Kikwete, Unatuchanganya bwana!

Johnsecond

JF-Expert Member
May 4, 2010
1,076
211
Inakuwaje uteuzi wako wote ukanyooshewa vidole? Unamwakilisha nani hapo? kama ni wananchi mbona watu tuliowakataa kwenye kura wewe unawapa madaraka?

Mimi kwa kweli inaniuma sana hasa kipindi hiki cha huyu jamaa.

Basi bwana; weye mshindi . . . .
 
huna haja ya kuumia mkuu. endelea kufanya mambo yako. jieleze tu kuwa hapa tumepotea kabisa. jipange ili safari ijayo yasitokee tena yaliyotokea sasa. vinginevyo utakufa kwa presha wakati wenyewe wala vyao
 
Uko sawa
 
We unashangaa haya madogo?.................mbona ni kikwete huyuhuyu ambaye watz hawawataki mafisadi lakini yeye ndiye mlinzi waoi mkuu...............kifupi tumuombe mungu atuepushie hili balaa kikwete kwani ingekuwa mtoto basi tungesema si riziki
 
Kwani kukosa ubunge tena kwenye ngazi ya kura za maoni ni disqualification ya kwamba mmuhusika hafai kwa kazi au uiongozi wa ngazi yoyote.Tuache siasa za maji taka na fitina . Mbunge katika jimbo ni mmoja hivyo haina maana watu wote kayika jimbo hilo hawafai kuwa viongozi. Pia tusichanganye suala la mtu kuchaguliwa na kuwa na sifa. sio lazima wale wanaochaguliwa kuwa wabunge ndio the best materials
 
Inakuwaje uteuzi wako wote ukanyooshewa vidole? Unamwakilisha nani hapo? kama ni wananchi mbona watu tuliowakataa kwenye kura wewe unawapa madaraka?

Mimi kwa kweli inaniuma sana hasa kipindi hiki cha huyu jamaa.

Basi bwana; weye mshindi . . . .
Kikwete ni mtu wa hivi hivi
 
Unajua kura za maoni ni nini? ........... kama kakosa kule kwa nini apewe madaraka makubwa hivyo?
 
Inakuwaje uteuzi wako wote ukanyooshewa vidole? Unamwakilisha nani hapo? kama ni wananchi mbona watu tuliowakataa kwenye kura wewe unawapa madaraka?

Mimi kwa kweli inaniuma sana hasa kipindi hiki cha huyu jamaa.

Basi bwana; weye mshindi . . . .
Kafanye kazi acha kulalamika.
 
wewe mleta mada unamaanisha hata yule rapa wa kule mbeya na yule jambazi wa mtandao wa magari kule Arusha kwa kisa tu wamechaguliwa na wale machalii wa Arusha na Mbeya ni viongozi bora kuliko wale ambao hawakuchaguliwa? Poor thinker.
 
Enhe wewe great sinker, unarudia cha mwenzio sijui ni wasira wewe. Wale vyovyote watakavyokuwa wamekubalika na majority, hayo mengine ni umbeya wako wewe tu, wamechaguliwa na wananchi wangekuwa hivyo wasingechaguliwa. hizo ni siasa za fisadi aliyesema za maji taka kinga mdomo na wewe utatupia kazi hapo
 
Wewe mtu anajiita doctor kingereza cha kuunga?
wewe john kujua kiingereza hakuna uhusiano na kuwa Dr. kule china, Ufaransa na Japani kuna maprofessor wengi sana ambao hawajui kiingereza. Au wewe ndo wale wa yes yes mzungu kala mafenesi? English is just a language, the same as Kiswahili et al.
 
Kwa Tz kuitwa Dr. lazima lugha ipande la sivyo mvivu kusoma maana kuanzia sekondary ni kizungu mpaka chuo kikuu. Nchi unazotaja wanasoma masomo yote kwa lugha zao na ni nchi ambazo zimeendelea lakini sisi kiswahili mwisho msingi. Sasa wewe mpaka unakuwa doctor kizungu usijue?????? shame
 
Back
Top Bottom