Titus Kaguo - Majibu yako hayaridhishi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Titus Kaguo - Majibu yako hayaridhishi

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by TIMING, Dec 19, 2011.

 1. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #1
  Dec 19, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Nakusikiliza, unasema wafanyabiasha wanashindwa kununua bulk kwasbabu ya price uncertainty... unajustify their cartel and yet wewe ni mtendaji wa serikali... unawakilisha wafanyabiasha. Na kibaya zaidi unanishangaza sana kuonyesha wazi kwamba EWURA is the cause of fuel problems by disrupting the supply chain ya fuel

  Na unataka waandishi wasiseme pale ambapo hakuna mafuta??? wakati that is the fact?? unatumia vendor mmoja, kuhalalisha full representation ya all vendors??

  Kwakweli unanisikitisha na fatcs za monthly demand forecast at the same time unasema wananunua kidogo kuliko zamani, uncertain supply ya mafuta kila etc... ni forecast figures gani mnatumia??

  SIJAKUELEWA NA UMENIKERA SANA KAGUO.... SOMA UBORESHE UPEO, UKO KWENYE FANI ILIYO 100% SUPPLY CHAIN MANAGEMENT
   
 2. K

  Kubingwa JF-Expert Member

  #2
  Dec 19, 2011
  Joined: Apr 23, 2010
  Messages: 502
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Mkuu enzi zetu mwl Nyerer alikuwa ameandaa vijana kielimu,kiuzalendo na mapenzi kwa nchi yao.Walipoingia vijana wale wazalendo wakashindwa kuwa na uzalendo matokeo yake wameweka matumbo na familia zao mbele.Nchi kwa sasa haina wazalendo na mapenzi kwa nchi hii,kila anayeanza kazi ama kumaliza chuo anafikria tumbo na familia yake,hii li nchi kwishney!
   
 3. mmbangifingi

  mmbangifingi JF-Expert Member

  #3
  Dec 19, 2011
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 2,855
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Ni kaguo yupi?yule mbabaishaji aliyekuwa Majira wakati flani?
   
 4. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #4
  Dec 19, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  sijui mkuu, mie amenikera sana

  MTM
   
 5. KIKUNGU

  KIKUNGU JF-Expert Member

  #5
  Dec 19, 2011
  Joined: Nov 24, 2011
  Messages: 853
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  MTM,hayo ndio matatizo ya hii fani yetu ya Ugavi,watu wanaajilriwa kwenye fani tu kwa sababu ana degree ya biashara au utawala basi anaweza kuwa Mgavi bila kusomea ugavi wenyewe per se.Kwa sababu hata kwa wenzetu huwezi kuwa msemaji kwenye field inayojigemea kama hiyo wakati wewe ni mwandishi wa habari tu.Na hiki kitu ni common sana hapa kwetu bongo,utakuta hata waandishi wengi wa habari wanareport,wanaandika let say habari za uchumi bila kuwa wachumi.
  Kwa case ya EWURA,PR depts ilitakiwa iwa na watu wa field tofauti tofauti ili wakipewa report na wakubwa wao waweze ku urgue kabla ya kutoa report kwa umma.
  Case ya mafuta ni very sensitive ambayo kwa wenzetu inaweza kufanya watu wakaingia barabara kuandamana au hata kuiondoa serikari madarakani.Sasa kuna tatizo,mtu wa PR kama huyo anaongea utumbo,very sad sema sisi watanzania hii ndio hulka yetu kwani hata David Cameroon anaweza kuja kutushika makalio bado tukacheka
   
 6. Kimbunga

  Kimbunga Platinum Member

  #6
  Dec 19, 2011
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 13,012
  Likes Received: 1,817
  Trophy Points: 280
  Huyu jamaa juzi nimemsikia akisema watu msiogope kwa kuwa mafuta yapo na ni vituo vichache tu haviuzi lakini jana hali ikawa tete na maguta hakuna dar karibu yote
   
 7. s

  sem2708 JF-Expert Member

  #7
  Dec 19, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 3,093
  Likes Received: 505
  Trophy Points: 280
  degree zenyewe ni zile (MBA) za mzumbe za KUNUNUA..... pu...vu
   
 8. Kiraka

  Kiraka JF-Expert Member

  #8
  Dec 19, 2011
  Joined: Feb 1, 2010
  Messages: 2,551
  Likes Received: 613
  Trophy Points: 280
  Huwa anatia maudhi sana ukimsikiliza huyo kijana!
   
 9. VUVUZELA

  VUVUZELA JF-Expert Member

  #9
  Dec 19, 2011
  Joined: Jun 19, 2010
  Messages: 3,106
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Degree zenyewe ndio hizo za Commonwealth Open University.
  Isitoshe Supply Chain Mgt ni Zero!!
   
 10. IsangulaKG

  IsangulaKG Verified User

  #10
  Dec 19, 2011
  Joined: Oct 14, 2010
  Messages: 702
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 45
  Nadhani Wanaojiita Wasomi hapa Tanzania ,wengi wao mbumbumbu tu, kama vile walikuwa wanaforge Mitihani. Inapofikia sasa watumie akili yao ni utumbo mtupu
   
 11. O-man

  O-man JF-Expert Member

  #11
  Dec 19, 2011
  Joined: Nov 17, 2011
  Messages: 318
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Kaguo umesikia? Mshurutishe mwajiri wako akupeleke shule ujue nini unawakilisha. Usiendeleze ile hulka ya... He said that.... Hapo bado hujafikiri na utaendelea kukatetea hako kamshahara wakati jamii inakusulubu kwa kuwa kasuku wa bwana!
  MaPR wengi wanasikisha na Kaguo ni mfano hai.
   
 12. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #12
  Dec 19, 2011
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,220
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  dah! Umesomekaje? Ila kama sijakosea, huyu jamaa akihojiwa na ppra ya pasco pale sabasaba kuadhimisha miaka 50, alikuwa akisema kuwa soko limetawaliwa na ubepari na hawana la moja kwa moja la kufanya kudhibiti hiyo hali
   
 13. VUVUZELA

  VUVUZELA JF-Expert Member

  #13
  Dec 19, 2011
  Joined: Jun 19, 2010
  Messages: 3,106
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Hapo kwenye red umeniacha hoi sana
   
 14. Bei Mbaya

  Bei Mbaya JF-Expert Member

  #14
  Dec 19, 2011
  Joined: Nov 24, 2010
  Messages: 2,265
  Likes Received: 225
  Trophy Points: 160
  yale yale ya MSD, baada ya kupewa nafasi ya ulaji kwa digrii ya biashara

  kuwafumba macho watanzania, fasta akapiga certificate ya ugavi(kajaa kwenye kiti)
   
 15. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #15
  Dec 20, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  alianza kama mwajiriwa wa EWURA, sasa amekua dalali wa waarabu ... tena bila aibu anasema nimepigiwa simu na muuzaji mmoja blah blah... halafu anasema ni mambo ya wafanyabiashara kama biashara imewashinda blah blah

  I think we treat suala la mafuta kama tunavyotreat relaxer za nywele za warembo......... WE DONT HAVE PRIORITIES KABISA
   
 16. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #16
  Dec 20, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  tHANK YOU VERY mUCH.............. KUNA TOFAUTI KUBWA SANA KATI YA PROCUREMENT/PURCHASING AND SUPPLIES, NA SUPPLY CHAIN MANAGEMENT
   
Loading...