Nikifukuzwa nitakwenda mahakamani au nitafuata utaratibu wa kisiasa: HAMADI RASHID | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nikifukuzwa nitakwenda mahakamani au nitafuata utaratibu wa kisiasa: HAMADI RASHID

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Duble Chris, Dec 20, 2011.

 1. Duble Chris

  Duble Chris JF-Expert Member

  #1
  Dec 20, 2011
  Joined: May 28, 2011
  Messages: 3,487
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Akiongea kupitia BBC jana Hamadi Rashid amesema kama chama chake (CUF) kitachukua jukumu la kumfukuza uanachama atakwenda mahamani au atachukua uamuzi wa kisiasa kukabiliana na hali hiyo

  JF members naomba tujulishane huo uamuzi wa kisiasa ni upi anao kusudia kuuchukua maana kuhamia vyama vingine alisema yeye si malaya.

  My take; Je anafanya hivyo kwa makusudi ?
   
 2. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #2
  Dec 20, 2011
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,985
  Likes Received: 441
  Trophy Points: 180
  CUF hawana na ubavu wa kufanya maamuzi magumu! wanawaza posho!
   
 3. m

  mkanyila Member

  #3
  Dec 20, 2011
  Joined: Oct 1, 2011
  Messages: 41
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  Cuf mmekiharibu chama kwa kutozijua alama za nyakati hivi kweli viongozi mliokuwa na msimamo mkisema jambo nchi nzima tunajua kweli wapinzani wamesema leo hii mnaitetea ccm kuliko wenye chama chao mmepoteza mvuto endeleeni kugombana maka mahakamani mfikishane mm nimeshawakimbia
   
 4. Duble Chris

  Duble Chris JF-Expert Member

  #4
  Dec 20, 2011
  Joined: May 28, 2011
  Messages: 3,487
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  kwanini yeye ana wasiwasi wa kufukuzwa, kumbuka kuwa Rashid anabishana na mkuu wake na hakuna kiongozi wa juu anaye muunga mkono zaidi ya CUF Dodoma wote akina Mtatilo, Jussa wanasema hana adabu wanaweza kula njama wakamkuza kama David

  Hii hatua ya kisiasa ni ipi ???
   
 5. Duble Chris

  Duble Chris JF-Expert Member

  #5
  Dec 20, 2011
  Joined: May 28, 2011
  Messages: 3,487
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Ni kweli mkuu
  Vipi umekimbilia wapi ?
   
 6. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #6
  Dec 20, 2011
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 9,224
  Likes Received: 1,411
  Trophy Points: 280
  Kesi ya msingi ya viongozi wa CUF kunyanganya(na kumfukuza) muasisi wa chama -mapalala bado iko mahakamani, muosha huoshwa, watafukuzana mpaka kieleweke.
   
 7. babad

  babad Member

  #7
  Dec 20, 2011
  Joined: Feb 9, 2011
  Messages: 95
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Uamuzi wa kisias aliosema akiwa Channel 10 ni kuanzisha chama kingine yeye na wale watakaomuunga mkono
   
 8. yutong

  yutong JF-Expert Member

  #8
  Dec 20, 2011
  Joined: Apr 15, 2011
  Messages: 1,604
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  CUF kimeshakufa kisiasa baada ya sefu kupewa ugali ikulu kawasahau wenzio
   
 9. b

  binbinai Member

  #9
  Dec 20, 2011
  Joined: Dec 16, 2011
  Messages: 55
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  Ni bora atimuliwe kwani ni mnafiki,wenzake wamekubali kuitwa ccm B lakini yeye bado anang,ang,ana kujiita real mpinzani CUF.

  SOMO KWAKE:
  Aliusaliti umma wa watanzania katika kuunda kambi rasimi ya upinzani sasa yanamtokea puani na mwenzake kafulila.
   
 10. Duble Chris

  Duble Chris JF-Expert Member

  #10
  Dec 20, 2011
  Joined: May 28, 2011
  Messages: 3,487
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Hao wanao muunga mkono wapo active kweli au walewale waganga njaa tu
  hizi ndizo siasa za bongo kufukuzana na kuanzisha chama ili kuonyesha umwamba mi nadhani kuna haja ya kuwa na limit ya idadi ya vyama tunavyo hitaji hii italeta nidhamu ndani ya chama
   
 11. Duble Chris

  Duble Chris JF-Expert Member

  #11
  Dec 20, 2011
  Joined: May 28, 2011
  Messages: 3,487
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  kumtimua pekee sidhani kama ni tiba ila wakae waangalie madai yake na namna ya kutekeleza
   
 12. Chatumkali

  Chatumkali JF-Expert Member

  #12
  Dec 20, 2011
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 2,045
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Ukiacha ile dosari ya Hamad Rashid ya kuwashambulia CDM bungeni,jamaa anahoja za msingi sana.Sio siri ni kweli CUF imedorola sana ikiwa mikononi mwa SEIF hasa bara.Seif ameshindwa kujenga mtandao wa chama bara.Ushahidi mdogo Igunga!Tazama amestuliwa kidogo na Hamad eti juzi ndio anaanza ziara bara!
   
Loading...