Watanzania tusisubiri kutafuniwa kila kitu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Watanzania tusisubiri kutafuniwa kila kitu

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by kabuga, Dec 3, 2011.

 1. k

  kabuga Member

  #1
  Dec 3, 2011
  Joined: Nov 19, 2011
  Messages: 78
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nimekuwa nikifuatilia mambo kadhaa yanyo jitokeza Tanzania, wabongo tumebaki watu wa kusubiri kila jambo wafanye CHADEMA, nasi tushabikie,
  so CDM wanapofikia mwisho wao sisi hubaki kuwalaumu, eti hawaja komalia kitu hicho, hoja yangu ni kwamba CDM wamekuwa wakifanya kwa uwezo wao ila sisi huwa tunawaangusha, kumbuka nao ni watu na pia ni viongozi so kuna mambo mengine hawawezi kuendelea kuyachokonoa, ila sisi wananchi wanakuwa wametupa njia(mwanya) wakaanza kuyafuatilia ona mifano
  1) inshu ya posho bungeni, jamaa nao ni watu nao pia wanapenda kupata fedha, so siyo rahisi kuendelea kukomalia inshu kama hiyo ,lakini kwakuwa walisha oyesha njia ilikuwa zamu ya wananchi kuanza kukomalia hiyo habali ya posho, walau kupitia taasisi kama vile TAMWA,TGNP,HAKI ZA BINADAMU, TUCTA na wananchi wa kawaida
  20) Ongezeko la posho bungeni toka 70000 hadi 200000, nako pia wananchi wangekuwa wamepata sehemu ya kuanzia japo kwa hili nawashukuru TUCTA kwa kuliona

  3) Ufisadi
  4) Katiba mpya, hapa tumebaki kuwa mashabiki tu kushangilia hotuba zilizo kufa kama zile za JK kwa mizee ya CCM dsm
   
 2. S

  Shamwile Member

  #2
  Dec 3, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 27
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Naunga mkono hoja mkuu...tupo pamoja!
   
 3. JamboJema

  JamboJema JF-Expert Member

  #3
  Dec 3, 2011
  Joined: Jun 14, 2011
  Messages: 1,148
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  Umenena mkuu. Tumebaki watazamaji!
   
 4. S

  SHIMBONONI Senior Member

  #4
  Dec 3, 2011
  Joined: Sep 17, 2011
  Messages: 112
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 45
  Bravo. Umenena Mkuu.
   
Loading...