Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,475
- 39,991
Kwa yeyote anayefuatilia mambo ya intelligensia nchini atatambua uwepo na ufanyaji kazi of a highly developed, financed, equiped and politically connected criminal enterprise. Kashfa karibu zote kubwa kuanzia ya Chavda, Loliondo hadi utoroshaji wanyama a year ago zinahusisha watu walewale na karibu wizara zilezile au idara zilezile. Kama siyo Madini itakuwa Fedha na kama siyo hizo basi ni Nishati na Ulinzi au vitengo fulani. Na ukichora mstari utaona karibu wahusika wote wakuu wamepitia karibu wizara hizohizo. Kwamba kuna OCRs nchini halina shaka; kinachosumbua zaidi ni kuwa tumeshawishiwa kwamuda mrefu kuona kuwa uhalifu unaofanywa na magenge haya kuwa ni wa mtu mmoja mmoja na siyo kundi ambalo limekubuhu kwenye mambo haya.
Kwa kadiri kuna hela ya kutupwa na nafasi ya kuchota fedha hizo ipo ndivyo ujasiri wa OCRs unavyozidi kuvuka mipaka kwa kila siku iendayo kwa Mungu. Kwa vile kwa muda mrefu vyombo vyetu vya usalama vinaogopa kuvunja mitandao hiyo kwa nguvu ndivyo nayo (mitandao) inavyozidi kujichimbia katika vyombo hivyo na hivyo kuwa hatua kumi mbele. Najiuliza:
A. Uchumi wa Tanzania unaweza kuwa dalama mbele ya genge hili hasa kwa vile linahusiana na money laundering and illegal businesses?
B. Mahali ambapo the police and intelligence services have been highly penetrated and compromised tunaweza vipi kufumia mitanda hiyo bila kucompromise usalama wa maafisa wetu na wa nchi? (Fikiria kushindwa kuijamata Kagoda na Meremeta)
C. Kwenye nchi ambayo chama tawala na serikali have been compromised in reminiscent of NY City in the late 1960s unaweza vipi kugusa OCRs bila kugusa serikali na chama tawala?
D. How do u tame an "untamed lion"?