWA TAARIFA ZA NDANI CUF WANAENDA WAKIJUA KWAMBA CHADEMA WALIKUNYWA JUICE YOTE NA NYINGINE WAKABEBA KWENYE ILE MIKOBA MIKUBA.Hivyo wanaenda kwa kazi moja tu KUWATETEA WATANZANIA
   
 7. MANGI MASTA

  MANGI MASTA Senior Member

  #7
  Dec 1, 2011
  Joined: Jul 14, 2011
  Messages: 175
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kuliko kuumiza kichwa maswali yasiyo na mjibu si bora usubiri kesho CUF yenyewew watasema?
   
 8. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #8
  Dec 1, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Nilidhani niko jukwaa na jokes kumbe ni siasa lol .
   
 9. MANGI MASTA

  MANGI MASTA Senior Member

  #9
  Dec 1, 2011
  Joined: Jul 14, 2011
  Messages: 175
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  we si unajua CUF si chama cha waropokaji na kukurupuka.
   
 10. t

  timbilimu JF-Expert Member

  #10
  Dec 1, 2011
  Joined: Sep 2, 2010
  Messages: 4,779
  Likes Received: 151
  Trophy Points: 160
  Kulikua na haja ya kuanzisha thread yako ya kipuuzi?
   
 11. t

  timbilimu JF-Expert Member

  #11
  Dec 1, 2011
  Joined: Sep 2, 2010
  Messages: 4,779
  Likes Received: 151
  Trophy Points: 160
  Jina Mangi siyo la vilaza kama wewe. Inaonyesha wewe ni raia wa nchi jirani ya Zanzibar mwenyeji wa Pemba.
   
 12. T

  Topical JF-Expert Member

  #12
  Dec 1, 2011
  Joined: Dec 3, 2010
  Messages: 5,176
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  tunawasubiri jukwaa feki la katiba..wakamwone rais wafundishwe siasa za bongo
   
 13. King2

  King2 JF-Expert Member

  #13
  Dec 1, 2011
  Joined: Nov 16, 2011
  Messages: 1,289
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Hilo li chama Cuf limepoteza mvuto!
   
 14. Linyakalumbi

  Linyakalumbi JF-Expert Member

  #14
  Dec 1, 2011
  Joined: Jul 28, 2011
  Messages: 259
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  Hivi Nchi moja inawezaje kushiriki kutunga Katiba ya Nchi nyingine? Jamhuri Muungano ya Watu wa Zanzibar (UNGUJA + PEMBA), yaani Muungano wa Nchi hizi inakuwaje ziende Kusaidia Kutunga Katiba ya Nchi Jirani ya TANGANYIKA?

  Halafu Chama Tawala Cha PEMBA kinakuja kuzungumza na Watu wa Tanganyika why?

  Kwani Makamu wa Kwanza wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Zanzibar si yupo Serikalini kwa Muungano wa Chama Tawala Unguja ambacho Kina Fanana Jina Na Chama Tawala Tanganyika, si angeweza wasemea tu kuliko kupoteza fedha ya Walipa Kodi mpaka huku Tanganyika?
   
 15. M-pesa

  M-pesa JF-Expert Member

  #15
  Dec 1, 2011
  Joined: Sep 4, 2011
  Messages: 605
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Hapa nimejifunza kuwa katika upinzani kuna LEADERS na FOLLOWERS!
  Sijui CUF tuwaweke kwenye kundi gani; followers au late adopters?
   
 16. M

  Mgongo wa paka JF-Expert Member

  #16
  Dec 1, 2011
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 486
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  kuna watu wana chuki za kipumbavu wanao kwenda ikulu ni watanzania subirini tusikie kipi kitaamuliwa. Cuf ni ya tz ccm ni ya tz cdm ni ya wa tz tazizo lenu nini? Kama tatizo lenu cuf semeni nini kasoro yake kiweze kujirekebisha muache chuki za kifala na kipumbafu.
   
 17. KASHOROBANA

  KASHOROBANA JF-Expert Member

  #17
  Dec 1, 2011
  Joined: Jul 30, 2011
  Messages: 3,249
  Likes Received: 406
  Trophy Points: 180
  W DOGO UWE SERIOUS, KASHFA IZO, MWANACUF WE AKA (ccm b)
   
 18. Duble Chris

  Duble Chris JF-Expert Member

  #18
  Dec 1, 2011
  Joined: May 28, 2011
  Messages: 3,487
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  punguza hasira sisi sote ni watanzania hai
   
 19. Crucifix

  Crucifix JF-Expert Member

  #19
  Dec 2, 2011
  Joined: Feb 20, 2011
  Messages: 1,618
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Sasa mbona ujumbe mzito kwenda kwa rais unajumuisha mgalatia mmoja tu?
   
 20. M

  Makamuzi JF-Expert Member

  #20
  Dec 2, 2011
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 1,157
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 133
  Sijaona chama cha ovyo kama CUF,hao wawakilishi ndo wameona wanafaa?hivi CUF hawana mshauri wa masuala ya kisiasa?
   
Loading...