Lipumba kumpinga Mengi kuhusu mafisadi papa - alipokea hela za Rostam? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Lipumba kumpinga Mengi kuhusu mafisadi papa - alipokea hela za Rostam?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Zak Malang, Dec 19, 2011.

 1. Zak Malang

  Zak Malang JF-Expert Member

  #1
  Dec 19, 2011
  Joined: Dec 30, 2008
  Messages: 5,410
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Wadau:

  Kufuatana yanayoendelea kujitokeza katika CUF, sasa naanza kupata mwanga kwa nini Prof. Lipumba alionekana kutetea ufisadi na mafisadi. Aliwahi kujitokeza hadharani kabisa kuhusu vitu viwili:

  1. Aliwahi kutetea ununuzi wa mitambo chakavu ya Dowans, bila kujali ufisadi ulioikumba mitambo hiyo tangu Richmond.

  2. Baada tu ya Mzee Mengi kuwataja mafisadi papa - akiwemo Rostam, Profesa aliitisha mkutano wa waandishi na kumpinga Mengi kuhusu hatua yake dhidi ya mafisadi.

  Sasa kwa kuwa tumesikia kwamba Rostam na Jussa ni maswahiba wakubwa sana kibiashara kiasi cha Hamad Rashid kumuomba Jussa amuombee mkopo wa Sh bil moja toka kwa Rostam, basi ni dhahiri Rostam amekuwa akikifadhili CUF au viongozi wake na pengine Profesa kufaidika kwa namna fulani hapo.

  Mie nadhani Lwakatare na Pro Safari wanajua mengi kuhusu Rostam na CUF, na hasa Lwakatare kwani kulikuwapo andiko moja, yaani barua aliyomwandikia Prof Lipumba wakati anaki9hama chama. Alitaja kitu kimoja alichokuwa anakipinga, kwamba Baraza Kuu la chama hicho huwa hakilazimiki kutoa vyanzo vya mapato mengine ya chama hicho mabli na ruzuku kutoka serikali.
   
 2. Zak Malang

  Zak Malang JF-Expert Member

  #2
  Dec 19, 2011
  Joined: Dec 30, 2008
  Messages: 5,410
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Mhh!!!! makubwa. hata mimi Profesa alinichanganya wakati ule, ingawa kwa upande mwingine aliwahi pia kusema hadharani, kama mara mbili hivi kwamba JK, swahiba wa RA, yumo kabisa katika Richmond.
   
 3. Kalunguine

  Kalunguine JF-Expert Member

  #3
  Dec 19, 2011
  Joined: Jul 27, 2010
  Messages: 2,544
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  acha ,majungu,na zitto alipotaka ile mitambo inunuliwe,alihongwa na nani?
   
 4. d

  dada jane JF-Expert Member

  #4
  Dec 19, 2011
  Joined: Dec 8, 2011
  Messages: 566
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mwaka huu tutasikia siri nyingi. Tuwe watulivu na wavumilivu.
   
 5. Zak Malang

  Zak Malang JF-Expert Member

  #5
  Dec 19, 2011
  Joined: Dec 30, 2008
  Messages: 5,410
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Na Rostam, of course you moron!
   
 6. Kabakabana

  Kabakabana JF-Expert Member

  #6
  Dec 19, 2011
  Joined: Aug 5, 2011
  Messages: 5,559
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  hahahahahahaha
   
 7. nguvumali

  nguvumali JF Bronze Member

  #7
  Dec 19, 2011
  Joined: Sep 3, 2009
  Messages: 4,864
  Likes Received: 143
  Trophy Points: 160
  Cuf, sikuzote naamini ni wakala wa shetani, ni chama cha watu wasiomakini.
  Makini wanazidi kuujua ukweli huo na wanazidi kujitenga na chama hiko.
   
 8. JamboJema

  JamboJema JF-Expert Member

  #8
  Dec 19, 2011
  Joined: Jun 14, 2011
  Messages: 1,148
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  Napita tu ...nina bahati mbaya sijapata wa kunihonga!
   
 9. Songoro

  Songoro JF-Expert Member

  #9
  Dec 19, 2011
  Joined: May 27, 2009
  Messages: 4,136
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 0
  Najua kwako chama makini ni kile kilichomkimbia JK Bungen Dec.2010 then wakenda kujadili hotuba waloisusia February,waliokataa kuchangia mjadala wa katiba mpya wakakimbilia ikulu kwa Rais wasiemtambua na kupeleka mapendekezo il hali kazi ya Rais ni kusiani au akutokusain mswaada,marekebisho hufanyika bungeni.
   
 10. dudus

  dudus JF-Expert Member

  #10
  Dec 19, 2011
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 7,750
  Likes Received: 6,021
  Trophy Points: 280
  Lipumba, katika medani ya kitaaluma, hakuna asiyeukubali uwezo wake duniani kote! Amewahi pia kuwa Fullbright Visiting Professor katika mavyuo kadhaa duniani. Usomi wake umewafanya baadhi ya wafuasi wake ndani na nje ya CUF kumwona kama Mungu-mtu fulani.

  Nakumbuka sana ile mipasho ya akina mama wa CUF, ambao zaidi ya 90% huvaa kijahidina, wakiimba sifa zake kutaka kutuonesha kwamba hakuna kama yeye; sifa ambazo zilifikia kilele wakati wa kampeni Oktoba 2010 akioneshwa jinsi alivyokuwa mtu wa watu hasa masikini wa vijijini akijifanya kuishi maisha ya kawaida kama wao - kutembea kwa miguu kwenye njia mbovu (Kondoa, Masasi, etc.), kupanda punda, mikokoteni, n.k.

  Lakini kitu kimoja watanzania tunasahau, SIFA YA KWANZA YA UONGOZI SIYO ELIMU. Yanayodhihirika leo kumhusu huyu Profesa nguli wa uchumi ni ushahidi tosha.
   
 11. Hakikwanza

  Hakikwanza JF-Expert Member

  #11
  Dec 19, 2011
  Joined: Dec 11, 2010
  Messages: 3,898
  Likes Received: 307
  Trophy Points: 180
  Nawapa pole watu wanaoishi karibu na wewe kwani watakua wanapata taabu sana jinsi ya kuishi na wewe.
   
 12. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #12
  Dec 19, 2011
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  fitna za chaga development manifesto cdm utazijua tu,hawaachi kuonyesha chuki zao kwa waislam hadi ufuate tamaduni zao.laana inawakaribia
   
 13. Chatumkali

  Chatumkali JF-Expert Member

  #13
  Dec 19, 2011
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 2,045
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Nadhani viongozi wake ndio sio makini.
   
 14. nitonye

  nitonye JF-Expert Member

  #14
  Dec 19, 2011
  Joined: Dec 18, 2011
  Messages: 7,167
  Likes Received: 507
  Trophy Points: 280
  hivi huyu lipumba na mapumba yake bado ni mwenyekit wa cuf na bado ana nguvu ya kusimama kweli kwanza yuko wapi huyu raia maana siku hizi simsikii. Nitarudi baade kidogo
   
 15. t

  timbilimu JF-Expert Member

  #15
  Dec 20, 2011
  Joined: Sep 2, 2010
  Messages: 4,779
  Likes Received: 151
  Trophy Points: 160
  Kafiribangi kuhusu Lipumba kuhongwa na unaoita mafisadi huko sizungumzii,pengine mnafahamiana zaidi,lakini kwamba mitambo ya Dowans ni chakavu hiyo siyo sahihi. Licha ya matatizo ya namna mkataba ulivyosainiwa,bado mitambo ilikuwa ni ya kiwango cha juu. Sishangai ninaposikia wale walio endesha kampeni kubwa kwamba mitambo ya Dowans ni chakavu baada ya kununuliwa na kampuni ya Kimarekani wameufyata. Wameanzisha madai mapya ya kulishwa sumu na mafisadi.
   
 16. K

  KIM KARDASH JF-Expert Member

  #16
  Dec 20, 2011
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 5,083
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Ismail Jussa ni mhindi kama wahindi wengine tu.....wala sishangai yanayomkuta!
   
 17. Shinto

  Shinto JF-Expert Member

  #17
  Dec 20, 2011
  Joined: Dec 6, 2010
  Messages: 1,781
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Vipi maaskofu wa kanisa Katoliki wanaomsafisha fisadi LOWASA leo? Lowasa ndiye anayembeba Rostam, kwa hiyo kanisa limehongwa? Au kanisa hili ni wakala wa ********** kama alivyosema mchangiaji fulani hapo juu kuhusu CUF? Acheni upuuzi, heshimuni mawazo ya watu wengine, sio watu wote watakubali kubruzwa na CHADEMA na KANISA!
   
 18. bakuza

  bakuza JF-Expert Member

  #18
  Dec 20, 2011
  Joined: Nov 15, 2010
  Messages: 488
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Songoro we ndiyo kiazi kabisaaaaaaaaa yani hujui Rais ana uwezo wa kutosaini mswada na ukarudishwa bungeni?Na hujui kuwa hawa wapinzani wapo wangapi bungeni idadi isiyoweza kusimamisha maamuzi yoyote ya ccm kwa mfumo uliopo?Tumia ubongo Shiiiiiiiiit.:A S 465:na kitufe cha edit kipo kwa ajiri yako kitumie .alaaaaaaaa.
   
 19. chitambikwa

  chitambikwa JF-Expert Member

  #19
  Dec 20, 2011
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 3,940
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Kama kanisa katoliki lingekuwa linamjibu kila anayelisingizia Dunia hii tusingekaa maana kila baya Katoliki na Kila zuri katoliki je njie wenye Dini zinazochukia Kanisa hili yenu mazuri ni yepi?
   
 20. bakuza

  bakuza JF-Expert Member

  #20
  Dec 20, 2011
  Joined: Nov 15, 2010
  Messages: 488
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Suala ni kuwa sheria ya manunuzi ilikuwa haikubaliani na manunuzi hayo ya mitambo iliyokwisha tumika.Kwa kuwa ilishatumika basi tafsiri ya sheria ya manunuzi iliitambua kama mitambo chakavu,haikuwa na maana kuwa haiwezifanya kazi.Kwa wapenzi wa mitumba basi ile mitambo ilikuwa mipya upo hapo.Napita tu mkuu usininukuu kivingine.
   
Loading...