UTEUZI wa Mabalozi wetu ..... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

UTEUZI wa Mabalozi wetu .....

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Kibori, Dec 19, 2011.

 1. K

  Kibori Member

  #1
  Dec 19, 2011
  Joined: Jul 21, 2009
  Messages: 72
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Uteuzi wa Mabalozi wetu na Mh. Rais kwa kweli mimi nina mashaka sana, hadidu za rejea sijui huwa nani anatengeneza ....Mh. Marmo amekuwa Mbunge na Waziri kwa nyakati tofauti takribani miaka 30....amekuwa mzee mwenye umri wa kutosha kabisa kupumzika lakini cha kushangaza na kusikitisha ni kwamba bado J.K anamhitaji pamoja na kwamba wananchi wa Mbulu walimkataa ....kwa kweli itabidi uteuzi wa mabalozi uwe ni kudhibitishwa na Bunge lasivyo huenda vyeo hivi vikawa ni kwaajili ya ushikaji tu.... A country which is preparing for a bright future needs to invest into electing as many young people as possible wakajifuze kutoka kwenye nchi za nje ili possibility wajekuongoza hii nchi....sasa kwa mtindo huu....hatuna future hata kidogo......vijana mtaendelea kuitwa taifa la kesho kutwa .....
   
 2. Kiranga

  Kiranga JF-Expert Member

  #2
  Dec 19, 2011
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 34,605
  Likes Received: 6,174
  Trophy Points: 280
  teuzi nyingi za kisiasa, wanajeshi wakorofi kama kina Mayunga, watu wa intelligence wenye info nyingi sana kiasi cha kutishia wakiwa Bongo kama kina Matiku,Mahiga etc, washua waliosaini mikataba mikubwa kama kina Mdee na Marmo, wanaopewa shukurani kwa loyalty kama kina Batilda etc.

  Tanzania kumpata "career diplomat" mtu aliyesomea international relations ni nadra sana.
   
 3. Chatumkali

  Chatumkali JF-Expert Member

  #3
  Dec 19, 2011
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 2,045
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Wengine walikataliwa majimboni mwao kuwa wawakilishi bungeni lakini wameonekana kufaa zaidi kuiwakilisha nchi.Lakini aliewateua anajua zaidi!
   
 4. K

  Kibori Member

  #4
  Dec 19, 2011
  Joined: Jul 21, 2009
  Messages: 72
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  sasa kama mwelekeo ni huu....what future do we have as a country ????
   
 5. oba

  oba JF-Expert Member

  #5
  Dec 19, 2011
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 307
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  I told you, JK is a very good poor manager, huwezi kuendesha nchi kisiasa badala ya kutumia profesionals!nasikitika kuongozwa na jamaa huyu.
   
 6. Kiranga

  Kiranga JF-Expert Member

  #6
  Dec 19, 2011
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 34,605
  Likes Received: 6,174
  Trophy Points: 280
  By the way haya mambo yapo serikali ya Tanzania hata kabla ya JK. Matiku, Mayunga na Mahiga waliteuliwa na Mkapa. Angalau Mahiga alikuwa spook wa TZ UN kwa hiyo ana uzoefu na international relations. Ukiangalia mabalozi wengi wa bongo ni spooks (which is not that surprising because mabalozi wengi generally ni spooks na ubalozi ni disguised channel ya espionage) lakini give me a spook with International Relations like Mahiga any day over a Matiku au huyu aliyepelekwa Burundi juzi ambao ni pure spooks.

  This is more than JK. It's something bigger than Tanzania even kwa sababu hata mabalozi wa Marekani wengi wanateuliwa kwa sababu walichangia kampeni vizuri. Lakini kibaya ni kibaya tu whether kinafanywa na wakubwa au hapana. Na wenzetu hata wakiteua watu wsio career diplomat, angalau wanakuwa na uwezo na exposure.

  Sio unapeleka jitu janajeshi biiishi, halijui biashara wala uchumi linaenda kuwa balozi.
   
 7. U

  Uwezo Tunao JF-Expert Member

  #7
  Dec 19, 2011
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 6,947
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Mwalimu Nyerere alijengea heshima nchi yetu hii kwa kuwekeza kwa vijana kufanya hizi kazi za kidiplomasia.

  Tangu hapo Salim A. Salim na wengine wengi zaidi wakavuma kweli kweli kote duniani kama career diplomats waliochangia kuchora upya ramani ya huo mchepuo wao.

  Lakini hili la Babu Marmo, asije akaanza kusinzia kati kati ya mazungumzo pindi amtembeleapo rais wa nchi hiyo ikulu ya huko. Batilda Buriani asiyeweza hata kuzungumza na machalii A-Town wakampigie kura eti naye ni balozi. M y foot!
   
 8. Ben Saanane

  Ben Saanane Verified User

  #8
  Dec 20, 2011
  Joined: Jan 18, 2007
  Messages: 14,603
  Likes Received: 3,692
  Trophy Points: 280
  What tends to happen is that cronies 'lobby' the President for appointment. It is still up to a decent president , aware of the impact of every single office in the quest to move Tanzania forward, to reject incompetent individuals submitted to him. Cronyism is Jakaya kikwete's style . That is why one cannot point to many meritocratic-ally good appointments Mr. President has made .

  Mtu kama Batilda Burhani sijui amejengewa capacity gani kusimamia interest za Tanzania kenya.Kenya ni nchi ambayo ni strategic kwa Tanzania especially katika power struggle hapa East Africa.Kenya ni business partner wa Tanzania.I guess Internal political interests(tena ndani ya CCM,au CCM Vs Chadema kwenye siasa za kanda ya Kaskazini ) zimekuwa qualification na zikapewa kipaumbele.Otherwise kwa wale waliosoma International relations(Economic diplomacy) watagundua kwamba Madame Batilda Burhani is a wrong choice kwa nchi kama Kenya
   
 9. Johnsecond

  Johnsecond JF-Expert Member

  #9
  Dec 20, 2011
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 1,077
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  MIMI nasema hivi ukiona unateuliwa na JK know that your performance is in questions
   
Loading...