Baadhi ya kero: Ni mawazo yangu tu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Baadhi ya kero: Ni mawazo yangu tu

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by oba, Dec 19, 2011.

 1. oba

  oba JF-Expert Member

  #1
  Dec 19, 2011
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 307
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  [TABLE]
  [TR]
  [TD]
  Maswala ya posho na nini ni preamble tuu ya vitu ambavyo wanafanya. jus the glimpse my good friends. eti ni posho kuku sustain ukiwa mbali na kituo chako cha kazi... duh, sasa mbunge wa dodoma mjini yuko mbali na kituo chake cha kazi kweli? sa lak 2 ya nin? half per diem will do for him or her. Imagine sijui ata kama ni him or her. wanaziwakisha familia zao bungeni.. you didnt know this...plse know. bum mpaka leo maspeshalisti wa 2012,2013 and 2014 bado hawajapata. 300,000/- per month. It is 300,000/- per 2-3 weeks.

  Kwa hiyo,that is typical for any african country. You may exclude egypt, algeria,morocco, tunisia. They were just included in africa unfortunately. Other counties have same pattern of leadership and greedness of our leaders.

  Halafu eti unaambiwa uwe patriotic sijui....patriotic my foot... The leaders are not patriotic to their country. Imagine unamkodisha mtu ardhi kwa miaka 100, resourses wanauza kwa bei ya bure; wanyama, madini etc. Kigamboni nasikia bushi kanununua. mda si mrefu mitambo ya kuchimba mafuta italetwa

  We fikiria mlima klm ungekuwa uingereza au marekani.. just think about it. We fikiria watanzania tungepelekwa wote kwenye jimbo moja la marekani eg maryland na wao wakaletwa tanzania. I am telling you, after 5 years tungejipanga ubalozini maryland kuomba visa za kuja tanzania. sijui ni nini jamani. anti-virus wont do..maybe formating uupya.

  Kwenda kutibiwa nje ni mipango ya kula hela, ukichunguza hata sa nyingine hawaumwi. everything ni 10% bongo. we unafiriki ni kwa nini hakuna permanent solutions kwenye vitu; umeme etc. ni kwa sababu ili walete vifaa kwa ajili ya dharura hence 10% yao bila majanga hawatapata kitu. Nani aniambie tuna haja ya kuwa na EWURA? ni ya watu wachache? Africa jinga sana.

  China juzi juzi wamesherekea miaka 100 ya kuwa na umeme bila kukatika. Unazaliwa hadi unakufa, umeme haujawahi kukatika. sisi ya kuwa na uhuru miaka 50. Tena sherehe kuubwa kuliko hata hatua ambazo tumepiga.Guys..dont you see that we have a problem somewhere.

  Hawa wachina bongo wamezagaa kinoma.. you may think wanatumalizia mbwa wetu tuu. They are so clever. if we think think they are not, we are clever by half. unamwona anauza visendoz vya plastic kariakoo, unamwona kachoka. They are doing market survey/research. sasa ivi wananunua maeneo kibao bongo, tegeta, mkuranga et. Wanajenga magodown yao. in few years town, wabongo tutakuwa hatukanyagi china kwa sababu ukifika kule kununua mzigo utaambiwa tuna agent kariakoo mtaa wa congo.. so china itakuwa hapa hapa. stay tuned.... Tz hatuwezi kitu et hata tooth pick made in china wakati bongo kuna full chelewa... somebody can invest on toothpick kama una hela. tenda baa zote tanzania. ila serikali ilivyo jinga unaweza ukabaniwa. why? 10% za watu hazitakwepo. haa haa haa

  Vendors are so proud kuuza ma apple katika kila junction bongo. nenda super market yoyote ile. apple kibao. tuna ma apple kutoka tanga i dont know ila yanaharibikia mtini. no wanunuzi. ila apple from south africa to airport in dsm then kwa vendors and supermarket then unanunua unaliweka kwenye frigde for a week....apple hata kusinyaa halisinyai. yaani tunakula mambo ya ajabu kinoma and we are so proud kuwauzia south africa bidhaa yao wakati hapa bongo ipo.


  Bongo ukichukua kamkopo kako, then ununue kagari kako...we, yaan lazima ujipange kimkwanja kupiga maribiti, kuchora chora, kubana taa. yaani..kero. ivi kweli serikali aiwezi kuzibiti hawa wauza spear. wajue wanazitoa wapi? ziwe na namba fulani na wanunuzi tuelimishwe kutokununua vitu visivyo eleweka na ziuzwe na watu fulan. sio wahuni wahuni tuu. yaan kuibiwa kitu na ukakikuta kariakoo ni kawaida, na utakinunua tena. wizi wa vipuri and taa and vioo tunaufuga wenyewe. Tanzania jinga sana

  Angalia usafiri tanzania. Ni kero sana. kupanda dalala issue...kichwa kipo ndani, mwili upo nje. hatuwezi kila kitu. duu. tulitoka kwenye UDA then VIAISI( magari ya kubebea mizigo dubai, na majeneza) then COSTA then sasa hivi tumehamia kwenye bajaj( piki piki za vilema) na sasa hivi tuna boda boda. After 3 years,i believe kuna baiskeli zinawekewa injini zitakuwa zinasafirisha abiria. Watch this space..its so bad
  Mambo mengi tunaiga nje lakini we cant factor them in kwenye system zetu which ofcoz systems zengewe ni very porous( porous systems). we try to bring in america-centric and euro-centric perspectives into our afro-centric settings. Can't work, i am afraid.

  Mortage issues kwa tanzania itatuumiza sana sana. inafaa nchi ambazo wanapewa mshara kwa ajili ya mwezi not kwa ajili ya wiki moja au mbili. tumeiga naamina. But unless we rectify our gvt salary structures, many people will suffer with this euro-centric move of i don't know mortage in Tanzania. Mkopo wa 7ml tuu unatutoa jasho, sembuse 80ml. hata kama ni 60 years. maybe wawe wanachukua laki laki afu ukishastaafu wachukue pension percent fulani.

  Tanzania: Nchi inayojengwa na Wengi na Kuliwa na Wachache.
  Tanzania: Nchi ambayo employees are doing a Donkey-Work but getting Infant Salaries.


  Jamani.. I have not written this to annoy anyone... ni feelings zangu tuu. potezea kama vipi.
  [/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]
   
Loading...