IGP mwema mkataze rais leo asitoe hotuba kwani kuna tishio la al shabab | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

IGP mwema mkataze rais leo asitoe hotuba kwani kuna tishio la al shabab

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by king11, Nov 30, 2011.

 1. k

  king11 JF-Expert Member

  #1
  Nov 30, 2011
  Joined: Jun 7, 2010
  Messages: 328
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  kutokana na taifa kuwa katika kitisho cha al shabab ni vema mwema azuie hotuba ya rais ya leo kwa taifa kwani kitisho hiki bado kinaendelea na bado polisi hawajatuambia kitisho hiki kimeisha
   
 2. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #2
  Nov 30, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,189
  Likes Received: 4,543
  Trophy Points: 280
  Hii nayo ni thread!
   
 3. C

  CHUAKACHARA JF-Expert Member

  #3
  Nov 30, 2011
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 12,018
  Likes Received: 3,612
  Trophy Points: 280
  Umeniacha hoi, bravo!!!!!!!
   
 4. gango2

  gango2 JF-Expert Member

  #4
  Nov 30, 2011
  Joined: Aug 31, 2011
  Messages: 1,052
  Likes Received: 204
  Trophy Points: 160
  umekunywa chai asubuhi wewe!!!
   
 5. k

  king11 JF-Expert Member

  #5
  Nov 30, 2011
  Joined: Jun 7, 2010
  Messages: 328
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  kipindi cha kitisho cha al shabab na kuwekewa ya mwakyembe nimesitisha kula wala kunywa kwani kwa tz ni hatari kuishi au kula vyakula ovyo
   
 6. Joseph

  Joseph JF-Expert Member

  #6
  Nov 30, 2011
  Joined: Aug 3, 2007
  Messages: 3,523
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Mbona sielewi hapa??
   
 7. M

  Marytina JF-Expert Member

  #7
  Nov 30, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 7,031
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Ila kwenye soka hamna alshabab
   
 8. FaizaFoxy

  FaizaFoxy JF-Expert Member

  #8
  Nov 30, 2011
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 56,943
  Likes Received: 19,522
  Trophy Points: 280
  Ritz welcome back. Vipi, ulipotea kwa muda humu, u mzima?
   
 9. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #9
  Nov 30, 2011
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 10,995
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Mkubwa uko sahihi kbs! Na bila shaka afanye hivyo mara moja kwa ajili ya usalama wake na hata kwa manufaa ya wana sisiem wake.! Na kama atapuuzia bila shaka ni sawa tu! Yatakayomkuta atajashanga mwenyewe na roho yake!
   
 10. engmtolera

  engmtolera Verified User

  #10
  Nov 30, 2011
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 5,078
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  alikuwa anaogopa al shabab,sasa tishio limeisha
   
 11. VUTA-NKUVUTE

  VUTA-NKUVUTE JF-Expert Member

  #11
  Nov 30, 2011
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 5,792
  Likes Received: 5,694
  Trophy Points: 280
  Rais Kikwete hurekodi hotuba yake kama Orijino Komedi...siyo kitu live!
   
 12. AirTanzania

  AirTanzania JF-Expert Member

  #12
  Nov 30, 2011
  Joined: Mar 17, 2011
  Messages: 1,039
  Likes Received: 356
  Trophy Points: 180
  Hata shule pia zifungwe kuna mikusanyiko mashuleni, Al shabab wanaweza kulipua shule. Mwema intelejensia yako uliyosemea chini ya muembe inafanyakazi kuliko CIA na mossad
   
 13. BornTown

  BornTown JF-Expert Member

  #13
  Nov 30, 2011
  Joined: May 7, 2008
  Messages: 1,710
  Likes Received: 100
  Trophy Points: 160
  Wee wee wee! alshabab sio kwa rais ni special kwa mikutano ya vyama vya siasa hasa CDM,NCCR, VIKUNDI VYA WANAHARAKATU na mikutano ya Dini TU!! ila kwenda shamba la bibi RUKSA hata Mkuu wa Mkoa wa DAR amewaomba waajiri wawaruhusu wafanyakazi kutoka na kwenda kwenye mkutano wa rais akipokea mwenge na kuhutubia wananchi.
  Makengeza amethibitisha kuwa wamejipanga sawasawa kukabiliana na hao kina alishabab hivyo msitie shaka vijana wake wako tayari kwa lolote litakalo jiri ila baada ya hapo hakuna mikutana yoote hadi mwakani!!!!!!!!!!!!
   
 14. AirTanzania

  AirTanzania JF-Expert Member

  #14
  Nov 30, 2011
  Joined: Mar 17, 2011
  Messages: 1,039
  Likes Received: 356
  Trophy Points: 180
  Aroooo unasema kuwa VERY STUPID IDEOLOGY? umelidhalilisha Jeshi la Mwema na Intelejensia yake. Wewe unajua ni muda gani ummemchukuwa huyu Afande Mwema kuisomea hiyo Intelejensia? Usidharau kazi ya Afande Mwema, Intelejensia yake ndio inakaribisha al Shabab, Inaelekea wanahamu mno na Al shabab
   
 15. k

  king11 JF-Expert Member

  #15
  Nov 30, 2011
  Joined: Jun 7, 2010
  Messages: 328
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  kwani watanzania tumechoka kutishiwa al shabab mimi nadhani ni bora tupeleke majeshi somalia au tukae kimya sio kelele za kila siku
   
 16. Kimbunga

  Kimbunga Platinum Member

  #16
  Nov 30, 2011
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 12,807
  Likes Received: 1,592
  Trophy Points: 280
  Kwani utaratibu wa hotuba za kila mwezi umerudi? Au mkuu anataka kutuweka sawa na kutuandaa kwa miaka 50 ya uhuru wa......(wetu)
   
 17. k

  king11 JF-Expert Member

  #17
  Nov 30, 2011
  Joined: Jun 7, 2010
  Messages: 328
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  ameamua tu kuhutubia taifa tu si kila mwezi
   
 18. M

  Mbopo JF-Expert Member

  #18
  Dec 2, 2011
  Joined: Jan 29, 2008
  Messages: 2,532
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Hotuba hiyo itatolewa katika viwanja gani? Pusi wengine bwana!
   
 19. C

  Chintu JF-Expert Member

  #19
  Dec 2, 2011
  Joined: Feb 4, 2011
  Messages: 2,973
  Likes Received: 469
  Trophy Points: 180
  Hivi kati ya Al Shabab na Magamba nani tishio zaidi kwa waTz? Nani anaua zaidi waTz? Tanzania kuna Alshabab special kwa CDM tuu.
  Nadhani Alshaabab = Magamba = Police. Maana mikutano na sherehe zote ruksa lakini Jukwaa la katiba na CDM ndo wanatishia.
   
 20. k

  king11 JF-Expert Member

  #20
  Dec 2, 2011
  Joined: Jun 7, 2010
  Messages: 328
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  kazi kweli kweli
   
Loading...