Kuapishwa mabalozi wapya saba

measkron

JF-Expert Member
Apr 11, 2011
3,782
2,406
naangalia tbc rais anawaapisha mabalozi wapya 7. Vigezo vya kuwateua nadhani ni baada ya kubwangwa ubunge na wananchi. Marmo amekuwa mbunge wa Mbulu kwa muda mrefu na huko Mbulu hakuna maendeleo yoyote, huko China atafanya nini cha manufaa kwa Tanzania? Kichwa kinauma!
 
kwa umri wake kuelewa herufi za kichina ni maumivu matupu ya kichwa..sasa sijui atajifuza lugha muda gani ili kuweza kutekeleza majukumu yake kwa ufasaha kwa ajili ya manufaa ya taifa!!
Kwa nchi kama hizi language is a huge barrier, tofauti kabisa na nchi zinazozungumza kiingereza, au lugha nyingine zinazokaribiana!!
 
Kwa kweli hapo kwa Marmo sina IMANI na RAIS pamoja na wote waliomshauri kwa hilo .........Naomba kutoa hoja !!!! hakuna future hapo....hivi kustaafu kuna shida gani even after a person has saved in different capacities mbaya zaidi hata hana record ya kufanya mambo mazuri katika taifa hili ? (I mean Marmo)
 
Back
Top Bottom