CUF imchukue Kafulila

Donyongijape

JF-Expert Member
May 28, 2010
1,497
811
Mimi ni mwanachama mwaminifu wa CHADEMA. Sipendi huyu 'aliyekuwa' mbunge wa Kg kusini arudi chamani. Ni mtu mwenye matatizo sana. Hivyo basi, kama anataka kurudi chamani na kuwa mpambanaji katika probation akiwa mwanachama wa kawaida sawa kabisa, ila siyo kuwa na hadhi yoyote ya uongozi ndani ya chama mpaka hapo tabia yake itakapobadilika. Kama ana njaa ya uongozi, namshauri aende CUF akakutane na Mtatiro,atuachie chama chetu. Tuna vijana wengi wenye wanaokubalika na uwezo mkubwa wa kujaza nafasi ya kg kusini kuliko huyu ndumilakuwili..!
 
Ni kweli ,umenena sawasawa kuwa jamaa achukuliwe na CUF, coz CDM hatakiwi kabisa kutokana na uroho wa madaraka nakupend kuanzisha migogoro, aliyemwita bwana migogoro hakukosea, nashauri viongozi wangu wa cdm waepukkane na hiki kirusi kinachojiita kafulila, kama mnataka kuleta bifu kati ya HECHE na hiki kirusi ruhusuni kiingie. Hakifaiiii kabisa, nccr wamekitema sisi cdm ndiyo tutaweza,kilishatuchafua sana,tusisahau kilitutukana pale kilipopata ubunge na kuanza kushirikiana na CUF, Labda mseme kama heche hatakiwi ndiyo labda kije huku,kupanga ni kuchagua kama magamba yanavyosema,kwa hiyo tuchague kukiruhusu hiki kirusi au HECHE na DR. SLAA waondoke chamani kwetu. Ndiyo maana nakishauri kiende CUF kikamalizikie hukooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo
 
Yaani aende CAFU! Wahafidhina watamla nyama mbichi mbichi!
 
salama ya Kafulila ni kusajili chama chake mwenyewe kama mtikila. maana akili zao ni kama zina gongana!
 
Mimi ni mwanachama mwaminifu wa CHADEMA. Sipendi huyu 'aliyekuwa' mbunge wa Kg kusini arudi chamani. Ni mtu mwenye matatizo sana. Hivyo basi, kama anataka kurudi chamani na kuwa mpambanaji katika probation akiwa mwanachama wa kawaida sawa kabisa, ila siyo kuwa na hadhi yoyote ya uongozi ndani ya chama mpaka hapo tabia yake itakapobadilika. Kama ana njaa ya uongozi, namshauri aende CUF akakutane na Mtatiro,atuachie chama chetu. Tuna vijana wengi wenye wanaokubalika na uwezo mkubwa wa kujaza nafasi ya kg kusini kuliko huyu ndumilakuwili..!
Kwa hiyo umeona CUF ndio wanataka watu wenye matatizo.
 
Hata Mtatiro ana hulka kama hz..wamchukue waongeze nguvu bara..(kama wataweza)..lol
 
Ha ha ha ha ha ha haaaaaaaaaaaaaaa! Itakuwa bonge la turufu kwa CUF; sijui wapewe nini tena! Kwanza, jimbo watakuwa wamelichukua kiulaini halafu wakimpatia kanafasi fulani ka kizushi kwenye chama chao itasaidia sana "kubalance" manake chama kimetawaliwa kila idara na wale wenye ile kitu usoni hadi inatisha. Kama wana akili wadake hiyo.
 
Akienda CUF basi On a personal level atakuwa amefanya negative workdone. Ametoka -CCM i.e CDM, akaenda CCM B(NCCR), sasa akielekea CCM B+(CUF) the next stop will be CCM itself!! Good heavens forbid.
 
mwacheni afie mbele adui wa upinzani na mwenye kujiona km alivyo zitto. hivi hii ndo hulka ya watu wa kigoma?
 
Ha ha ha ha ha ha haaaaaaaaaaaaaaa! Itakuwa bonge la turufu kwa CUF; sijui wapewe nini tena! Kwanza, jimbo watakuwa wamelichukua kiulaini halafu wakimpatia kanafasi fulani ka kizushi kwenye chama chao itasaidia sana "kubalance" manake chama kimetawaliwa kila idara na( wale wenye ile kitu usoni hadi inatisha.) Kama wana akili wadake hiyo.
Aisee!! Ni vigumu sana kutofautisha Kanisa na Chadema...
 
KUFUKUZWA KWA KOSA LA KI-FIKRA NCCR-MAGEUZI NA KUBAKISHWA KAMA SHUJAA KWA KOSA LA UFISADI DHIDI YA TAIFA KULE CCM IPI NI HATARI ZAIDI?

CHADEMA tuendelee kutumia vema kanuni hii ya
"Working with a LESSER DEVIL" si tu kwa huyu Kafulila bali hata kwa makundi mengine hasimu kule CCM ili kukiimaarisha chama zaidi kabla ya kushika dola mapema Novemba 2015.

Ingawaje binafsi bado sijamuondolea kibendera chekundu huyu kijana Kafulila na Zitto mwenyewe kwa mienendo yao yenye maswali mengi sana huko nyuma, lakini kwa kuzingatia hiyo kanuni yetu mpya hapo juu basi sina budi kukubliana na uongozi wangu utkavyoona inafaa.

Lakini hata akiruhusiwa kujiunga tena ni sharti aturidhishe kwamba anajutia makosa yake, atakua mpambanaji wa kweli chamani kuliko rafiki yangu Zitto ambaye siku hizi 'kaishiwa na risasi' kwenye bunduki yake ya kisiasa na kwamba atakua team-player mwenye nidhamu ili kuharakisha azma ya umma kuking'olea mbali Magamba 2015.
 
Inategemea kama kafulila anaendana na itikadi na sera za CUF...Itakuwa Embarrasement kuingia kwenye chama ambacho wanayoyasimamia huyaamini
 
Kafulila anayemweza ni Agustino Mrema wa TLP kwani kwa hulka ya Mrema Kafulila hatadhubutu kuwa na ubishi hata kwa 1%
 
Ni kweli ,umenena sawasawa kuwa jamaa achukuliwe na CUF, coz CDM hatakiwi kabisa kutokana na uroho wa madaraka nakupend kuanzisha migogoro, aliyemwita bwana migogoro hakukosea, nashauri viongozi wangu wa cdm waepukkane na hiki kirusi kinachojiita kafulila, kama mnataka kuleta bifu kati ya HECHE na hiki kirusi ruhusuni kiingie. Hakifaiiii kabisa, nccr wamekitema sisi cdm ndiyo tutaweza,kilishatuchafua sana,tusisahau kilitutukana pale kilipopata ubunge na kuanza kushirikiana na CUF, Labda mseme kama heche hatakiwi ndiyo labda kije huku,kupanga ni kuchagua kama magamba yanavyosema,kwa hiyo tuchague kukiruhusu hiki kirusi au HECHE na DR. SLAA waondoke chamani kwetu. Ndiyo maana nakishauri kiende CUF kikamalizikie hukooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo
Nani asiye jua kuwa Wabusara ni NCCR/C CM huyu ameingia hivi karinbuni na ndiye aliyeleta Thread humu kutaka Kafulila atoke NCCR leo anataka kutushawishi ate yeye ni CDM na Kwamba Kafulila aende CUF!!!!

Kama Marando Mabere alikuwa na Migogoro NCCR mbona amekubaliwa na CDM pamoja na kujitambulisha kuwa Mtu wa TISS??? Jenga hoja usi nyee Kambi!!! Watu wanakuona!!!

Mwambie Mbatia kuwa Endapo Kafulila atarudi CDM basi Kibarua Chake CCM kimeota Nyasi
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom