CHADEMA waendelea kufungua matawi mbongwe Shinyanga

chitambikwa

JF-Expert Member
Nov 8, 2010
3,941
900
nilikuwa jana kwenye mkutano wa CHADEMA mbongwe shinyanga na haya ndo niliyakuta.
1. Walipew tshs 30mil na ndugu Sabodo na jana ndo zilikuwa zinakabidhiwa kwa jimbo la Mbongwe ili kujenga ofisi za Chama . Mbongwe ipo katikati ya Kahama na Ushirombo hapa Shinyanga.
2.Wageni waalikwa alikuwa Mh.Silverster Mhoja Kasulumbali (MBunge), Mh. Kashindye mgombea wa CHADEMA igunga na Katibu wa CDM shinyanga Mh. Shilungushela
3. Matawa 3 yalifunguliwa ambayo yalipatikana katika uchaguzi ambao cdm ilishinda ccm vibaya sana hapa Masumbwe.
4. Mh.Shibuda alifadhili kwa karibu tukio hilo na Mh. Mhoja alimwakilisha DR. Slaa.
5. Ng'ombe wawili walichinjwa na wlitolewa na wapenzi wa cdm na baadaye kushukuriwa na Mwenyekiti wa cdm MBongwe bwana Omary Photo0004.jpg Photo0005.jpg Photo0006.jpg Photo0010.jpg Photo0008.jpg Photo0011.jpg Photo0009.jpg
 
samahani nilikuwa nayaload Ngeleja akaingia ghafla, sasa ametoka na nimeyaweka
 
Asante kwa taarifa mkuu ila siku nyingine ukumbuke kutuwekea na picha za raia waliohudhuria tujue mwitikio wao siyo kuchukua picha za viongozi pekee toka haite boli. Peeeeeeeeoooooopleeeeeeees Powwwwwer
 
Hongera sana CDM kwa kujitanua hadi kwa wananchi vijijini juzi tuliona majengo mazuri ya ofisi kama sikosei Njombe leo shinyanga finally tutakuja sikia makao makuu nao wameporomosha bonge la jumba la ofisi, big up mwendo mdundo, wakati wengine wakigombania vyeo nyie mgombanie maendeleo.
 
GreatThinkers,

Sasa Si Si Em kwisha kazi!!
Watatokea Kanda ya ziwa, hapo katikati ndipo palikuwa pananipa wasiwasi.

Kwa maana tokea Bukoba kule,Chato pale,Ushirombo unga hadi Katoro na Geita. Wako maji ya Shingo hadi Bush.

Bila kusahau Ukitokea Mara ambako upinzani ulizaliwa unashuka hadi Bariadi haooo shinyanga hadi Igunga. Wameisha.

Aisee fikeni hadi maeneo ya Iselamagazi kisha mliunge na jamaa wa Mwawaza nao wako Full mzuka.

Teh Teh, nashuhudia kanda ya ziwa yote ikienda CDM.

Peopleeeeeeeeeeeeeees
 
Yap..good work,mbogwe binafi napajua,ni wilaya mpya inayozaliwa kutoka bukombe,ahsante kwa taarifa,salam hapo masumbwe na ushirombo
 
That is the way to go CDM. Ila mngeongeza nguvu na pwani ya kusini mwa Tanzania!
 
Well done CDM mie nafuatilia kadi za Chama nikatafute wanachama zaidi kijijini kwangu Kongwa Dodoma
 
Back
Top Bottom