CCM kulichukulia hatua gazeti lililo chapisha habari za kupotosha umma | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CCM kulichukulia hatua gazeti lililo chapisha habari za kupotosha umma

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by engmtolera, Dec 2, 2011.

 1. engmtolera

  engmtolera Verified User

  #1
  Dec 2, 2011
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 5,081
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  ktk taarifa ya habari ya TBC ya saa mbili usiku,NAPE amesema kuwa chama cha mapinduzi ccm kitalichukulia hatua gazeti linalochapishwa kila siku hapa Tz kwa kuandika habari za kupotosha umma na kutumia nyaraka ambazo ni siri na bado hazijafanyiwa kazi na chama.
  amesema kuwa gazeti hilo limeandika habari yenye kichwa cha habari CCM KUWAFUKUZA WAZEE KTK CHAMA

  jamani hata mie siijui ni gazeti gani hilo
   
 2. The Hunter

  The Hunter JF-Expert Member

  #2
  Dec 2, 2011
  Joined: Dec 25, 2010
  Messages: 1,049
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 145
  Huyo choko kakosa cha kusema sasa, maana washamkataza kuimba ule wimbo wa zamani.
   
 3. Daffi

  Daffi JF-Expert Member

  #3
  Dec 2, 2011
  Joined: Jun 25, 2011
  Messages: 3,803
  Likes Received: 178
  Trophy Points: 160
  Nape!!!gazeti la mtanzania linamnyima usingizi!!!Magamba yamegoma vulika sasa hasira amehamishia kwenye magazeti
   
 4. Chatumkali

  Chatumkali JF-Expert Member

  #4
  Dec 2, 2011
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 2,045
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Unamaanisha Mtanzania ndio gazeti linalosemwa?
   
 5. MsakaGamba

  MsakaGamba JF-Expert Member

  #5
  Dec 2, 2011
  Joined: Jun 22, 2011
  Messages: 392
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Ni Mtanzania gazeti kutoka jumba la newhabari cooperation ya kidume RA.
   
 6. Malipesa

  Malipesa JF-Expert Member

  #6
  Dec 2, 2011
  Joined: Aug 23, 2011
  Messages: 310
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Amelitaja Gazeti la Mtanzania, alikua hana haja ya kutangaza hio, ningemwona wa maana zaidi kama ningesikia taarifa yake ikisema ameshalichukulia hatua za kisheria, ingesaundi zaidi ya kutishia kwanza. Sasa kama hatachukua hatua hapo baadae, habari hiyo itakuwa na maana gani?..............................
   
 7. M

  Molemo JF-Expert Member

  #7
  Dec 2, 2011
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,287
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  Hakuna lolote sanasana ni vita ya makundi inapamba moto.
   
 8. K

  Keil JF-Expert Member

  #8
  Dec 2, 2011
  Joined: Jul 2, 2007
  Messages: 2,214
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Kaazi kweli kweli!

  Sasa kama Gazeti lina Barua hiyo, hata kama imeandikwa kwamba ni SIRI, kosa ni la nani?

  May be niulize swali, hivi kuna sheria ambayo inazuwia kusoma siri za chama/kampuni/organization? Mimi nilijua siri ni za serikali tu kwa kuwa zinaweza kuhatarisha usalama wa nchi. Wana sheria naomba msaada!
   
 9. Godlisten Masawe

  Godlisten Masawe Verified User

  #9
  Dec 2, 2011
  Joined: Jul 20, 2011
  Messages: 739
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Tutaona mengi zaidi ya haya.
   
 10. Tony Almeda

  Tony Almeda JF-Expert Member

  #10
  Dec 2, 2011
  Joined: Sep 18, 2011
  Messages: 397
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Anatafuta pa kuzugia huyo hana lolote!
   
 11. engmtolera

  engmtolera Verified User

  #11
  Dec 2, 2011
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 5,081
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  sasa hasira zinahamia ktk magazeti,ngoja tuone
   
 12. K

  KIM KARDASH JF-Expert Member

  #12
  Dec 2, 2011
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 5,083
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Hilo ni gazeti "Mtanzania" la Rostam Azizi ambalo liko chini ya "Msomali" Bashe!
   
 13. K

  Keil JF-Expert Member

  #13
  Dec 2, 2011
  Joined: Jul 2, 2007
  Messages: 2,214
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Ongeza na hasira za kupigwa stop asiende Igunga kwenye kampeni na ilihali fisadi Rostam akiombwa aende kuwapa shavu! Ndo ajabu ya mafisadi, wanapiga vita ufisadi, fisadi anajivua gamba halafu huyo huyo fisadi anayechafua chama anaombwa akasaidie kufanya kampeni huku wale ambao wanaitwa wapiganaji wakiambiwa wasiende!
   
 14. Leonard Robert

  Leonard Robert JF-Expert Member

  #14
  Dec 2, 2011
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 9,150
  Likes Received: 2,472
  Trophy Points: 280
  sasa Nape anataka kumchokoza mme wao..tusubiri tuone kama mtu hataolewa.
   
 15. engmtolera

  engmtolera Verified User

  #15
  Dec 2, 2011
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 5,081
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  kule aliambiwa atavuruga chama
  maana wanaelewa kuwa ni mvurugaji,hivi kama sio mvurugani kwanini walimzuia asiende Igunga?
   
 16. engmtolera

  engmtolera Verified User

  #16
  Dec 2, 2011
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 5,081
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  nilikuwa sijui bana,nashukuru kwa taarifa
  sasa kazi ipo anataka kuliwashia moto,sijui itakuwaje,ngoja tusubiri
   
 17. M

  Molemo JF-Expert Member

  #17
  Dec 2, 2011
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,287
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  Analishambulia gazeti kwa chuki zake kwa kundi la Lowassa
   
 18. Puppy

  Puppy JF-Expert Member

  #18
  Dec 2, 2011
  Joined: Oct 6, 2011
  Messages: 2,280
  Likes Received: 666
  Trophy Points: 280
  Carolite hazinaga maamuzi magumu siku zote
   
 19. MANAMBA

  MANAMBA Senior Member

  #19
  Dec 2, 2011
  Joined: Jan 16, 2011
  Messages: 169
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Gamba limewashinda wanatafuta kuhamisha attention ya watu wasiwaulize mambo ya magamba
   
 20. JoJiPoJi

  JoJiPoJi JF-Expert Member

  #20
  Dec 2, 2011
  Joined: Aug 8, 2009
  Messages: 2,477
  Likes Received: 1,444
  Trophy Points: 280
  Muacheni ajiliwaze
   
Loading...