Tafsiri ya katiba | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tafsiri ya katiba

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Dik, Dec 3, 2011.

 1. D

  Dik JF-Expert Member

  #1
  Dec 3, 2011
  Joined: Nov 15, 2011
  Messages: 1,205
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Katiba ya jamhuri ya muungano wa tz ibara 37(1)"raisi atakuwa huru na hatalazimika kufuata ushauri atakaopewa na mtu yeyote"
  wana jf kuna uwezekano au haupo wa raisi"kudictate"?bila itikadi na jazba naomba 2juzane!
   
Loading...